Nafaka°

17.1K posts

Nafaka°

Nafaka°

@doumaliky

Self Made Taste Better

Katılım Kasım 2015
408 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Nafaka°
Nafaka°@doumaliky·
No Alternative to the Best Nafaka Rice Mchele Mzuri wenye ladha tamu Unasafirishiwa Mzigo wako kwa uaminifu mkubwa 2500/= Grade I 2300/= Grade II Kwa Kilo moja 0714047240 #NafakaBestForYou
Nafaka° tweet media
Filipino
0
3
7
515
Nafaka° retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Welcome to Mbarali Mbarali ni wilaya inayojulikana kama kitovu cha kilimo cha mpunga cha kisasa nchini Tanzania, hasa kutokana na vipengele hivi:
Thomas-Josephat tweet media
Indonesia
10
10
91
2.3K
Nafaka° retweetledi
R.M
R.M@shibobo___·
Boss kaja shamba bila kumtaarifu msimamizi wa shamba 🤣 Kumbe msimamizi katoroka kaenda kusalim mke Ila kaacha kazi saafi Mpunga unayeya. #SinyelaSchmesMbaraliMbeya
R.M tweet media
Indonesia
29
35
440
14K
Nafaka° retweetledi
Themkulima
Themkulima@themkulima·
Kuna Muda mambo yakiwa yanataka kuharibika unatumia njia za jadi kuokoa maisha ya Mmea,Hapa kuna Yaramilar winer,sukari,Mult K ya Balton,Calsium carbonate.Vyote tumechanganya kwa pamoja Ili Kuokoa maisha ya Mche flani wa nyanya shambani kwetu.
Themkulima tweet media
Indonesia
8
8
20
743
Nafaka° retweetledi
Themkulima
Themkulima@themkulima·
Huu mwezi hakuna watu wanaongoza kuongea peke yao kama wakulima wa Nyanya
Themkulima tweet media
Indonesia
11
20
193
6.4K
Nafaka° retweetledi
TUNECHI🇦🇺
TUNECHI🇦🇺@Thereal_Kabote·
Kuna binti mmoja humu nilitaka kufanya nae kazi baada ya kuona ni mtu anaye jielewa na anafaa kwa position niliyomkusudia Nikamtafuta na kumuomba tuonane baada ya ramadhan kuisha kwa maongezi zaidi ili nimpe ofa hiyo Jana napokea screenshot za jumbe zake kwenye group lao anadai namtaka kimapenzi😆 Wallah kudeal na kiumbe kinaitwa mwanamke ni kazi sana🙌
Filipino
64
36
371
34.5K
Nafaka° retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Wakulima, tupige hesabu kidogo. Unavuna mazao mwezi wa tatu au wa nne, halafu unatunza ili uje kuuza mwezi wa 10 au 11. Hapo, faida ikiwa inazidi sana inaweza kufikia 200 TZS kwa kilo moja. Ushauri ni huu: kwanini usiuze hayo mazao tu, halafu ukawa unanunua na kuuza tena?
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
11
9
45
3.4K
Nafaka° retweetledi
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿
Haya tunayoyaona watu wanaandika na ku-comment mitandaoni (Kujadiliana pamoja) ndiyo yale yale wanayoyafanya kwa vitendo mashambani kwao. Na hiyo ndiyo elimu halisi ya kilimo (Elimu ya Ugani). Sasa wewe endelea kupuuza na kusema ni kilimo cha mtandaoni.
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿 tweet media
Filipino
5
8
33
1.5K
Nafaka° retweetledi
Nkota
Nkota@xlusako·
Ukitembea Dodoma vijijini umasikini unaonekana kwa macho unaweza hata kuushika.
Indonesia
97
120
1K
44K
Nafaka° retweetledi
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Ukiwa mkoa wa Tabora hasa wilaya ya Igunga na maeneo ya Ziba na Choma katika jimbo la Manonga, watu wanalima mpunga sio mchezo.
Filipino
5
7
115
2.9K
Nafaka° retweetledi
R.M
R.M@shibobo___·
Biashara ambao ni NGUMU kuua MTAJI kwa bongo ni nafaka yaani mchele na sembe Mtaji wake ni namna we unataka uanze Demand yake haina mfano ni ya KITAIFA Ndiyo mazao yana demands more than 60%+ local ndani ya nchi ( mazao yanayoliwa zaidi nchini) mwaka mzima hayana msimu.
R.M tweet media
Indonesia
15
30
237
9.3K
Nafaka° retweetledi
ABD
ABD@SamataJr_12·
OTESHA Time🌾 @PichaNzuri
ABD tweet media
English
1
4
17
618
Nafaka° retweetledi
ABD
ABD@SamataJr_12·
Kukutana na swindii kawaida tu kazini kwetu🌾 @PichaNzuri 😆
ABD tweet media
Indonesia
2
7
28
1.3K
Nafaka° retweetledi
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿
Fremu ya kwanza ni kabla na Fremu ya pili ni baada ya kupulizia kiua gugu (selective herbicide) njia nzuri ni kupalilia kwa mkono ila ukiwa na Ekari kuanzia 40-50+ na vibarua kuwapata ni changamoto 👉Ishi na herbicide.
𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿 tweet media𝐌𝐚𝐳𝐢𝐤𝐮 𝐀𝐆𝐑𝐈𝐂 🇹🇿 tweet media
Indonesia
6
10
36
1.6K
Nafaka° retweetledi
Fatima 🫧💗
Fatima 🫧💗@fattyyyronkeee·
I witnessed something so beautiful today 😍 Three sisters(students) on their way back from school stopped by to clean the mosque without been asked(the eldest washed both gender toilets). May Almighty Allah reward them abundantly 🤲🏼🥰
Fatima 🫧💗 tweet mediaFatima 🫧💗 tweet media
English
242
943
7.3K
433.6K
Nafaka° retweetledi
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Hiki kitabu kina story tamu sana ya Mtume Muhammad, moja ya biographies zilizoandikwa zikaandikika!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
13
31
247
8.2K