Trojan

4.4K posts

Trojan banner
Trojan

Trojan

@el_chituta

#Data science #machine learning #Apache spark #digital marketing #seo optimisation Manchester United fans

Tanzania Katılım Haziran 2011
1.8K Takip Edilen1.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Trojan
Trojan@el_chituta·
when choosing variables for analysis consider the aim of your analysis do you want to understand behaviour(cohort) or you want to understand variable relationship (correlation) #DataScience #DataAnalytics #machinelearning
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
0
1
1
325
Trojan
Trojan@el_chituta·
@francismtey Shetani alitoa maoni yake mbona ,Alisema binadamu ni kiumbe dhaifu ana matundu mengi ambayo yangempelekea kuwa na tamaa,kwahiyo hawezi msujudia.Akaambiwa Adamu kakuzidi elimu na Adam aka prove kumzidi Shetani Elimu,Shetani akaomba kumwendea Adam katika Kila njia kumpotosha
Indonesia
2
0
0
419
I AM
I AM@francismtey·
Shetani ni kama Alinyimwa haki yake ya kutoa Maoni/Dukuduku? Tunaambiwa tu Story za Upande Mmooja. kwanini lakini...
Indonesia
30
12
120
17.2K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@Jabir_Tz @INFLUENCERjr Mafuta ya USA ni gharama sana ,Wenyewe wanauziwa 3700+ kwa Lita ,sisi tumefika 3800++ kwa Lita. Sasa safirisha 3700+ toka USA kwenda sehem nyingine utauza sh ngap
Indonesia
0
0
0
20
Jabir
Jabir@Jabir_Tz·
@INFLUENCERjr Achana na propaganda za wakubwa mzee 😂 •Mr Orange man kaiambia Dunia kua us iko na wese jingi kuliko Russia+Saudi Arabia _mbona asiiuzie Dunia hayo nafuta? Note that; 80% oil inatoka kwa waarabu hallasi
Indonesia
4
0
16
2.5K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ni 20% tu ya mafuta yote duniani ndio yanapita kwenye mlango wa bahari wa Strait of Hormuz (ambao upo chini ya Iran). Inaamanisha kuna 80% yanapita njia nyingine salama sasa inakiwaje Dunia inakumbwa na uhaba wa mafuta kwa kukosa 20% tu?
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
45
17
415
31.8K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@MunishiRenald Ni jambo jema kamua kufuata syllabus ya uingereza
Indonesia
0
0
0
135
Munishi Renald
Munishi Renald@MunishiRenald·
Traore anasema demokrasia haifai. Means kajipanga kuwa lifetime president . Africa tuna mifano mingi ya watu kama yeye, muda utasema.
Indonesia
84
24
398
29.9K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@HabiibYahyaa Waisrael waache kudeka wao Ndo walikuwa wanaongoza kuua watoto wa palestina na kuzuia misaada ya chakula isiwafikie
Indonesia
0
0
0
40
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Hii ndio Tafsiri ya Barua ya Israel kwenda Umoja wa mataifa dhidi ya Iran Cha kujiuliza wao hawafi na wala hawatangazi Vifo sasa malalamiko haya yanatokea wapi ? Soma mwenyewe ujionee maajabu 👇 WIZARA YA MAMBO YA NJE YERUSALEMU Wizara ya Mambo ya Nje Jerusalem Bi Catherine Russell Mkurugenzi Mtendaji UNICEF Machi 23, 2026 Mada: Mashambulizi ya Kiholela ya Iran kwa Watoto wa Israeli Mpendwa Bi. Russell, Ninaandika ili kuomba umakini wako wa haraka na kulaani bila shaka mashambulizi ya makombora ya masafa marefu yanayoendelea na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya raia wa Israeli, yanayohusisha matumizi haramu ya risasi za makundi. Waathiriwa wakuu wa uchokozi huu ni raia wasio na hatia na watoto. Jumamosi hii, Machi 21, kombora la Iran lenye silaha za kivita lilishambulia jiji la Rishon LeZion, na kutawanya silaha hizo katika maeneo 11 tofauti, ikiwa ni pamoja na shule ya chekechea na kituo cha kulelea watoto ambacho kwa bahati nzuri kilikuwa tupu wakati huo. Pia mnamo Machi 21, kombora lingine lililokuwa na mamia ya kilo za vilipuzi lilishambulia mtaa wenye makazi mengi huko Arad, na kusababisha majeruhi wengi ambapo zaidi ya raia 115 walihamishwa hadi Kituo cha Matibabu cha Soroka. Miongoni mwa waliojeruhiwa walikuwa watoto 18 na watoto wachanga, akiwemo msichana wa miaka 5, katika hali mahututi sana na watoto wengine wanne kwa sasa wanapigania maisha yao katika kitengo cha utunzaji mkubwa wa watoto hospitalini. Saa chache kabla, shambulio la makombora katika mji wa Dimona katika maeneo 12 tofauti lilisababisha jengo la makazi kuanguka kwa sehemu, na kuwajeruhi takriban raia 60 akiwemo mvulana wa miaka 12 na mvulana wa miaka 10 ambao walipata majeraha mabaya ya vipande vya ganda. Matukio haya yanafuata mpangilio wa kusumbua: Mnamo Machi 14 huko Eilat, mvulana wa miaka 12 alijeruhiwa vibaya na vipande vya risasi vya kundi alipokuwa akivuka barabara, na akahitaji upasuaji mwingi katika Hospitali ya Yoseftal. Mnamo Machi 2 huko Beersheba, kombora liligonga jengo la makazi, na kuwajeruhi watu 15, wakiwemo watoto. Siku moja mapema, mnamo Machi 1, shambulio baya la kombora la Iran kwenye makazi ya Beit Shemesh liliwaua raia tisa, na kuwajeruhi zaidi ya 50. Miongoni mwao, ndugu watatu vijana, wenye umri wa miaka 13, 15, na 16, ambao waliuawa pamoja walipokuwa wakitafuta hifadhi, pamoja na mvulana mwingine wa miaka 16. Timu za uokoaji ziliwaokoa watoto kadhaa waliojeruhiwa kutoka kwenye vifusi, akiwemo mtoto mchanga na msichana wa miaka 10 waliokuwa katika hali mbaya, na kuonyesha zaidi vifo vya kutisha kwa kijana asiye na hatia. Mashambulizi hayo pia yanaathiri kisaikolojia. Maelfu ya watoto wa Israeli kwa sasa wanapokea huduma ya kisaikolojia katika vituo vya kitaifa vya ustahimilivu na hospitali kwa wasiwasi mkubwa unaosababishwa na milipuko na kifungo cha muda mrefu katika makazi ya mabomu. Kama shirika la kimataifa lililopewa jukumu la kulinda haki na ustawi wa watoto, ningependa kuzungumzia suala hili na UNICEF ili ukiukwaji huu mkubwa utambuliwe na kushughulikiwa kimataifa. Ninaiomba UNICEF kutoa hukumu ya wazi na ya haraka dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ukatili huu, na kusimama kidete kuwatetea watoto wa Israeli. Kwa dhati, Nina Ben-Ami Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa Cc chotara mweusi
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
4
2
20
1.5K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@njiwapori_ F35 imetengenezwa katika namna ambayo imefanya infrared na radar izione kama kitu kidogo sana. Kwahiyo Radar system hawawezi tumia makombora ya mamilioni kutungua kitu kidogo wanaona hakuna madhara kumbe Ndo Ndege ya kivita
Indonesia
2
0
8
766
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Hivi wanaposema hizi F-35 ni invisible wanakuwa na maana gani kwamba rada ndio hazioni harafu kwa macho ya kawauda mnaona au ? Maana ninachojua mimi hizi huwa nakelele nyingi, ambazo ikipita mnajua kabisa imepita. Naombeni elimu wakali wa physics.
Njiwapori 10k tweet media
Indonesia
31
12
109
12.9K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@Thommunkondya Usipozima Taa wakati unalala Ndo ndoto huja kama hivi
Indonesia
0
0
0
29
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara paaaaa ,Mkeka mpya wa bei ya mafuta unatoka na bei zinarudi kwenye nafuu, hata chini zaidi! 😎 Mama hashindwiii.
Indonesia
103
1
65
12.6K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Trump anaweza kuongea statements nne zenye kukinzana ndani ya siku moja😅
Indonesia
9
1
58
2.9K
thehuman
thehuman@kingofccl·
@_zolendronic Sasaiv wanayarusha kwa mkono maana kambi imeripuliwa😂😂😁
Filipino
1
0
1
121
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Naambiwa hapa na wasaidizi wangu kuwa huko Isfahan kambi za Siri za IRGC zimepigwa vibaya mno... Yaani ziko ndembe ndembe
Filipino
9
8
69
5.2K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@EliabuDanford Uchaguzi wa kumuingiza Trump madarakani yasemekana ulichezeshwa ,Mmoja wa aliyefanya uchunguzi juzi kafariki na trump kafurahi kinoma
Indonesia
0
0
0
427
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Raisi wa zamani wa Congo Joseph Kabila amekiri waliamua kuchakachua uchaguzi[manipulated elections] kumpendelea Raisi wa sasa Felix Chisekedi baada ya kutafakari mwenendo wa uongozi wa nchi. Katika hekima yao ya siasa waliona ni vizuri raisi apate viti vingi na uungwaji mkono mkubwa ili aje kutengeneza serikali ya umoja wa kitaifa[a coalition government] wakasaini makubaliano hayo miaka 7 iliyopita baada ya Felix kushinda uhusiano wake kati yake na Felix ukadorora haraka haraka na kupelekea kukimbia nchi kwenda Afrika ya Kusini huku akishtakiwa kwa makosa ya uhusiano na kuhukumiwa wakati hayupo. Chombo kimoja kimemhoji akijutia kuchukua maamuzi hayo. Sina uhakika kama wanasiasa wa Afrika huwa wanawazi wananchi wao, wanajiangalia wao tu. It's games after games for their benefits when people are seriously suffering.
Indonesia
2
6
87
8K
Trojan retweetledi
Amock_
Amock_@Amockx2022·
BREAKING 🔥: Trump has completely surrendered in front of 🇮🇷 Iran 1 March : Trump 🇺🇸: "We will do regime change in Iran at any cost" 😂 10 March : Trump 🇺🇸: "We have finished entire Iran leadership" 😂 15 March : Trump 🇺🇸: "Iran will have to open Strait of Hormuz in next 48 hrs" 😂 20th March : Trump 🇺🇸: "I will control Strait of Hormuz along with Ayatollah" 😂 25th March : Trump 🇺🇸: "If Iran doesn't open Strait of Hormuz, i will destroy their energy plants" 😂 30th March : Trump 🇺🇸: "I can open Strait of Hormuz in just 2 mints" 😂 TODAY : Trump 🇺🇸: "I am ready to end war even if Strait of Hormuz is not opened" 😭 What a loser. Pathetic leadership 🤢
Amock_ tweet mediaAmock_ tweet media
English
420
4.1K
12.9K
509.7K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@MkulimaKante Yona alikuwa anawachana wana waache dhambi wakamuona mzee wa zation,Akaone achape lapa,wakati yupo njiani kusepa si Sir God akaanza Kipigo wana wakarudi kwenye mstari wakaomba warudishiwe Aposto wao
Filipino
1
0
1
10
Trojan
Trojan@el_chituta·
@kikomasta Juzi kati walisema wameharibu Kila kitu iran
Indonesia
0
0
0
161
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, anaitaka Iran kusitisha utengenezaji wa droni na makombora yaliyotumika katika mashambulizi ya hivi karibuni. Huyu jamaa kawaza nini kwani? #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
12
4
100
5.4K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@Balyx_ Baada ya kuivamia Venezuela,Cuba imepoteza uwezo wa kupata mafuta,kitendo kilichopelekea sehem kubwa ya nchi kukosa umeme ,Jumlisha na hali ngumu ya maisha.Huku trump akitaka uongozi ubadilishww
Indonesia
0
0
0
91
Balyx
Balyx@Balyx_·
Trump ana shida gani na Cuba 🇨🇺?
Indonesia
5
1
59
2.8K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@msouthherbs Umma Bora ni ule wenye kurekebishana nadhani pointing yake ilikuwa hapo
Indonesia
0
0
0
43
Msouth small trader Herb’s
Msouth small trader Herb’s@msouthherbs·
KUNA NDUGU MMOJA HUKO ZANZIBAR KATIKA ZIARA YA SHEIKH KISHK ALIPOPEWA KIPAZA SAUTI ALISEMA "MLEVI WA ZANZIBAR NI BORA KULIKO MASHEIKH WOTE WA BARA " NA AKASEMA KAMA HUAMINI KOSEA TU MBELE YAKE ATAKWAMBIA HAPO SHEIKH UMECHEMKA! NAJARIBU KUWAZA JE HUENDA ALIKUSUDIA KWAMBA SISI...
Indonesia
3
0
7
827
Trojan retweetledi
Alex Freberg
Alex Freberg@Alex_TheAnalyst·
If I were applying for a job today here is what I would do: 1. I would look up 10-15 companies that I'm trying to target for a job. 2. I would look up job postings for roles I'm qualified for and create 2-3 custom resumes to use to apply. 3. I would apply to all open positions at those companies and then reach out to recruiters and hiring managers who work at those companies/for those specific jobs. 4. Create a Spreadsheet of all these roles and track responses. 5. Follow up. If I don't hear back in a week. 6. Rinse and Repeat. I would also be focusing on local jobs that are in-person as there will be a lot less competition. If I was out of work I would be willing to relocate for a role. The job market is tough! But it wasn't ever super easy. It took my about 6 months or applying to 1k+ jobs back in 2017 to land my first real Data Analyst Job. There are still great companies hiring if you look in the right spots and apply strategically.
English
12
45
402
23.3K
Trojan retweetledi
Sprinter Press
Sprinter Press@SprinterPress·
Trump, the liar, got flustered and blurted out: I just want Iran's oil! Against the backdrop of a new record for Brent oil prices and a level of $116 per barrel, Trump tried to influence market fluctuations with verbal statements, but this time he actually admitted the goal of the war against Iran - to seize Iranian oil. In an interview with the Financial Times, Trump directly stated his intention, saying, in his words, that the only thing that interests him is obtaining Iranian oil. He also called opponents of this position "fools" and stated: "But some stupid people in America say: 'Why are you doing this?' - but they're just fools!" ✔️ Trump has been mired in the quagmire of the war with Iran for 31 days. He did not expect that the conflict with Iran would cause him so many problems, and assumed that, as in the case of Venezuela, he would be able to quickly seize Iranian oil, but he failed. Now he has voiced his goal - a goal that not only will not become a reality, but will also turn into his eternal nightmare.
Sprinter Press tweet media
English
12
51
193
12.4K
Trojan
Trojan@el_chituta·
@bajabiri Sasa mbona kama hesabu zinamkataa,Mpaka sasa wamepoteza Bill 10 USD wakati Iran ka gain Bill 14 USD kwa kuzuia tu humuz
Indonesia
0
0
0
135
Trojan
Trojan@el_chituta·
@VungaEl74 Waisrael wanaandamana wanadai Ntenyau kaanzisha vita Ili uchaguzi usogozwe mbele
Indonesia
0
0
0
23
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Majanja wa irani hawajui siasa za marekani na Israel wanafikilia zipo kama za dola ya Kiislamu nchini irani Siasa za marekani na Isreal hazibani wanaopiga serikali Hazikamati anaeisema serikali kwa mabaya yake Hazifanyi mauaji ya waandamanaji kisa kubaki madarakani Serikali kipaumbele chake ni raia tu kuwa salaama Raisi hausiki na waandamanaji yeye ni kusubili report tu Benjamin Netanyahu amekuwa mzuri sana kucheza na wapinzani wake ndio maana amekaa miaka ming
Indonesia
14
3
29
2.3K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Njia nyepesi ya Kufilisika ni ipi ? Yaani ile hata uwe na 2B Ila ukigusa tu unabaki kapuku ?
Indonesia
86
25
416
43.1K