Martin retweetledi
Martin
231 posts

Martin retweetledi
Martin retweetledi

@OSenkondo @faraja_zungu Upo sahihi bro,wanajua kufikiria karibu na sio mbali mwisho wa siku anajuta tu
Indonesia

@faraja_zungu Matatizo yalianzia siku ile alipokwambia umtafutie kazi, Irine aliishi na wewe kijanja sana, na Hivi ndivyo wanawake wengi wanaishi na waume zao, afu ni wapumbavu Sana, wakiwa ofisini wanadanganyana..Shoga usikae kizembe, mwenzio najenga madale na mume wangu hajui..huu ni ujinga
Indonesia

Mwaka 2016 nilifunga pingu za maisha na Irene, alikuwa amehitimu elimu ya chuo kikuu hapa
Ndoa yetu ilikuwa na amani sana kiasi nikawa najuta kwanini sikufanya maamuzi haya mapema
Miezi sita ilikatika tangu tufunge ndoa hapo mke wangu akaanza kunisumbua akitaka ajira rasmi 👇:
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
Martin retweetledi
Martin retweetledi

Martin retweetledi
Martin retweetledi
Martin retweetledi
Martin retweetledi

HELLO FRIDAY: Ukombozi wa Afya Yako Ni Sokoni, Usipo kula Chakula Kuimarisha Afya Yako Kama Dawa, Ipo Siku Utakula Dawa Kama Chakula.
Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa.
Ndizi 🍌 → Tajiri wa viinilishe Mwili.
Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone.
Tende 🧉 → Husaidia kuupa mwili nguvu.
Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini (Detox)
Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi 🥔 → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili...!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika maisha yako ya baadaye. Join us free link kwenye bio.
Jisajili Nasi Kwa Elimu bora Ya Afya Na Usimamizi Wa Afya Yako Ya Uzazi...👇
…-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com
THANKS TO BE WITH ME THIS MORNING.... 🩺

Indonesia
Martin retweetledi

@VittusJ @arusha_icon Jumlisha Na miaka alivyocheza kwenye hiyo timu
Indonesia

@arusha_icon pale huwezi kumtoa huyo nadhani anamiaka kumi na sita sasa
Filipino

𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂 | 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓
Bei RejaReja 45,000/=
Wahi sasa Makao Makuu ya Klabu, Jangwani
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko




Indonesia























