Sabitlenmiş Tweet
Cuthbert Sweetbert
4.1K posts


@Adventure_36 Wanaume tunapitia mengi sana na usipokuwa na kifua lazima ushangaze dunia
Indonesia

@Therealngassa @kilepi_tweve Watanzania hasa watu wa Dar hawapendi kufanya kazi wao wanapenda starehe na pesa tu
Indonesia

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi”
“Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo”
“Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali”
“Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia”
“Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka”
#MilardAyoUPDATES

Indonesia

Ya samaki na Ardhi, nyingine za Wana.
Ila naingia kwenye Maziwa soon 😆
tutla Cholo@tutla7
Lubasha una biashara ngapi
Filipino

@Adventure_36 @LMwimbile Kwa watu wa maeneo ayo Kisarawe ni karibu sana na kunaendeka kirahisi hata kwa huduma kama za kibank na nyingine ila nasikia na huduma zao ni nzuri kwa iyo hospitali
Filipino

@MankindUwezo @Jasusiwetu @bonifacejoseph_ @munyamambogo @MarekaMalili @EsirEid @ZPlanmaster Kabisa, ni inawezekana
Indonesia

@CuthbertSweetb2 @Jasusiwetu @bonifacejoseph_ @munyamambogo @MarekaMalili @EsirEid @ZPlanmaster Tufuate sheria kuepuka vifo na vilema
Eesti

@bonifacejoseph_ Jana alikamatwa na polisi,akiwa kwenye njia ya mwendokasi pikipiki yake ikapelekwa kituoni.
Leo ameenda wamemuweka ndani,nimewasiliana na mkuu wa kituo kasema alikamatwa kwenye operation maalum hivyo ni lazima akae ndani masaa 24,na aliyemkamata ni senior kwake

Indonesia

@MangiwaKwanza1 @kilepi_tweve Anaeweza kuishi na mwenzi wake hata miaka 40 na hampendi lakini anamuhudumia kila kitu ni Mwanaume tu, lakini icho kiumbe mwanamke kama hakupendi wewe na pesa yako utapigwa matukio mpaka ufe
Filipino

@_zack255 @420Cousin @Hakingowi @Kilwafinest @kwamekivaisi @Kipanga1986 @Rahma_Simba @RashdaZunde @Getrude_mollel @BrendaRupia @Baradhuli2 Maneno mazito aya, iyo namba 3 una uhakika nayo? Isije kukuponza, nadhani ungeendelea na wanasiasa wenzio wa chadema huku kwingine sio levo zako
Filipino

WAKATI SIKU ZA KUTOA RIPOTI ZINAKARIBIA
Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!..
1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile?
2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali?
3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na wahuni kufanya vurugu?
4. Nani alitoa silaha ndani ya JWTZ na zikatumika kuuwa askari waliokuwa wanalinda uchaguzi?
5. Nani alisukuma waumini wa kanisa la Gwajima kuchoma moto vituo vya mafuta hasa pale Shekilango?
6. Nani aliyekodisha Mungiki na kuchoma ofisi za umma kule Mwanza na Arusha?
7. Nani aliwapa UFIPA hela kusafirisha wahalifu kuja kufanya vurugu Dar Es Salaam na kuchoma moto magari kwenye yard pale bandarini!.
TUNASUBIRI KWA HAMU sana haya majibu.
Indonesia

@MalkiaTabasamu @juliejuleth Hao ni Wanaume wanne tofauti lakini usije sema hatukukuambia
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Tumefungua Leo… ila Iddi Tutaswali Kesho,IN SHA ALLAH🙏🏽🙏🏽
Karibuni saana kesho Nyumbani kwangu GOBA,Dar Es Salaam- tupige Pilau🤝

Indonesia













