Sabitlenmiş Tweet

@VannesserMalick Mwambie aconcentrate kwenye mambo(10) yafuatayo:-
1. Kula vizuri
2. Kufanya mazoezi
3. Kupumzisha mwili wake
4. Amwombe Mungu sana
5. Akazie kwenye namba 4
6. Arudie namba 5
7. Ajitahidi kuielewa namba 6
8. Msaada mkubwa upo kwenye namba 7
9. Ashike amri 10
10. Amove ON
HT















