Ziara ya Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame nchini Tanzania leo tarehe 03 Mei, 2026.
Biashara ya Tanzania na Rwanda imekuwa na itakuwa zaidi siku zijazo.
@HecheJohn@Oleshangay@tanpol nyinyi ndo sababu ya haya yotee msitumike now Dunia ipo uchii mtaaibika @MariaSTsehai na wana harakati wote huwa wana washauri ss mnatengeneza kitu ambacho ni ujinga
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.
Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..
Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.
Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.
Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.
Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.
Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..
Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!
Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike..
Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
@spana_Konki Nchi imekua ya kigaidi watu wanachinjwa @NigeriaGov ni bora nigeria wanajua wanao uwa ni magaidi ila bongo serekal ndo inachinja watu wake
Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka!
Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa
Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya?
Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti!
Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu!
#ChangeTanzania
@MariaSTsehai Hii kitu inauma aisee leo siku yangu imevurugika yani nikimwangalia kada la ccm natamani nimtafune,
Hivi Samia ni katili kiasi gani kuma Nina walai
Mjomba wake msanii TEMBA alitekwa, jana maiti yake imeonekana imesombwa na maji huko Tabata haina KICHWA.
Hutasikia uwajibikaji kwa vitendo vyote hivi vya utekaji kwasababu watekaji ni wao.
Tanzania kuna VIBAKA wachache wao ndio wanatoa VIBALI vya watu kuishi sio kazi ya MUNGU tena.
INSECURITY TANZANIA
This young man James Temba from Tabata Dar es Salaam disappeared in suspicious circumstances
His body was discovered headless in a river - and we don’t expect any meaningful investigation!
Police have remained unhelpful while abductions continue under.
#EnforcedDisappearance#Tanzania@SuluhuSamia
Cc @WGEID@volker_turk@UN_HRC
@Twaha_Mwaipaya@HecheJohn Kwann tumefika hapa?
Ni nani mnufaika wa haya?
Je Tumeamua kuibadiri Nchi kuwa na mahakama za kiislamu ?
(tusirejee udini bali mahakama za kuua bali kutosikilizwa ziko arabuni)
When a small group of cowards take a big stake in the regime,they will be no right before justice..
Nimeona video imesambaa mtandaoni, maiti ya mwanaume imeokotwa ikiwa imekatwa kichwa, inaelea katika bonde la mto Msimbazi eneo la Tabata. Baadae nakutana na chapisho la msanii, Mh. Temba anasema ni mjomba wake anaitwa James Temba. Nchi yangu imeharibika sana. Tumefikaje hapa?
@IAMartin_ Uuuwi nchi yangu alafu Kuna hawa washenzi @ElionaKimaro wanasimama na hii serekali katili namna hii jamani jamani eee Mungu tusaidie @ccm_tanzania inamaliza vijana hii @ikulumawasliano imelaaaniwa milele
‼️HABARI MBAYA‼️
Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba
James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa.
Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake.
Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya.
Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
@PolycarpMDM Ukiona mwanaume anyoa ndevu zote jua kabisa na mkunduni ananyoa hivyo hivyo @tanpol hawa ni viziro ndo mana wanafanya kazi ya laana hawajawai kua na akili