erick mukuta

412 posts

erick mukuta banner
erick mukuta

erick mukuta

@erickmukuta

Knowledge is the key to Financial Freedom #Gemini 26 Fun/Love enjoy tomorrow is not promised just assumed

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2011
2.7K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
erick mukuta
erick mukuta@erickmukuta·
You create a problem then you solve it Asante Politics
English
0
0
0
0
erick mukuta
erick mukuta@erickmukuta·
@Ireneigora Hiyo stage unayo pitia ni priminaly kwenye mahisiano they have to be assured kuwa your here to stay but kama they are not sured hawawezi waste time coz some men have tried to build up people in they life then wana potea sasa hana haja yakuanza kurekebisha bila assurance
English
0
0
0
36
Victor Forgeoux
Victor Forgeoux@Ireneigora·
Mi kwenye maisha yangu natamani kupata mwanaume ambae ataniongoza Yaan awe na misimamo yake kama mwanaume nikikosea anirekebishe ila naishia kupata hawa nikiongea mara Moja anaufyata kila nachoongea ni Sawa Tu najikuta mi ndo natawala mahusiano kwani Nina shida gani jamani 😿
Indonesia
126
45
520
38.6K
Mchachu, PhD🐐
Mchachu, PhD🐐@mchachu_·
Reply ziwe fupi fupi please....😂😎👇
Mchachu, PhD🐐 tweet media
Polski
705
71
1K
126.6K
Ms Bee🌹
Ms Bee🌹@asiliasali·
Kwann anajipapasa chuchu? 🙄
Filipino
48
16
236
35.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Jana, Kulikuwa na Show ya Bongo Flavour Honours.... Ambapo Queen wa Bongo Flavour... Alikonga nyoyo za watu wengi, kwa perfomance yake matata sana!! Huyu kweli anastahili kuitwa Queen wa Bongo Flavor and Perfomance... Angalia ilivyokuwa.... Videos kwa Comments👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
57
82
1.9K
250.5K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Napata wali na pweza roast... ila bana ubwabwa bila maharage ni sawa na choo bila maji. Mambo lazima yaharibike!!
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Filipino
14
4
177
8.4K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Kama wewe ni Muhenga huyu jamaa alikuwa anaitwa nani?😀
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
220
46
625
68.3K
Mudryk Jr
Mudryk Jr@mudryk_jr·
𝗠𝗔𝗚𝗛𝗘𝗧𝗧𝗢 𝗧𝗛𝗥𝗘𝗔𝗗 𝗖𝗛𝗔𝗟𝗟𝗘𝗡𝗚𝗘🧵✌️ Please Drop Picha Kali Ya Ghetto Lako👇
Mudryk Jr tweet media
Filipino
53
32
130
41.7K
erick mukuta
erick mukuta@erickmukuta·
@IAMartin_ Familia ilo swala hawataki kusikia kabisa labda ufunge ya selikari kesi iwe ndogo
Indonesia
0
0
0
23
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kila nikifikiria mambo ya vikao na kuwapigia watu kuwaomba pesa zao, nioe, naona miyeyusho. Binafsi nataka siku naweka jiko, kasherehe kadogoo hivi watu 50 kasoro. Maza na wadau hawataki, wanasema lazima kamati iwepo na michango.. kuna noma harusi ikiwa ya watu wa karibu tu?
Indonesia
298
136
2.2K
107.7K
erick mukuta retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ujumbe wa Jumapili kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Kalikawe Bagonza kuhusu kujiandikisha na kupiga kura. Msikilize na mzingatie.
Indonesia
29
320
1.4K
48.8K
Ms Bee🌹
Ms Bee🌹@asiliasali·
Ni pombe gani uliacha kunywa kwa sababu ulipokunywa mara ya mwisho kidogo ikuue😂😂
Filipino
221
41
886
100.8K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mara yako ya Mwisho, Kula Dawa za Minyoo ilikuwa lini?
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
14
5
60
7.1K
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Mtu wa Pixel akimtumia mtu wa iPhone Video hazionyeshi. Sasa hapo nani atapoteza wateja! Hawa Wamarekani waache michezo😁
James Munisi tweet media
Indonesia
78
63
975
123K
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
Nimemfukuza mke wangu usiku huu, Rasmi ndoa yetu imevunjika toka tulipofunga ndoa 2009. Ndoa ni utumwa, KATAA NDOA.
Indonesia
82
53
913
110.7K
franklusayo
franklusayo@franklusayo1·
@Adventure_36 Tupewe access ya kuprint tiket kitaa! Nikifika swipe tembea!Ttz Kwa wabongo ndo utakua mwanzo wa kufa huduma! Shida sana
Indonesia
2
0
4
1.1K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Jamani nawakumbusha tu. Treni ya SGR Ticket inasema fika masaa mawili kabla ya safari, Milango ya Treni inafungwa dakika 15 kabla ya treni haijaanza safari. Dakika 20 kabla ya safari hautaruhusiwa kukaa pale sehemu ya kusubiria " Waiting Lobby. Msije kusema hamkujua.
Adventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet media
Indonesia
59
75
698
92.3K