xdamas
561 posts

xdamas
@exdamas
Medical, Health & care #lastborn #kilusu
Mwanza, Tanzania Katılım Eylül 2022
39 Takip Edilen37 Takipçiler

@George_Ambangil @AM_NIC3 Daah alaf nimetoka kukuuliza from your last post kama ulipata
Eesti

@AM_NIC3 Asante sana , umetisha sana nimepata vile vile nilivyoona kwa picha , size ipo perfect na material 🔥class
🤝🤝🤝🤝


Filipino

Vijana mnamuonea babu
Kapige na watu wa Cardio
moranprince 👨🏾⚕️@SagiraW
Tulipata hii na Guru 🔥

@kocha540 @George_Ambangil Wag hill ni vile mkongwe tuu lkn Rock Bay ni pazuri sana
Eesti

@George_Ambangil Mwanza Nenda Wag hill achana na iyo Rock Bay ni TAKATAKA
Filipino

@bakarijordan_ @Kicheche_jr Wale jamaa siwasahau sakata wakulima na wafugaji 2014-2015 🙌
Indonesia

@Kicheche_jr Mi wamasai walinikosaga vibaya mno mada yoyote inayohusu hao jamaa huwa nashindwa kuwatetea.
Indonesia

@AceBet_95 @ReganTesla_ Anaposema alipata changamoto ya kifedha nahisi alitumia hela za wateja kufanya ishu zingine tofauti na kutuma bidhaa za wateja husika.
Indonesia

@ReganTesla_ Naomba kueleweshwa mtu akikupa hela yake mletee tv nini kinakwaza huo mchakato? Yani mtu katoa hela full ya bidhaa halafu muuzaji unasingizia una hali mbaya ya kifedha!?
Indonesia

@fintanjr_ @waziri3wa_wapwa Aah kwamba hela zake hazikusumbui kichwa 😅
Nimeipenda confidence yako 😀
Indonesia

Bhasi bhana , Juzi Elon alikuwa anawalipa ujira wafanyakazi wake na kilichohappen ni kuwa mmoja ya watu waliolalamika sana ni Davido, hapa ndio nilijua kila pesa na utamu wake na hazijawahi kukinai kiasi cha Davido mwenye hela nyingi za kutengeneza mwenyew na za kizazi chake , Still alileta noma.
Davido aliandika" Nina Impression ya zaidi ya 450millions, unanilipa 30usd!?.....hadi sasa wengi wanajiuliza ni kipi Elon anataka maana haeleweki kwenye kulipa kwake tofauti na wanavyofanya wengine.

Indonesia

@failasuf_ @Dee7_Legend @Philosophe45141 Kabisaaa!!
Ndiomana nilishangaa kuskia kuna watu wanaitwa akina God
Filipino

@Dee7_Legend @exdamas @Philosophe45141 @Mwinshehe07 Kumuita mtoto Godwin sio sawa na kumuita Mtoto God
Kwenye muktadha huo inaonyesha umiliki mfano upendo wa Mungu unakusudia kumuita mtoto wako Upendo wa Mungu kwako, na sio kwamba yeye ni Mungu.
Indonesia

@Philosophe45141 @Mwinshehe07 Nina mtoto sasahivi anatimiza miaka miwili. Nimemuita "Jesus" basi jamii yote inaniona kama nimekufuru. Alafu nikiwauliza mbona wengine mnawaita "Godi?". Sipewi majibu
Indonesia

















