
@Dee7_Legend @exdamas @Philosophe45141 @Mwinshehe07 Kumuita mtoto Godwin sio sawa na kumuita Mtoto God
Kwenye muktadha huo inaonyesha umiliki mfano upendo wa Mungu unakusudia kumuita mtoto wako Upendo wa Mungu kwako, na sio kwamba yeye ni Mungu.
Indonesia










