humble

40K posts

humble banner
humble

humble

@fact255

manifestation of national and transnational crimes

Katılım Mayıs 2018
5.6K Takip Edilen5.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
humble
humble@fact255·
Usiwahi kubali ni wewe hata kama kuna evidence zote😎
Indonesia
27
61
95
4.1K
humble retweetledi
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Ukiachana na wanawake wasio na Bikira, watu wengine ambao siwachukuliagi serious ni hawa ambao wakienda kanisani wanapiga picha fulani halafu baadaye wanakuja kupost ndio tuwaone kwamba wanaendaga kanisani.
Filipino
17
26
94
1.7K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Tofauti na washikaji wa karibu wa Ninja msiamini Info za Strangers kuwa Ninja alikuwa wapi akaenda wapi zile info sio za Bahati mbaya ni sehemu ya plan za kupoteza Maboya au kumtafutia kosa mwana. Unaamini mtu mmoja anaweza kuzomea kwenye Festival na sauti yake ikaenda? RAT
Taivina James tweet media
Indonesia
12
151
520
18.7K
archlee
archlee@archlee5·
@TuzoLwila @Jaguar_455 Unawajua CIA au unawasikia sina ushahidi kama ni kwel ila CIA ni habari nyingine na Kila nchi wapo
Filipino
1
0
1
217
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Kuna habari napewa hapa japo sina uhakika mkali kumbe ni jasusi la M16.
JAGUAR. tweet media
Filipino
63
21
340
36.7K
humble retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia
296
265
743
40.7K
humble
humble@fact255·
Biashara ambayo ukiweka million 1 unaweza pata laki kama faida basi ni endelevu na ina align na principles za pesa lakini Biashara ambayo unaweka laki upate million(betting)ni possible ndio lakini sio endelevu huwezi fanya hivyo kila siku kuna siku utapoteza mtaji mpaka faida
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯

Indonesia
1
1
1
94
humble retweetledi
Goddess🥀
Goddess🥀@Swit_zee·
Our generation is a bit too comfortable with the idea of going to hell
English
1.7K
3.5K
22.6K
627.1K
humble retweetledi
Fred Kavishe
Fred Kavishe@fredkavishe·
Ma ofisini unafiki mwingi sana watu wanaweza logana kisa safari na per diem
Indonesia
39
64
544
27.4K
humble retweetledi
Bluckuv
Bluckuv@Bluckuv·
Tusisahau kuishi wazee sio kila pesa ukipata unatupia UTT.
Indonesia
21
32
245
9.7K
humble retweetledi
Waziri Wa Mbeya
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98·
Kosa Kubwa Tunalolifanya Vijana Kwenye Maisha Yetu Ni Kutaka Kuwaonesha Watu Kuwa Kwa sasa Tunapiga Hatua...📌
Filipino
16
53
195
2.9K
humble retweetledi
Ja Leto
Ja Leto@_falsi1ke·
A man cannot make more money than his level of information. The more you know, the more you earn.
English
254
4.2K
20.1K
232.4K
humble retweetledi
Dear Self.
Dear Self.@Dearme2_·
David didn't pray for Goliath. He killed him.
English
103
737
4.7K
146.3K
humble retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Watu wa BETTING ni kama pambano kwa BARAKA wamepoteza aloo.😂 Sifungamani na upande wowote lakini na matreni yamesimama kiasi. Amekuwa mtu wa kejeli sana kwa kina TAIVINA JAMES. Ni kweli amewalaza chali?
Filipino
16
20
455
34K
humble retweetledi
FREENINJADAMOUR
FREENINJADAMOUR@Mwinshehe07·
Yule jamaa Huwa ni msenge msenge ni vile basi tu
Indonesia
88
71
359
22.8K
humble
humble@fact255·
Utaratibu kama wa Mchina tu hata kama hapendi vita mnayopigana ila yeye yuko tayari kuwauzia siraha za kupigania
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Kipindi kile Natafuta Tenders kwa Ofisi mbali mbali za Kiserikali kwa ajili ya KAZI na BIASHARA zangu! Picha zangu zikija humu -Nliambiwa mm ni TISS… mimi ni Mamluki… sina msimamo na kutukanwa saana hadi matusi ya Nguoni💔💔 Leo imefika zamu yenu… ndio mmeanza kufaham kuna KAZI na SIASA! Nimewapelekea moto kimaksudi ili myatamke na kukiri wenyewe kwamba; KAZI na SIASA ni Tofauti… mwisho wa siku vijana lazima tufanye kazi ili mkono uende kinywani… Nafikiri Darasa la Leo limeingia Vizuri💯💯🤝

Indonesia
0
1
3
161
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Muda huu Wanaharakati UCHWARA wanafuatilia DERBY YA KARIAKOO kwa AZAM MAX… Alafu mpira ukiisha watakuja na zile za… “Tulikubaliana Tusishabikie mpira wa nyumbani…” Humu ndani kuna michezo saana😂😅🙌🏽
Indonesia
54
49
469
19.7K
humble retweetledi
⚚Sage
⚚Sage@belikesagee·
twitter is cigarette for the eyes
English
197
16.5K
110K
1.8M