archlee

1.4K posts

archlee banner
archlee

archlee

@archlee5

"an architect is a captain of a ship" 🛳️✏️

Katılım Şubat 2021
540 Takip Edilen222 Takipçiler
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Kuna habari napewa hapa japo sina uhakika mkali kumbe ni jasusi la M16.
JAGUAR. tweet media
Filipino
63
21
335
36.2K
archlee
archlee@archlee5·
@TuzoLwila @Jaguar_455 Unawajua CIA au unawasikia sina ushahidi kama ni kwel ila CIA ni habari nyingine na Kila nchi wapo
Filipino
1
0
1
214
archlee retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia
296
265
740
40.1K
archlee
archlee@archlee5·
@Sativa255 Bora ungepigwa Shaba ya ubongo maan umejaa mavi njaa njaa tu
Indonesia
1
0
1
72
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tupate REPOST 200. Kesho CHAMA CHETU WANANCHI KINAONGEA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
22
354
1.1K
8.7K
archlee
archlee@archlee5·
@Nindi_Jr Hakika mfano HOMELAND natamani watu waangalie na wajifunze kuna mengi sana mle🔥
Indonesia
0
0
1
33
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ@Nindi_Jr·
Kadri Umri Wako Unavyosogea, Ndio Unavyozielewa Vyema Details Nyingi Kwenye Muvi
हिन्दी
2
6
64
1.9K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
@archlee5 Kwa sababu Ina resolution ya 2K
Filipino
1
0
2
368
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Tofauti kati ya 4K na QLED? Leo tutaangazia tofauti ya hizo misamiati 2, watu wengi hawafahamu. Uzi mfupi sana 🧵 4K ni resolution ya picha ambayo huwa ni 3840 x 2160 pixels. Ambayo picha unaiona halisi kabisa in details ( sharpness)
Bony 📚@bonifacejoseph_

TCL TV price updates ✨🥶 43" QLED - 550,000/= 43" 4K - 650,000/= 55" 4K - 920,000/= 55" QLED - 1,200,000/= 65" 4K - 1,350,000/= 65" QLED - 1,650,000/= 75" 4K - 1,950,000/= 75" QLED - 2,300,000/= 0747625726 Free delivery - Dar es Salaam Mikoani delivery fees kulingana na inch

Indonesia
3
12
52
8.8K
Beast
Beast@emabilly2001·
Ukimuona mwamba anapita na kengele ujue kishanuka n mda wa kulala 😁😁
Beast tweet media
Filipino
14
21
270
13.1K
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Siku zinakimbia My son is 4 years old today ❤️😍😊
TricyLove🦁 tweet mediaTricyLove🦁 tweet media
English
58
42
466
47.5K
archlee
archlee@archlee5·
@__Masstown JWTZ and TISS wanaajiri kuanzia level hii ya elimu
Indonesia
0
0
0
347
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Netanyahu: Tunaposhambulia usiku wa leo mashirika ya kimataifa na watoa matamko wa UN mkae kimya kama mlivyokaa kimya wachokozi dhaifu wakishambulia, usiku wa leo utakuwa wa historia”
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
31
36
472
21K
king
king@kingkunta2123·
@AbroadTanzania Walitangaza ushindi mwaka jana, mwaka huu wametangaza ushindi zaidi ya mara 12 ndani ya wiki tatu. Ila bado tu wanahaha.
Filipino
1
0
4
1.4K