Earth 🖖💥
23.3K posts

Earth 🖖💥
@factzonep
Clinical officer/pianist/catholic choir master/chelseabarca diehard, fair politics #savetheworld #thereisnoplanetB Yafichikayo machoni imani huyaona!
Kilimanjaro, Tanzania Katılım Ekim 2016
2.9K Takip Edilen2.7K Takipçiler

@Legend_Mtikila Kaka unatumia Jina la mtu aliyezoeleka kujenga hoja, ufuate nyendo zake na siyo matusi, ni ushauri tu..
Slovenščina


@Iam_Malunguja Sijajua ni labda wenye elimu hawayaoni au hawayajui, lakin nachofahamu ubinafsi ndio unaharibu yote haya..
Msukuma amefanya vizuri sana, ningekuwa na mamlaka ningempa wizara husika ili iwe chachu kwa wabunge wengine kufanya vizuri
Indonesia

Mfumo wetu wa ustaarabu(A national system for civic and behavioral transformation or civilization). Tuna jamii isiyostarabika,ndiyo maana tuna shida ya uti wa sheria,uwajibikaji,nidhamu,bidii ya kazi nk.
Kaka Ujugu@KakaUjugu
Ungepewa nafasi ya kuibadilisha hii nchi ungebadilisha nini
Indonesia

@Thommunkondya Wasiwasi wangu ni utekelezwaji na kupuuzwa kwa mtoa mada, tunawajua ninyi kwa kubeza elimu za watu licha ya alichokichangia, sina imani binafsi
Indonesia

Nanukuu.. "sisi wana CCM, nani ametufunga kusema ukweli?"..
Aione kwenye jalada @Thommunkondya
Swahili Times@swahilitimes
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameshauri serikali ifute mipango yote ya mwaka huu na badala yake pesa ielekezwe katika ukarabati wa barabara.
Filipino

@zeelao_og_ Kuaccess porn twitter ni rahis kuliko mtandao wowote yan
Filipino

@Kamnyeso @swahilitimes Umekataa maelezo the Pdf Guy 😁😁😁, nakuelewa kaka..🙏
Indonesia
Earth 🖖💥 retweetledi

@Kamnyeso @swahilitimes Msukuma huenda anielewa sana hii sector sababu yeye ni mdau mkubwa sana wa usafirishaji wa ardhini, anateseka mno kukarabat chuma zake, akisikilizwa ana point huyu
Indonesia

Siku moja Dom-Manyoni nilikuta wanaziba mashimo kwa udongo wa kawaida. Nilisimama nikauliza hustler mmoja akasema ni malekezo kwahiyo wamepewa fungu wafanye hivyo.😄
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07
Hata wao wanaona aibu 🙌
Indonesia

Jemedari hajataka unafiki wa juma kusifia sifia zile taarifa zilipostiwa na media Jana kuhusu Rio 😂
📸 @CrownMediaTZ
Indonesia
Earth 🖖💥 retweetledi

@MaybachVert @Mwinshehe07 @mTusiOriginal @COMCOMsvym 😁😁😁😁😁 hii ngeli ukiipeleka pale Bungeni malawi utapigiwa makofi tu ila watatoka patupu
Indonesia



















