Sabitlenmiş Tweet
Farway23
2.8K posts


@WaruhiuFranklin Where is the shame ?,where are the morals? ,where is society headed ? Where is the link ?
English

Leo NIFFER anarudi Uraiani mimi naomba niongee na mdogo wake NIFFER.
Kuna usemi wanasema ndugu wa kweli ni yule anaekuwa na wewe kwenye shida. Watu wengi tunapopata matatizo NDUGU huwa wanakimbia na kutuacha tupambane na matatizo yetu wenyewe (kwenye hili FAMILIA YANGU HAIPO nyie ni mashahidi).
Mdogo wake Niffer lilipotokea Tatizo kwa dada yake alijifunga KIBWEBWE na kuendeleza mitikasi ya dada yake. Haikuwa rahisi kufanya alichokifanya dada yake ila alijitahidi kulingana na wakati waliokuwa wanapitia kama familia.
Alikuwa anafanya matangazo ya kupromote biashara za dada yake huku anatabasamu ila ukimuangalia kiundani unaona KILIO. Nilikuwa nashindwa kumaliza kuangalia matangazo yale maana yalikuwa yanaumiza sana kwa wanachopitia kama familia.
Leo NIFFER anatoka na huenda akarejea kwenye kazi zake kama kawaida—nipende kumsihi dogo kama hana mchongo aendelee kufanya akichofanya wakati wa majonzi, naamini round hii anafuraha na msaada wa dadaake kwenye biashara basi watakuwa na bond kubwa sana.
Hili tatizo kwa dadaako lilikuwa ngazi kwako pia, MUNGU alileta kusudi hili kwa maana nyingine kwenye familia yenu. Naamini tunaenda kuzalisha niffer mwingine ambae atasimamisha nchi kama Dadaake.
Mpe pole mama kwa yote aliyopitia kipindi hiki lakini mpongeze kwa kuzaa watoto na kuwalea wakakumbukana nyakati zote za shida na raha, wengi wanashindwa kulea kama alivyofanya mama yenu.
Heads up Maisha mapya ya mapambano yanazaliwa kwako kila lakheri. Usisahau kumsikiliza Dada kwenye kila hatua.
SATIVA “The walking dead”
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Filipino



@HildaNewton21 Kw qualifications zote hizo na hana kazi yyte lazima aichukie serikali ya samia kwa kuziba mawizi wanayoyafanya bandarini,watu kufanya kazi hawataki wao wapo makanisani tu na kuiba hela za wananchi na kupitisha mambo yasoeleweka bandarini..ndo maana kuja kwa DP kelele nyingi.
Indonesia

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 149
Waheshimiwa Majaji, naomba niende kwenye hoja ya tano;
Naomba kurejea kesi zifuatazo High hope international group Jiangsu native produce import and export cooporation limited vs JOC Textile (Tanzania Company Limited) Misc. Commercial Application No 48 of 2020, kesi ya Sheer Illusions Ltd vs Christina Ulawe Umiro Civil Appeal 114 of 2014.
Hizi kanuni zimechapishwa Julai 11, 2025 miezi mitatu kabla ya kesi hii. Swali ni je, kanuni hizi zinaweza kutumika katika kesi iliyoanza kabla hazijatungwa? Jibu ni Sheer Illusions kwenye ukurasa wa 11 wa hukumu hiyo kuwa haziwezi kutumika kwenye kesi yangu.
Waheshimiwa Majaji hoja yangu nyingine ni kwamba kifungu cha 194 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa Jinai ambacho ndio msingi wa Kanuni hizi.
Kifungu hiki kililetwa na Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 07 ya 2018. Hii sheria inayoruhusu kuficha mashahidi haijawahi kuchapishwa kwenye gazeti la serikali.
Kifungu cha 14 cha Sheria ya Tafsiri ya Sheria kinasema ili sheria ianze kutumika lazima iwe published kwenye gazeti.
Sheria yenyewe haisemi itaanza kutumika tarehe ngapi hivyo ilipaswa kuanza kutumika siku ilipotangazwa kwenye gazeti la serikali hadi muda huu niliposimama hapa sheria hii haijawahi kutangazwa kwenye gazeti la serikali.
Waheshimiwa majaji sheria ikitangazwa katika gazette la Serikali inachapishwa kwenye website ya Serikali, official website ya ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Rais Idara ya Utumishi, huku vilevile haipo.
Ndugu zangu Watanzania huyu Lissu nawahakikishia sio binadamu wa kawaida. Haya mapingamizi pia naona kuna dalili yanaweza kuifyatua hii kesi vibaya sana. Hawa watu wafute hii kesi tutaona mengi sana wakiendelea kuiacha.
Haya anaendelea Mhe. Lissu tena.
Waheshimiwa Majaji publication in the Government Gazette ni takwa la Sheria kuwa gazette lazima liwasilishwe Bungeni, halikuwa tabled Bungeni.
Sheria ikitangazwa katika Gazette la Serikali utakuta physical copies katika maktaba ya Mahakama kuu Dar es Salaam kwenye jengo hili, napo haipo.
Vilevile kwenye ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali vilevile haipo na huko.
Mahakama Kuu kitengo cha Biashara pia haipo kwenye Hansard za Bunge pia haipo, kwenye duka la Serikali Dodoma na Dar es Salaam pia haipo kwenye Sheria ya Huduma za Maktaba inasema Sheria ikiwa gazetted and published lazima kuwekwa Maktaba Kuu ya Taifa Dar es Salaam hapo Kisutu pia haipo, kuna Sheria nyingine inaitwa Publications (Compulsory Deposit) Act Cap. 294 ambayo inalazimishwa publication must be deposited central library Dar es Salaam.
Kwenye hiyo sheria kuna Publications (Compulsory Deposit) Order GN 61 of 1964 inayosema all publications must be deposited in the central library, haipo waheshimiwa majaji.
Waheshimiwa majaji nimezungumzia tabling bungeni naomba niwaelekeze kwenye kanuni ya 37(2) Kanuni za Kudumu za Bunge GN 56 of 15/01/2016. Kanuni ya 53(2) ya Kanuni za Kudumu za Bunge GN No. 626 of 2020 hivyo kuchapisha sheria kwenye gazette la serikali ni matakwa ya sheria na kusambaza kwenye hizo sehemu nilizozitaja ni takwa la kisheria, haijafanyika sasa katika kanuni hizi.
Uthibitisho wa kuwa sheria imechapishwa ni sheria yenyewe, mimi na Mawakili wangu wanaonisaidia wamelitafuta hilo gazeti nchi nzima halipo. Vijana wamezunguka kila kona ya nchi hii na kwenye hayo maofisi niliyosema hawajawahi kukutana na hiyo sheria. Haipo.
Namsikiliza Mhe. Lissu halafu natafakari huyu mtu huwa anasoma haya mambo yote saa ngapi na anakumbukaje hivi?
Akili kama hii kuwepo jela badala itoe mchango wa kulisaidia hili taifa ni matumizi mabovu ya rasilimali watu wenye akili. Ipo siku tutashinda na kweli itashinda.
Anaendelea Mhe. Lissu
Hoja hapa ninayojaribu kusema ni kwamba kama hiyo sheria haijawa published kwenye gazeti and there is no proof anywhere na kama imetumika, imetumika kimakosa.
Part 150 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Filipino

@Tr3blig_ @LabanMbunya @LarryMadowo We're neither decided by religious line in Tanzania mainland we barely care someone's religion or tribe
Nobody will ask you what's religion
English

@Orikirizaallan @Fahad38158546 @macknonMK @SuluhuSamia We defeated the same UPDF during Kagera war
Y'all take our silent and peace for granted but infact we'll smoke them all
English

Mama @SuluhuSamia should seek military assistance from the great CDF Gen Muhoozi Kainerugaba! UPDF will restore order in Tanzania in 4hours!!!!!.
You will thank me later!!

English

@Fahad38158546 @SuluhuSamia Ever heard about Kagera war??? UPDF can't do a shit we'll ( citizens not army) smoke them early in the morning
English

@FreedomAMust254 @Honeyfarsafi We don't give a fuck about religion or tribalism, we've been ruled by various Muslim presidents yet we didn't dislike them because of their religion
English

@Honeyfarsafi Christians in TZ don't like the fact that a Muslim woman is ruling them.
English

@MariaSTsehai @SuluhuSamia How is the situation at the moment, watu walienda home ama they're still standing on business?
English

Yesterday was a historic day in #Tanzania because the people overcame fear and took to the streets to protest what @SuluhuSamia and her cronies had violently and illegally named an “election”
Coincidentally October 29 has historic significance
👉🏽It is the day the united country of Tanganyika and Zanzibar was renamed Tanzania and the new flag 🇹🇿 unveiled
👉🏽 it also the birthday of the late John Magufuli
Interesting huh?


English


@evenmaina Something is brewing in East Africa. What if Kenya, Uganda na TZ zingekuwa na elections same day, just like the budget reading
English

@wilsonsageka @jimNjue_ Funny thing is that, sometimes even if we are all from same tribe in group we'll just speak Swahili
English

@jimNjue_ They have so many languages but standard is swahili. Everyone speaks swahili. Seldom would you hear them speak local languages.
English is for classrooms.
English























