FeGadid

2.9K posts

FeGadid

FeGadid

@fei_mad

Expert in Environmental Management as professional but working on marketing for automotive lubricants and batteries....

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2020
118 Takip Edilen48 Takipçiler
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@EsirEid Nilikua nataka kujua tajiri haya mafuta yetu yanapita Hormuz?
Indonesia
0
0
0
13
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@EsirEid Vitisho vyake watu hata hawaogopi siku hizi.....
Indonesia
0
0
0
13
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@KennedyMmari American politicians are the biggest terrorist in the world....
English
0
0
0
7
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Remember when this war started? It was about freedom for Iranian women and civilians? Now the goalpost has changed. It is about sending Iranian back to the stone age, and that is said publicly. This is what fascism and terrorism is, and perpetuated by people wearing suits.
Pete Hegseth@PeteHegseth

Back to the Stone Age.

English
8
23
89
4.4K
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@RahmaMwita Ulitegemea watafanya kitu...si pia walisema wana stock ya miezi 3, maana yake walinunua kwa bei chini na sasa wanapata mega profit....
Indonesia
0
1
1
75
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
“Tutajiepusha na athari za kupanda bei ya mafuta” kauli imetolewa na viongozi takribani wiki 4 zilizopita. leo 1 April bei ya mafuta imepanda tena sio kidogo ni kupanda haswa. 😢🤔 #HeriYaMweziMpya🙏🏾
Indonesia
19
7
50
2.2K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@EsirEid Kila nikiangalia report ya CAG na take home ya ma Dr basi trump chochote anachosema kuhusu Africa ni ukweli 100%
Filipino
1
0
1
27
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@EsirEid Tajiri lakini kuna kamchezo tunachezewa....si walisema wana stock ya miezi 3 yaani wamenunua na old price....na vita vina mwezi tuu....maana yake wote wanashirikiana kutupiga....
Indonesia
0
0
3
273
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@KennedyMmari China atakosa tender za M7 awache kuchochea vita baina ya nchi mbili....
Indonesia
0
0
0
16
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
MHE. Rais akiyatazama kwa uchungu mafaili ya CAG, TAKUKURU na PPRA kwa ajili ya kuanza kuwachukulia hatua wabadhilifu
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
100
9
100
12.2K
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@KennedyMmari Mheshimiwa Mmari punguza ukali wa maneno hahahah
Filipino
0
0
0
118
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
RIP Selemani Bungala aka Bwege 🙏🏽 Umeacha alama kubwa na ya maana ya kusimama kwenye ukweli na haki! Mwenyezi Mungu akuangazie mwanga wa milele upumzike kwa amani
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
41
221
1.3K
14.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨UKATILI USIO NA KIFANI WA POLISI MWANZA‼️ Unprecedented police brutality continues in #Tanzania under @SuluhuSamia cc @OHCHR_ESARO @UNHumanRights @volker_turk @FCDOHumanRights @achpr_cadhp @StateDRL @StateDeptARS Huyu baba alikamatwa tarehe 15 Machi jioni na maaskari wakidai kuwa aliwasiliana na mtu ambaye kafanya tukio la uhalifu, hivyo wakidai awape ushirikiano kumpata Huyu baba aliwaambia hamjui mhusika na namba haijui ila kuna wakati alipokea ujumbe kutoka hiyo namba hapo nyuma kuwa anahitaji huduma ila hakuonana naye tena Walimlaza kituo cha National Mwanza na asubuhi wakamtoa kwenye sello wakamfunga pingu na kuanza kumpiga na mipini ya jembe kwenye unyayo wa miguu Aliachiwa tarehe 21 Machi na walichukua simu zake wakidai wanaendelea na uchunguzi ila wamemwacha na majeraha makubwa namna hii! Huu uonevu wa @tanpol si geni wala si mara ya kwanza ila hatuwezi kuNORMALIZE na lazima tupaze sauti, kuikemea na kuuweka hadharani dunia ijue! Na hakuna uwajibikaji hadi #SamiaMustGo tuanze upya na #KatibaMpya
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
21
127
382
29.1K
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@shabirnakamu Tena hapo lazima umepigwa dongo hata la kichinichini...huyu nae ajifanya msomi au mzungu
Indonesia
1
0
7
222
Shabiri Nakamu
Shabiri Nakamu@shabirnakamu·
Huku nchi za watu, watu wanasoma kitabu popote pale bust station wapo, ata chooni yani fresh. Sasa kuna siku bongo nasubiri foleni hosp. Ile nachomoa kitabu kwenye begi kukishika tu mkononi kila mtu ananitolea macho kama nimeshika roho ya mtu. Nchi ina matatizo mengi sana hii.
Indonesia
35
29
254
7.8K
Jackson Hinkle 🇺🇸
Jackson Hinkle 🇺🇸@jacksonhinklle·
🚨🇺🇬🇮🇱 Uganda's Military Chief says "any talk of destroying or defeating Israel will bring us into the war. On the side of Israel." "If Tehran dares hit us with missiles. We shall retaliate with our own missiles." 🤡🤡🤡🤡🤡
Jackson Hinkle 🇺🇸 tweet mediaJackson Hinkle 🇺🇸 tweet media
English
3.3K
1.7K
12.2K
813.7K
Typical African
Typical African@Joe__Bassey·
Meanwhile Israeli hates Christians and just passes a law against them… you gullible African Christians don’t read and follow up news, talk more of doing research to know where the so called modern day Israeli people came from and who they are truly are… Critical thinking and reasoning is always faraway from y’all.
English
29
28
286
15.6K
Muhoozi Kainerugaba
Muhoozi Kainerugaba@mkainerugaba·
We stand with Israel because we are Christians. Saved by the Holy Son of God...Jesus Christ the only One who can forgive sins. The Bible says 'Blessed are you Israel! Who is like you, a people saved by the Lord? He is your shield and helper and your glorious sword.' (Deuteronomy 33:29)
English
2.2K
583
3.9K
317.1K
Muhoozi Kainerugaba
Muhoozi Kainerugaba@mkainerugaba·
We want the war in the Middle East to end now. The world is tired of it. But any talk of destroying or defeating Israel will bring us into the war. On the side of Israel!
English
3.1K
1.5K
14.1K
2.3M
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Mwanangu Magesa alikuwa na shida ya tumbo. Awali aliambiwa ana vidonda vya tumbo. Kuna nyakati tumbo likimshika alikuwa hawezi hata kutembea. Siku moja alizidiwa. Tukakimbia hosp. Niliitwa pembeni Daktari akaniuliza: "Magesa ni nani yako?" Nikamjenga! 🧵🧵
Tito Magoti@TitoMagoti

My guy Magesa Gamba battled hepatitis B. It was humiliating to see him in a shape of hopelessness and helplessness. Sikuwahi kujua msiba until I frequented ICU for my G. ‘Saini tuzime mashine maana ubongo ushakufa’ was unbelievable! Keep resting in power, my dawg Magesa🤲

Indonesia
216
186
700
96.6K
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@mlinganya Ebwana bonge la script....ukilitengeneza vizuri unapiga hela....
Română
0
0
1
389
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Katika miaka michache ijayo, Hollywood italeta movie inayoitwa 'Escape from the Strait of Hormuz, ambapo mwanajeshi wa Marekani anayepigana vitani anamsaidia msichana wa Iran anayeota kuwa mwanasayansi kutoroka vikwazo vya jamii yake, kuanza maisha mapya USA, na kugeuka msagaji.
Indonesia
11
11
142
7.8K
FeGadid
FeGadid@fei_mad·
@EsirEid Dawa ni kutoza kodi tuu....hamna kupita bila kutoa hela....
Suomi
2
0
7
1.1K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Iran imeendelea kuweka Mlango wa Bahari ya Hormuz bila tozo kwa miongo kadhaa licha ya kubezwa, kuwekewa vikwazo, na kutengwa. Mfereji wa Suez nchini Misri hutoza kati ya dola 300,000 hadi zaidi ya 700,000 kwa kila safari ya meli. Meli kubwa sana za mizigo au mafuta zinaweza kuzidi dola milioni 1. Mfereji wa Panama hutoza kati ya dola 150,000 hadi 450,000 kwa kila safari. Meli kubwa za Neopanamax hulipa hadi zaidi ya dola 500,000 kupita. Mlango-Bahari wa Bosporus nchini Uturuki pia hutoza ada. Njia ya Maji ya St. Lawrence inayosimamiwa na Kanada na Marekani pia hutoza ada. Lakini Iran inaonekana kuwa nchi mbaya.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
31
32
305
19.3K