inno 💉

10.4K posts

inno 💉 banner
inno 💉

inno 💉

@innos__

Doctor of dental surgery ,, 😎ARSENAL die hard fan🪭 the wing of hehe kingdom

Tanzania Katılım Temmuz 2021
1.5K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Leloo Electronics
Leloo Electronics@Amanileloo·
Mtu anakuja kununua Tv inch43 ..kwenye kulipa anafungua begi anawatolea mia tano tano za laki nne...ikipata return hii balaa
Indonesia
22
28
332
18.7K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@CHEUUSII @EsirEid Tatzo ni ukosefu wa akili hebu kaskilize alikua anaongea kuhusu Nini pale tatzo mnaokota okota tu vitu na kugeuza mada ahahah
Indonesia
0
0
0
3
CHEEUUUSIII
CHEEUUUSIII@CHEUUSII·
@EsirEid Alivyokurupuka akalopoka kuwa irani wanataka awe kiongozi wao hili zee ni comedy sana
Indonesia
1
0
1
30
Godfrey KUTEESA!!
Godfrey KUTEESA!!@GODFREY_Kutesa·
General. with all due respect, the Israel you’re quoting in the Bible is different from the one killing people today. The Israel you’re referring to is not even Christian as you think. It’s disturbing that you’re confusing these issues. Kindly don’t use Christianity to justify such evil. This is regrettable!!
English
48
17
307
22.3K
Muhoozi Kainerugaba
Muhoozi Kainerugaba@mkainerugaba·
We stand with Israel because we are Christians. Saved by the Holy Son of God...Jesus Christ the only One who can forgive sins. The Bible says 'Blessed are you Israel! Who is like you, a people saved by the Lord? He is your shield and helper and your glorious sword.' (Deuteronomy 33:29)
English
2.2K
586
4K
308.2K
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Israel ipo kwenye hatari mbaya ya kuanguka na kutoweka kulingana na Hali inayo endelea sasa. Ndege aina ya kunguru au wadudu kama nzinge wanapo tanda katika taifa lolote hua ni ishara mbaya sana. Tunapata kuona Ndege aina ya kunguru wakitanda kila eneo bila kuogopa milipuko huko Israel ikizingatiwa ndege aina ya kunguru ndio ndege waoga kuliko wote duniani ila ajabu wanazidi kuongezeka bila kuhofia Kitu chochote hii ni ishara ya anguko la Israel. Ngoja tutazame Jamii zingine zinasemaje kuhusu ndege wa aina Hiyo wanapo Tanda katika taifa lolote nini kinatokea. Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Katika historia ya kale ya #Uchina, #Mesopotamia na #Misri, Kunguru na tai mara nyingi waliangaliwa kama Ujumbe wa mitume, miungu au pepo. #Misri ya kale 👉 Ilichukulia Ndege wakiwemo kunguru walihusishwa na uhasama na ulinzi wa roho. Kuhusu vita👉 kuonekana kwa ndege wengi au kunguru kuliachwa kama ishara ya mabadiliko ya nguvu au hatari inayokuja. Jamii ya #Mesopotamia pia Ilichukulia 👉 Ndege waliotembea katika anga au kuonekana kwa makundi makubwa walihusishwa kitaalamu cha maamuzi ya malkia au mfalme kuanguka. Katika tamaduni za Ulaya za Kale, Jamii kama #Celtics na #Wagiriki 👉Kunguru walihusiana na ubashiri wa vita na Vikifo vingi katika Jamii yao. Kuonekana kwa kunguru wakati wa vita kulionekana kama onyo la maangamizi au Kushindwa kwao. #Roma ya kale Yani 👉#Augury ni mtindo wa kubashiri matukio ukitumia ndege. Kunguru waliokuwa wakiishi karibu na mapigano walionekana kama ishara ya bahati mbaya au kuingilia kati kwa miungu. Katika tamaduni za Kiasia na Kiasili, Jamii za #Japan na #China👉 Ndege weusi au kunguru walihusiana na ubashiri wa majanga au vita. Ndege waliotokea kwa wingi wakati wa migogoro walichukuliwa kama alama kwamba vita vitazidi na watashindwa katika mapambano. Jamii zetu za #Afrika ya Kale zilichukulia Ndege waliokuwa wakuu wa jangwani kama kunguru walihusishwa na roho za mashujaa waliopotea au ishara ya hatari na kupoteza #mamlaka za #Kimila. Watu walitumia kuangalia tabia ya kunguru kabla ya kuingia kwenye vita kama sehemu ya ujasusi wa kiasili. Tukija katika Mtazamo wa kawaida, Kuonekana kwa kunguru au ndege wengi wakati wa vita. 👉Mara nyingi ni ishara ya hatari, Vifo, au mabadiliko ya nguvu 👉 Mara nyingine ni ubashiri wa miungu Kukasirika na Utawala wa jamii fulani 👉Hakuna mtu aliyeona kama ni alama ya kawaida tu bila uhusiano na vita au nguvu za juu 👉 Kwa maneno mengine, historia na tamaduni nyingi ziliona kunguru kama kielelezo cha nguvu ya Jamii ilio anguka, haswa katika muktadha wa migongano au vita. Hii ni karma, Karma hutafuna, Israel itaanguka, Israel haitasimama tena, Israel inapokea Isha mbaya kila siku. Cc Chotara Mweusi
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
6
5
60
5.4K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@bajabiri Hivi nani ameanza kurusha makombora kwenda Israel hapa juzi hapa kati ya Israel na Hezbollah?
Filipino
0
0
0
12
Abdul
Abdul@Abdul69005875·
@AbroadTanzania Iran ilijipanga muda chap kidogo watachagua mwingine
Indonesia
2
0
1
164
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
BREAKING: Vyombo vya habari vya Israeli vinaripoti kuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi wa Iran ameuawa.
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
13
10
144
3.5K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@EsirEid Kuna huyo yupo aise kweli kabsa😄😄
Filipino
0
0
1
290
inno 💉
inno 💉@innos__·
@fadhilikangusi Kwetu kule huyo Mzee alikua tapeli sana na ubunge alikua na kikosi Cha wajukbe huwezi mtoa
Indonesia
1
0
3
279
Temidayo
Temidayo@thisistemidayo·
Mzee Lukuvi was a good man, an open minded leader🙏🏼 RIP.
English
63
4
88
84K
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Mzee wetu Khamenei alikuwa anawaambia "Sisi Iran hatujui kuanzisha vita lakini tutaamua vita imalizike vipi " Wakaishia kumuua na kuona kama alikuwa anasema propaganda tu Watu wake wa karibu wanasema kuwa kama angekua hai na jinsi alivyokuwa mwingi wa huruma na asiyependa visasi basi mazungumzo ya Marekani na Iran yangekuwa rahisi sana Tatizo aliyepo madarakani sasa Bwana Mojtaba sio muumini wa Mazungumzo na hii inatokana na asili yake ya kukulia jeshini IRGC
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
14
15
167
10K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@ayubu_madenge @Migosatz Lukuvi huyu amesoma lini hizo shule maana kule kwetu tusi alikua akikumbana nalo ni la ukosefu wa elimu yenye ushirikiano😄
Indonesia
1
0
1
775
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mzaliwa wa Iringa aliyesoma Chuo cha Ualimu Tabora akapita JKT Mafinga akawa mwalimu. Baadaye akasoma Russia, Degree Marekani na Master Open University. Akawa Mbunge kwa miaka 31 tangu uchaguzi wa vyama vingi 1995. Waziri wa muda mrefu, William Lukuvi amefariki akiwa na miaka 70.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
105
81
1.4K
63.8K
HUSSEINC
HUSSEINC@HUSSEINC14·
@innos__ @fumbokhanJr Idadi ya majina ya waliouwawa wamagaribi wanatoa idadi fake ya watu walianza na 6,000 mara 10,000 16,000 30,000 50,000 washafika mpaka laki100,000 200,000 hio yote ni kutengeneza propaganda za kuonesha serikali katili kwa raia wake, watu hao wanaodai kuwa na uruma kwa
Indonesia
1
0
1
11
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Ntakuwa wa mwisho kuamini Hawa Jamaa walimaliza waandamanaji kama Mange anavyo danganya watu humu. Us na Israel ni moja ya Mataifa Mabaya sana Katika huu Ulimwengu, wameshambulia Mataifa mengi ya Kiislamu kwa Kuwapa Propaganda za Hovyo.
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
12
8
115
3.4K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@Oraibtz @kikomasta Mbona umeiacha Saudi Arabia yenye vitu vingi kuliko Iran Kila sector hasa kwenye jeshi
Filipino
0
0
0
16
The 6th Estate
The 6th Estate@Oraibtz·
Ni utajiri tu hizi nchi lakini hazina fighting population. UAE kuna 9m people , raia 1m. Qatar kuna watu 3m. Raia 700,000 Kuwait kuna watu 3m Raia ni 700,000. Bahrain ina watu 3m Raia ni 400,000. Hivi ni US satellite states, just like Israel. Hizi hazikuwepo 100 years ago.. there are new states created for purpose. Nchi kamili with sovereignty za kiarabu ni Iraq Syria Yemen Saudi Oman.
Indonesia
2
0
2
176
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Hizi nchi za kiarabu mashariki ya kati ndo haziwezi kabisa kupambana na Iran,na wakiingia tu kwenye huu mgogoro kuna uwezekano US na Israel wakajitoa kabisa wakawaachia msala huu. #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Indonesia
8
6
114
2.6K
inno 💉
inno 💉@innos__·
@EsirEid Si hao walifanya hata ozil aondoke arsenal kwani nani hajui kama wapo wachina waislam
Indonesia
0
0
1
174
inno 💉
inno 💉@innos__·
@fadhilikangusi Anhaa daah maana huko Mzee alikua anafanya watu wa kupalia mahindi kwetu isimani miaka ya nyuma kidgo
Indonesia
0
0
0
54
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
@innos__ Ihanzutwa. Ilandutwa ipo halmashauri ya wilaya ya Iringa.
Filipino
1
0
0
250
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Kuna Watu wamefukiwa na kifusi mgodi wa dhahabu Ihanzutwa - Mufindi! 💔🕊️
Filipino
15
28
219
13.1K