Sabitlenmiş Tweet
Jafary MAGARI
13.4K posts

Jafary MAGARI retweetledi
Jafary MAGARI retweetledi

@fundi_rang Pombe ya wastaafu hiyo shinyanga
Indonesia

Jafary MAGARI retweetledi
Jafary MAGARI retweetledi

Haijalishi itachukuwa muda gani ila moja kati ya mistake tutaifanya ni ku give up kumtafuta mwana.
Zoezi la kumtafuta Ninja mitandaoni na Mtaani lisiwe na Kikomo, kikomo ni atakapopatikana. 🤝
#FREENINJA

Filipino

@ChademaTdm @abelsima45 Msiba ulikua maporomoko akazikwa makaburi ya tunduma day
Filipino

@fundi_rang @abelsima45 Oya bro aliumwa nn huyo make alikuwa anafika gerejin kwetu vzr na misur yake
Indonesia

@ChademaTdm @abelsima45 Aliumwa Ila watu alio kuwa nao walimpeleka kwa mganga badala ya hospital then alipozidiwa kule ndugu kuingilia kati akarudishwa serikalini hakumaliza wiki akafa.
Filipino

Jafary MAGARI retweetledi

Kuna kazi mtu unafanya.
Zinakupa pesa.
Ila,
Sio kazi ambazo ni guarantee ya maisha ya leo, kesho na vizazi vyako.
Ni PATH ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.
Mfano.
Udereva wa magari yote.
Ujenzi
Boda
Agent
Dalali
Fundi wa furniture
Fundi wa AC
Uchomeleaji
Freelancing
Mawawinga
Na kazi nyingi au zote zinazokupa pesa ndogo ndogo ya kila siku.
Fikiria madereva ambao hawakujiandaa kupokea uzee wana hali gani.
Fikiria na hao wote katika uzee watakuwa na hali gani wanapo relax.
Boda mzee?
Agent wa magari mzee?
Badala yake.
Ile ni fursa ya kuandaa maisha bora ya baadae nje ya hiyo kazi.
Kwake na vizazi vyake.
Changamoto ni kwamba.
Katika umri wa ujana ambapo hizo fursa zinawapa pesa.
Watu tuna relax na kutumia pesa katika mambo ya ajabu kama.
Pombe.
Kubadili wanawake.
Kusomesha na
Kuzaa zaa among others.
Ndiomana baadae tunapata hawa wazee bodaboda.
Wazee content creator.
Wazee wa vijiweni wanaosumbua watoto wao wanaopambania familia zao.
Baadae inakuwa lawama kwa ndugu wenye kipato mpaka kugombania mirathi na mambo kama hayo.
Lengo la hii tweet ni.
Ijue kazi yako na uifikirie in 30 years to come itaendelea kukupa pesa? Kama hamna basi usi relax bro.
Normalize kutolidhika hatakama sisi wote tutakufa. Angalia watoto wako wataishije baada ya wewe kutokuwepo.
Angalia katika miaka yako 50 utakuwa umeshika nini cha kukupa pesa bila wewe kushughulika kwa nguvu.
Fanya kazi yako kama path ya kukupa kikubwa zaidi.
Save pesa kwa malengo ya kufanya kitu kikubwa zaidi.
Duka la simu linaweza kufa.
U winga unaisha.
Udalali unaisha.
U content creator unaisha
Kuwa boda au bajaji kuna mwisho.
Kuwa dereva kuna mwisho.
Sasa baada ya hapo utakuwaje? Hizo kazi zitaisha ukiwa umejenga mazingira salama bila wewe kushugulika?
Utakuwa na hardware kubwa watoto wako waendeleze?
Utakuwa na nyumba nyingi?
Utaendelea kuwa content creator?
Utakuwa na lodge nyingi?
Utakuwa ume diversify assets zako?
Pambana sasa bila kuchoka huku ukijiweka bora kwaajili ya kesho.
KULA UJANA VIBAYA UPATE TABU KUMEZA UZEE.
Indonesia
Jafary MAGARI retweetledi
Jafary MAGARI retweetledi

Winger wa dubai anae lala kibarazani amedeliver tena, jana nimelipa leo nimepokea ni siku mbili tu mzigo ushafika.
Nitafutieni hao maplayer sasa nianze kutoa somo.
Thanks Mwaikanjo @gabyconscious


Indonesia


























