Havymana

889 posts

Havymana banner
Havymana

Havymana

@havymana1

#Muhas Alumni 👨‍⚕️ #manchester united 🔴

Katılım Temmuz 2021
782 Takip Edilen698 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Havymana
Havymana@havymana1·
Fanya maamuzi magumu bila kuangalia nyuma
Havymana tweet media
Indonesia
13
10
40
1K
Havymana
Havymana@havymana1·
@mananajr_ Hiyo bookmark ya kwanza ni yangu nitarudi baadae
Indonesia
1
0
0
400
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
X madaktari mtu akija kupima sperm count na amesindikizwa na mke wake Mkishampa kale kakopo kwa ajiri ya kuweka sperm mnampa na chumba cha kufanyia ili zitoke? Na kama anaruhusiwa kwenda na mke wake akienda kutoa?
Indonesia
5
7
48
3K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Nimeona video ya pedophiles kwenye Group. Itoshe kusema kama mtu hahusiani na mwanao usimuachie NEVER. Jamaa anakapinda kila style katoto na inaingia tu na hata hakaliii jiulize kaanza muda Gani mpaka iwe hivyo. Video ipo ila kuiweka huku siwezi X rules.
Indonesia
98
22
360
42K
Havymana retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
AINA TATU ZA WANAUME Kwa nini unataka kumuoa? • MPUMBAVU: Namuoa kwa sababu nampenda sana Huyu manzi anayajua mapenzi. • MWANAUME ALIEISHA KABISA Nataka kumuoa kwa sababu ya muonekano wake. Ana umbo zuri na kifua kilichojaa. Namuoa kwasababu nilikutana naye kanisani. • MWANAUME MWENYE HEKIMA: Namuoa kwa sababu ananiheshimu na kunitii. Namuoa kwa sababu ni binti mdogo, mwenye asili ya kike, na ni bikira. Namuoa kwa sababu anaweza kuwa mama bora kwa watoto wangu. WEWE UPO KUNDI GANI?
Filipino
38
38
255
14.9K
Ngatta Boe
Ngatta Boe@Ngattaboe99·
Nimeishi na mwanamke wangu miaka yote hii hajawahi nambia kama baba mkwe wangu ni baba yake mzazi fear women..💔
Indonesia
33
50
190
6.7K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Pale Advance ikifika siku ya disco vikundi vyote vya dini vinapigwa biti na viongozi wao Na atakaeenda kucheza anatengwa kuanzia Casfeta, Ukwata, Assa na Tamsiya.. Ila sisi TYCS unaambiwa nenda ila ukacheze kiustaarabu 😅🙌
Filipino
31
55
462
16.8K
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Mbaade_·
Ivi ule wimbo unaosema "Mapenzi Yana wenyewe sie wengiene tuache shobo tutazikwa wazimawazima" ivi kauimba nani? Hakupewaga hata Tuzo kweli? 😂😂😂
Indonesia
8
16
68
1.9K
dullah_abuu
dullah_abuu@dullah_abuu·
Ila mama Zetu Wana maneno nyie😂😂 Kuna siku niliamka bila Kutandika Kitanda akasema Ni nani huyo amefufuka kama Yesu😂😂💔💔💔💔
Indonesia
82
103
847
38.2K
Havymana
Havymana@havymana1·
@EsirEid Sema kimavazi umeanza kuzingua kitambo😅
Eesti
0
0
1
32
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
NYAKATI NGUMU HAZIDUMU. HILI NALO LIMEPITA—ASANTE MUNGU WANGU. Account zangu rasmi ni hizi MBILI TUU. @/tiva_talks @/tiva_familly AM BACK…!🔥🔥🔥 #tutakuwepo🫵🏾😎
Indonesia
136
243
1.5K
74.7K
Havymana
Havymana@havymana1·
@Nicky__001 Afu baadae church boy anakuja kuoa hii manzi😅
Suomi
0
0
4
1.6K
Joshua Mjukuu Wa Nilla
Joshua Mjukuu Wa Nilla@Mjukuuwanilla·
Madokta twitani kila nikisex na mwanamke alfajir naugua tumbo la kuhara shida nini wakuu,😭
Indonesia
19
6
38
3.1K
Havymana
Havymana@havymana1·
@Timbertzaa Kama kuwa na akili ni kosa basi ww huna hatia
Filipino
5
1
3
343
Timber TZA
Timber TZA@Timbertzaa·
Ni ipi namna nzuri ya kumwambia mtu mzima kuwa "Huna akili"
Timber TZA tweet media
Filipino
30
9
38
4.7K
Chelsea Dodgers
Chelsea Dodgers@TheBlueDodger·
🚨 Michael Oliver will referee Chelsea vs Man United on Saturday night. #CFC
Chelsea Dodgers tweet media
English
107
294
6.7K
89.8K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Mke Wako Ameajiriwa Anatoka Home Anaenda Kazini Anabeba Mafuta Ya Nazi Anaweka Kwenye Mkoba Wake Na Wewe Unaona Nisawa Tu. Haina Noma Mwanangu Ipo Siku Utaelewa Hii Post Yangu Nilikua Namaanisha Nini Asiyejua Maana Haambiwi Maana.
Indonesia
42
37
422
21.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Mkoani Lindi Selemani Said Bungara maarufu Bwege amefariki mchana huu wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya binafsi iliyopo Kigamboni Jijini Dar es salaam, Kaka wa marehemu aitwaye Abbas S.A. Bungara amesema Bwege alifikishwa Hospitalini hapo kwa ajili ya kuendelea na matibabu ya kuchuja figo (Dialysis) na ndipo umauti ulivyomfika. “kwa sasa mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zaidi zitatolewa hapo baadaye ila msiba kwa sasa upo kwangu Mimi Kaka yake maeneo ya Temeke” Bwege amewahi kuwa Mwanachama wa CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza kujiunga na CHADEMA ambapo atakumbukwa kwa jinsi ambavyo siku za mwisho za uhai wake alikuwa anahudhuria Mahakamani kufuatilia kesi za Tundu Lissu licha ya kuwa kwenye wheel chair baada ya kukatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
95
67
1K
31.3K
This is GoLD
This is GoLD@Rungekuta69·
Hii manzi inaimba kwaya, Inasema no sex mpaka ndoa na siyo bikra. Hapa niongeze nini wazee 🤓
This is GoLD tweet media
Indonesia
112
17
158
18.6K
LIMAPA
LIMAPA@LIMAPA__·
Kuna mtoto wa kishua kajaa!!😊 Love is a beautiful thing 😻😂😂
LIMAPA tweet media
Indonesia
66
28
187
13.7K
Gabbar singh
Gabbar singh@cindaramadhan·
@Kariakoo_ lakini ukisema mbususu hata haiji ila ukisema "kuchataka mbususu" aaah wee😂😂😂😂
Indonesia
2
0
2
101