
Ryzaq 𓅓
402 posts

Ryzaq 𓅓
@iam_ryzaq
CREATE your own WAVE🌊 , BE unstoppable INNIT.✍️




Forex trading ruined my I’ve been in the trading industry for more than 6 years, yet I remain unprofitable. I have blown up my entire trading account multiple times. In the beginning, my first few trades were very profitable. However, I later went broke 2–3 times and lost everything. Recently, I deposited my last $1,500 my entire life savings and lost it all in a single day.









kwa siku kwenye Global Forex Market ela zinazokua traded ni zaidi ya $4 Trillion. Sasa nyie hamjiulizi kwanini nchi kama Marekani ambapo ndo kuna mitaji mikubwa na vijana wake ni very smart sana lakini hamsikii mtu kama Sandile Shenzi wa Kimarekani anatrend Huko Marekani? Yani Vijana wa Marekani waone io fursa afu waiachie itawaliwe na kina Sandile na Ref wayne? Kila ukiona kijana wa Marekani anatrend ni amebuni solution flani na sio anabet forex! Unahisi kwanini? Ila sisi huku na marole model wetu wa South Africa ndo tunaona io fursa namba 1 duniani. Tuamke wanangu! Tumechelewa sana!















