

M G
335 posts

@ThisIsMagnetics
Forex Trader | Mentor 10 years trading experience | I help people reach their financial goals |











Huwezi kuwa na pesa zako mwenyewe Billion alafu ukafilisika labda kama ulizipata kwa ujanja ujanja wa mjini

Kwani @gabyconscious wale wazee wa podcast walikulipa maana jana niliona umetoa shout-out leo TL nzima niwao kuna namna mzee mwandiko wako watu wanauzingatia

@gabyconscious Watu hawaelewi confidence level watu waliyokua nayo kwenye fx miaka ya 2016, 17, 18. Tuki account at individuals level kwamba kila trader tuangalie loss zake, kuna billions zimepotea ambazo zikikusanywa nakuwekwa kwa account moja hata hii 1.7B inayowashangaza watu ni cha mtoto.


Kuna Msela wa Forex anasema kawahi kuwa na 1.8B na akapoteza 😆 Una 1.8B bado unakesha kuuza na kunua hela mitandaoni 😀 Mimi 500m mtanikuta shambani najifurahisha kufuga sungura organically.
