ꕔpollo
5.1K posts

ꕔpollo
@itsApollooo
Tech Writer | Basketball Fan | Music Aficionado | Photographer | Crypto & DeFi Enthusiast | Seeker, Explorer, and Student of Life ✨
Earth Katılım Şubat 2012
2K Takip Edilen1.5K Takipçiler

@MsLizzy29 Savanna’s business is being severely impacted by this brand 🙌 😆
English

@NjiwaFLow Hii wamefeli katika lots of changes and designs.
Wameondoa taa za Glyph, screen yake ni weak na rahisi kuvunjika, kamera bado haijakaa poa kama Nothing Phone 2

Suomi

@TOTTechs Kufungia mtandao
> kunapelekea matumizi ya VPN kuongezeka
> matumizi ya VPN yakiongezeka inazidi kuwa vigumu kuona activities za watu mtandaoni
_______
Na kama X(Twitter) imefungiwa kwa sababu ya adult contents mbona Reddit haijafungiwa na wakati ndio inaongoza kwa NSFW +18?
Indonesia

@Northen_Rock @TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Google na Meta sio browser! Safari, Firefox, Opera zote zinalipa?

@TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Google , Meta wote wapo registered TRA na wanalipa taxes, wao hawataki
Filipino

@Kallyfive @TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Yes. Brave bado inafanya kazi vizuri.
Kama mtu akitaka kuipata anawasha VPN and then baada ya kuinstall mtu unaweza kutumia kama kawaida
Indonesia

@TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Mbona mimi natumia kila siku bila hata VPN
Indonesia

@ImMichael_K @TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Bado inafanya kazi kwa wale ambao tayari walikuwa nayo. Ila haiwezi kupata updates, ukitaka updates unawasha VPN and the after updates unaweza kuzima VPN na kuendelea na matumizi kama kawaida
Indonesia

@TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ Imeniuma sana kufungwa...
Setup yake haina ability kama iliyokua nayo pale mwanzo
Haiwezi kutrack chochote tena
Indonesia

@TOTTechs @maotora_emem @gabyconscious @NjiwaFLow @GoodluckMalekoJ So browser ambazo zinaruhusiwa zina ofisi Tanzania? 🤔

@mashambaowen @mafolebaraka Beginners na watu wavivu kujifunza designing ndio ambao wanaona Adobe ni ngumu na kukimbilia kwenye Canva na downloaded templates.
For real designers ambao wanapenda kujifunza na wanapenda kutengeneza their idea from scratch na lots of tools, Adobe is still the best!
English

@null000n @mafolebaraka Adobe sio old school, depends na mtu anavyotumia.
Adobe imechangamka pia ina lots of features kama Canva na AI za kurahisisha kazi.
Most of Adobe users wanatumia cracked app ambazo hazina full features na latest updates.
But it’s still industrial standard
English

@mafolebaraka Adope ni old school, ukiwa na kaz ya chap unatumia muda kumaliza
Canva sasa imekuja kurahisisha kazi ya chap within 15min unaweza kazi nzur tena professional
All in all ni kutafuta ela tu!!
Indonesia















