Earn in USD

2.5K posts

Earn in USD banner
Earn in USD

Earn in USD

@Kallyfive

AI Enthusiast | Graphic Designer | Creative & Technical Writer | I help businesses boost sales with compelling visuals & words.

Pwani, Tanzania Katılım Kasım 2013
112 Takip Edilen433 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Earn in USD
Earn in USD@Kallyfive·
"One day you will wake up, and there won't be any more time to do the things you've always wanted do it now" Paulo Coelho
English
0
0
0
17
Levis Don
Levis Don@Baby_lovely25·
@gabyconscious Sasa wewe mbwa mbona unajichanganya tuambie Sasa kama A book brokers hawawi connected to interbank liquidity??........Umeandika nyuzi zako za chatgpt kutafuta likes ndio maana unasahau kama panzi
Indonesia
2
0
0
3.1K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Anaomba Ushauri😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
हिन्दी
18
1
55
3.7K
Husna
Husna@Husna_Ally3·
@amrisaly @funjojr Hashtags za mabroo izo mumelipwa kusukuma reli tunaijua iyo
Filipino
1
0
0
286
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Hii podcast regardless wewe ni nani na unafanya nini, ukiiangalia utajifunza vitu vikubwa sana, vitu ambavyo huwezi kujifunza sehemu nyingine yoyote 👇👇 youtu.be/mfS89sh1EZA?si…
YouTube video
YouTube
Eesti
17
54
301
9.9K
FesMofe
FesMofe@FesMoFe·
@AlexSamoja Huhitaji elimu kubwa kujua mambo makubwa hata uvumbuzi,unahutaji utulivu na ukimya ukitafakari .Hivyo ndiyo ugunduzi wa kitu Kipya unavyo fanyika.Ugunduzi haupatikani kwenye vitabu.Kinacho patikana kwenye kitabu ni innovation.Innovation ni kubadili maneno ya kwenye kitabu kuwa ..
Indonesia
3
0
2
1.7K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Wapatie watoto elimu ya dini ila usisahau elimu ya shule pia, Huyu jamaa huwa anatamani sana kuelezea masuala ya Astronomy na Geopolitics na jiografia, ila elimu huwa inamkatalia, Sema ana confidence ya ajabu kuelezea ujinga 🤣, kuna siku alisema maana ya jina la mji wa "LOS ANGELES pale USA ni Malaika aliyepotea" nilicheka sana, ila siku nilocheka karibu nife alikuwa anaelezea Chanzo cha mto Naili, Distance yake pamoja na Elevation 😄 🤣.
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
86
29
348
34.2K
Dr. Doom
Dr. Doom@believeinuaself·
@Kallyfive @gabyconscious Amesema hapa kwa Mfalme ni 40k (Dubai) since yy ni mfanyabiashara i wanted kujua kama kuna extra amount anaongeza ya kwake yy or hiyo 40k ameshaongeza yake as well.
Indonesia
2
0
0
35
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Kuna jamaa alinambia hizi Bongo mnauziwa 100k😬 Hapa kwa Mfalme ni 40K tu 5G Wireless Modem WiFi Pro InaSupport simcards zote Speed: Ultra-fast 5G 📶 5G high-speed internet 📡 Connect multiple devices 6-10 🔋 3000mAh battery ➠ 📍Dubai ➠ Express Delivery: 1–7 Days ➠ shipping fee: 4800 ➠ Pay-on-Delivery hatufanyi❌, kama hutuamini Bora BIASHARA ife. 𝐻𝑎𝑡𝑢𝑛𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑘𝑢𝑝𝑎𝑡𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑌𝐸𝑇𝑈🫵🏾 DM us now +255 694 579 000
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Filipino
18
57
174
10.1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Demu kakupigia simu kasema anakuja geto, ikiwa unamiliki hili gheto inabidi ufanye nini chapu hapa..? Only legend 😅
kasesco☆ tweet media
Indonesia
57
35
234
15.1K
The Top P🇹🇿
The Top P🇹🇿@The_PR0F3S0R·
Mwanaume kudiss hustle za wanaume wengine ni Ushenzi.! Nyie ndo mnafanya watu waone kila anaetrade forex ni mshenzi na hana akili.! Eti unamponda mtu kisa anatafuta pesa nje ya nchi.! Wewe mbona hautrade stocks za ndani.? Mbona upo na financial markets za nje.? Acheni bana.!
Indonesia
6
6
73
5.1K
Mandingo
Mandingo@SkaraMandingo·
@Adventure_36 alipotutoka ngwea na king zilla, MUNGU alitupa freestyler wa Mwisho CADO-KITENGO.
Filipino
1
0
0
255
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
MexTz asijisifu kuwa yeye ndo bingwa wa freestyle, yeye anaimba vitu ambavyo haieleweki hauwezi kuelewa kitu gani anaimba yeye ana flow tu sasa ile sio freestyle. Kamsikilizeni Ngwair ndo mtagundua freestyle ikoje. Mdau Planet Bongo- EA Radio
Indonesia
17
16
171
5.9K
warida yahaya
warida yahaya@WaridaYahaya·
@assengajrr Ushasena wote hatuwezi kuwa matajir basi tulia , aliye na uwezo WA kumilili gari amiliki asiye na uwezo asianze kusingizia serikali,
Indonesia
2
0
1
55
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Kumbe kama sio MAUSHURU ya wakoloni weusi wa hili taifa Huenda kila mtu angekua na Gari hapa bongo... Sasa Crown ya dola elfu 6 ata wangeweka apo ushuru wa milion 3, tungeshindwa kweli kumiliki jaman.
Indonesia
18
26
379
29.2K
Earn in USD
Earn in USD@Kallyfive·
@angelish17 @MwendwaRMwendwa @assengajrr Unajua kwanini watu hawahangaiki na magari yao kwenda kazini UK!?, ni kwa sababu usafiri wao wa Umma uko poa lhata miundo mbinu yao ya usafiri ni bora. Msipende kulinganisha na nchi zilizoendelea mkiwa mnataka kutetea ujinga Hizo kodi ni nyingi sana na wala sio sababu ya ajali
Indonesia
1
0
3
28
Angel17💞
Angel17💞@angelish17·
@MwendwaRMwendwa @assengajrr UK siku za kazi huwezi kuona watu wakihangaika na private cars, hizo ni mpaka weekend Kuhusu vigezo hilo sijui kama wameangalia hiko mi nmetoa mtazamo wangu tu my dr
Indonesia
2
0
0
131
Earn in USD
Earn in USD@Kallyfive·
Ila kulinganisha bei za mafuta ni sawa sio?
Mnazi😤@mnazi36

@Wakazi Kulinganisha nchi za kiafrica na bara la ulaya kwa hivyo ulivyovitaja unakoseaa, nchi ngapi za kiafrica zimefanya hayo yote uliyo yataja? Why tusikubali hata kidogo kilocho fanikiwa,,we hujui Africa ikoje? Why usipongeze hata kidogo kilicho fanyika japo kama kuna ujinga tusiwe 😬

Filipino
0
0
0
9
juma
juma@juma118505254·
@BlasiMark @HecheJohn Vip raslimali tulizonazo kaka haziwezi kutusaidia mpaka tuminyane na kodi na tozo tu.
Indonesia
3
0
0
73
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!! Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!! Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!! Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi… Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337.. Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500. Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi… Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi.. Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka. Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi. Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
John Heche tweet media
Indonesia
238
641
2.3K
136.9K
Billy
Billy@BillyTronix1·
@Kallyfive 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
QME
1
0
1
111
Earn in USD
Earn in USD@Kallyfive·
Nimenunua vitu kadhaa kwa @BillyTronix1 kwa sababu uliwahi post ad yake kwako nikasave namba yake nikajichanga nikasupport harakati na huduma ilikuwa bora hakuna kipengele
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious

Nilikuaga napost Ads whatsapp post moja nalipwa 50k/24hrs Niliacha sababu mwisho wa siku unapromote mtu anaenda anaanza kuDeliver service ama product vibaya Lawama zote zinakuja kwako S/o kwa @BillyTronix1 siku nilipost engagement yangu ya whatsapp akaComment “mimi nikiwa na hiyo audience siwezi kosa kuuza” Nikasanuka Leo nauza bidhaa na service zangu mwenyewe zenye thamani 50m hadi 100M sometimes kwa mwezi.✅ Shida imekuja wateja ni wengi kuHandle ngumu assistants wawili ila bado mziki. So naandika Prompt refu kwa Ghala rail by @sarufi_ai nione kama ai inaeza solve hiki kipengele😎

Filipino
2
2
1
486