Hon. Short kibonge ●

3.5K posts

Hon. Short kibonge ● banner
Hon. Short kibonge ●

Hon. Short kibonge ●

@jayhappyness

usiniblock ni jokes tu😁, Mpishi Chuo cha Wanafiki Tanzania (CWTZ), i'm here to enjoy i don't seek followers

Katılım Ocak 2022
286 Takip Edilen286 Takipçiler
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Kaka awamu hii ya 6 inavuna ilichopanda, na hii itaenda mpaka wa watoto wao wanaobaki duniani, misemo yao ya wahenga mtoto wa nyoka ni nyoka, ccm na na familia zao zijiandae Kwa hili mbele yao ni giza nene
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Indonesia
3
5
46
2.2K
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
Ukitaka kufahamu misimamo ya ABDULI katika ishu tofauti, tembelea akaunti ya MLAWA ambayo ABDULI aliinunua kwa dola laki kadhaa. Quick visit utabaini yafuatayo 1. Kafurahia kifo cha LUKUVI 2. Apania LISSU kufia jela 3. Hamtaki MWIGULU 4. Hamtaki BASHITE 5. Hamtaki Waziri KOMBO
Indonesia
13
20
205
17.6K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Niliwasimulia kuhusu huyu mwanangu aliekuta mkewake ni ameathirika wakati yeye hana then akaendelea kuishi nae. Mnakumbuka? Mwamba hii kitu imemtokea sijajua kama kaukwaa tayari au niaje. Alikaa kitandani siku tatu bila kuinuka. Anachoma sindano yanakauka kauka.
ProsperNow. tweet media
ProsperNow.@prossoff

Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.

Indonesia
54
15
149
56.7K
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
Karibu katika ukurasa wako pendwa. Leo nawaletea uchambuzi wa silaha hiyo hapo pichani. Najua wapo wataalamu ambao wanazitumia hizi ama wamekwishazitumia, dondosha majina yake hapo chini mtu wa kwanza kupatia atajipatia vocha ya buku ya mtandao wake anaotumia.. Let's go...
Tujifunze silaha za kivita. tweet mediaTujifunze silaha za kivita. tweet mediaTujifunze silaha za kivita. tweet media
Indonesia
6
20
65
2.8K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hali ilivyo hivi sipatii picha siku itolewe taarifa amekufa mzito yoyote wa kaki, yani sio mitaani wala mitandaoni patachafuka bana yani isikiike tu vuup eti lets say mkanda maalamu amekatika aaagh patanuka #KAMATAIFATUSAMEHEANE
Filipino
37
26
166
16.8K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
the most famous person in the world JESUS CHRIST. Mwanadamu maarufu zaidi duniani JESUS CHRIST.
Eesti
17
8
53
1.4K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Wakuu tupeane mawazo hapa maana hata mimi ni mweupe kwenye hili suala, Ushauri wako ni wa msingi sana🙏🙏
Kante tweet media
Indonesia
19
16
75
4.4K
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Mzee anatembea na kundi la walinzi, kweli umejipanga.😂 📸
JAGUAR. tweet media
Filipino
18
16
451
30.5K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Game ya brazil na france naona kabisa GG ni hela ya Bure. Ukimchukua na ITALY game nzima ukaomba over 1.5 hizo ni odds 2+ naona kama za BURE wanangu.
Filipino
12
22
463
18.7K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Siku nikipata mteja wa 17 pro max Samsung S25&26 ultra Naleta mwenyewe hata kama yuko kahama free kabisa
Indonesia
13
29
213
31.2K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
KATAA DHARAU - Unaweza kuishi bila kazi ya Serikali,una umri wa kutetea principle kuliko chakula. Kwanza kwa umri wako ni lazima utakuwa na masharti ya kula.Kwa hiyo mboga za majani na matango huwezi shindwa.Mtazame Jenerali Ulimwengu/Prof Assad.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
274
542
4.5K
0
clementc
clementc@cycleclement·
@Sativa255 Swali ni kweli katutoka leo asubuhi ama alishatutoka tangu weekend ?. Jina la bwana lihidimiwe !!.
Filipino
1
0
17
3.3K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kusherekea KIFO CHA LUKUVI leo naachia TRENI za games za kimataifa KITUO ISIMANI jimboni kwake kumamake Wawekezaji MWAGA MOTO KUMAMAKE LUKUVI KAFA KUMAMAKE.
62
112
1.5K
46.1K
Hon. Short kibonge ●
Hon. Short kibonge ●@jayhappyness·
@AM_NIC3 Hapo kuna mawili, either kioo kimekufa au mashine ime react negative hizo Aseries za 500k kushuka chini sio za kuziamini. NB: Yesu anakupenda
Filipino
0
0
0
74
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Wakuu Nilikuwa natumia hii simu Ina Mwaka na miezi mitatu A06 nilinunua boxed Mwaka juzi Hajawahi kufunguliwa Nashangaa tu Jana jioni inaleta alama nyeupe then ikajizima Ila upande wa kucharge Pana joto kiasi Haijadondoshwa ilikuwa tu mezani whole day ikaanza kuact hivyo Shida ni Nini?
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA tweet mediaNICE (🎹🎸)MCHINA WINGA tweet media
Indonesia
54
22
129
13.8K