Thedricq
4.7K posts


@maestrochance_ Kituo cha mafuta, hotel ina msimu labda lodge na maeneo ya karibu na ICDs au stand ya mkoa
Filipino

@MaxTz255_ 40km Jkt tulikuwa tunarud saa 5 na tumetoka saa 12
Kwahyo x2 ni zaidi ya masaa 10 alikuwa anasoma muda gani?
Indonesia

Mi Ni Mtembezi Kidogo ila Huwa natembea Na Bike ina Cc 200-9 Ngoja Nikuelezee Km 80 nilizowahi kutembea 👇🏿
Dar - Bagamoyo ni km 80
Arusha - Moshi ni Km 80
Mwanza - Usagara ni km 80
Dodoma - Chamwino ni Km 80
Mbeya - Mbalizi ni Km 80
Morogoro - Mikumi ni Km 80
Tanga - Muheza ni Km 80
Kigoma - Ujiji ni Km 80
Iringa - Mafinga ni Km 80
Songea - peremiho km 80

Indonesia

@Therealngassa Kubishana na watoto nayo ni kukosea so mpo sahihi Gen Z
Filipino

@Mark_yaledy @TichaMandevu Kutembea na mke wa mtu n kesi ya madai ila mwny mke ukimpiga au kumf ni kesi ya jinai
Indonesia

@TichaMandevu Je! Kwa mara ya mwisho,mwenye makosa ni dogo au mke wa mtu?
HT

@MacAlpho @PresenterNoah Kvp au huyo mme wake amekuja mjin siku hyo asijue kama n boda daladala
Indonesia

@PresenterNoah Ukikutani mke wa mtu ukampakata kwenye boda hadi mje mjieleze vizuri kuwa hamfahamiani, watu wameshatafasiri ya kwao.
Indonesia

@Labella_Mafia95 Jana wameingia kundi la watu 4 wamenunua maji chupa nne za buku buku
Indonesia

@J_Camavinga @ReganTesla_ Hizo chuki ulizonazo dhidi ya wachaga ungeuchukia umasikini namna hyo wakati huu ungekuwa kama baharesa
Indonesia

@ReganTesla_ Acha uongo
Sababu kubwa ni kwenda kufanya matambiko(ushrikina)
Filipino

SKIA NIKWAMBIE....
Najua umeskia sana kuhusu hii kauli ya "Kwenda kuhesabiwa" ambayo kimsingi imekuwa maarufu kwa watu wa Kilimanjaro.
Sasa ni hivi, Kama ukiwazingatia wengi ikifika December wanakuwa na shauku sana ya kurudi majumbani mwao lakini kuna siri ambayo labda wengi hatuijui..
Wengi hii shauku inatokana na kwamba kuna vitu wametanguliza huko vijiji kwao. Na wanakuwa na shauku ya kwenda kuona na wengine waone sababu huwa ni baraka.
Mfano, Unakuta mtu toka January anapambana kubadilisha kibanda cha Wazazi wake kutoka nyumba zile za mbavu za mbwa kwenda nyumba ya tofali au alikuwa anapambania kuwajengea wazazi wake ukuta wa tofali kutoka ule wa nyasi au mabanzi.
Mambo yaha ni moja ya sababu nyingine ya kuongeza shauku ya mtu kufika kijijini kwao. Sasa wakifanya wengine kuna wale ambao nao hawajafanya ila wakifika kula wakiona wenzao wamewafanyia wazazi wao basi nao wanapata hasira zaidi ya kupambana.
Ndipo sasa mtu anarudi Dar akiwa kama mbogo anaitafuta pesa kama vile aliipoteza. Basi hiyo ni moja tu ya zile sababu nyingi za watu kwenda kuhesabiwa.
Ila pamoja na yote, Kama wewe sio mtu wa wivu na unapenda maendeleo kuhusu nyumbani kwenu basi Kilimanjaro ni sehemu sahihi sana kwako kutembelea.
Nenda Rombo, Marangu, Kibosho, Sanya n.k Huko kuna watu wamefanya wonders sana na ukienda hautarudi kama ulivyotoka.

Indonesia

@kirigitim Kuna maelekezo ya kampun
Kuna kampun zenye hotel zao
Na kingine kuna sehem anawapeleka kwa sababu ya kupewa chochote kitu
Filipino

@AbdallahCh53659 @Labella_Mafia95 Ona sasa huyu nae anakuja na kamdomo kake haya😂unadhani Mimi nimekuja kujiongelea hapa 😅ukipata nafasi ya kuwa Karibu na mbunge yyt muulize akuelezee kabla hujaja kunijibu Tena hapa , broo sinaongea for likes, NINA UHAKIKA.
Indonesia

@Ireneigora Sio utani
Nilienda mida ya jion 11 hv natafuta viatu nikapata travota shingo fupi wakaanza 90k ila nilinunua kwa 17k tena 12k cash na 5k nimemrushia kwa m pesa
Indonesia




















