Umbea kidogo kwanza, Jaman tuongee taratibu, eeh juzi niliwapostia jinsi X - KR anavyojivinjari na mtoto mzuri, basi walikuwa 1245 lounge kumbe ila ndio anunue kitimoto khaaa!
Imekaaje hii si dini tofauti au sio dhambi kununulia mtu? Naomba mnieleweshe taratibu leo niko kwenye ovulation dada yenu nisije nikalia!!
Ndio ununulishwe kitimoto, wazee hawa watoto wa 2000 watawatoa rohoo, ndio maana nae huyu alitoka Kwenye hekalu khaaa!!
@ni9elives@ridzays_ Not reciting even when a woman memorised the Qur'an. She can do dhikr or take parts from the Qur'an which are duas and make dua, but not recite it.
@AbdallahCh53659@Labella_Mafia95 Broo we ni Nani nibishane na wewe ? 😂au nimekulazimisha kuamini? Kama huamini si ww na bando lako na uhuru wako na Mimi na bando lngu , then pita kimya tu, comment na ww unachotaka,Usisahau kunywa maji baba joto ni kali.
Waziri Mkuu mstaafu Kassim Majaliwa alitangaza kuchukua fomu ya Ruangwa, lakini siku ya mwisho akasitisha.
Dkt Tulia Ackson naye alionekana kurejea Uspika, lakini akabadili mwelekeo dakika za mwisho.
Unaweza kujiuliza.
Kwa nini vigogo hawa walichukua hatua ngumu kama hizi?
@AbdallahCh53659@Labella_Mafia95 Ona sasa huyu nae anakuja na kamdomo kake haya😂unadhani Mimi nimekuja kujiongelea hapa 😅ukipata nafasi ya kuwa Karibu na mbunge yyt muulize akuelezee kabla hujaja kunijibu Tena hapa , broo sinaongea for likes, NINA UHAKIKA.
@Labella_Mafia95 Speaking of Tulia, dakika za mwisho alikuja kugundua kuna issue ya udini umeingia, waislam hawakuwa tayari mihimili yote ikaliwe na wakristo, baada ya kuona mahakama huko mkristo wakataka bunge awe muislam, Makundi kwa makundi ya Mps yakawa wamepang kump kura zungu….