Farmer 🌱 retweetledi
Farmer 🌱
1.3K posts

Farmer 🌱 retweetledi

Viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini vimeongea! Zaidi ya TZS 2,559,000 zimepatikana kupitia #ToneTone. MaCCM hayataki kuamini kwamba chama cha siasa ambacho ni mali ya umma Tanzania ni CHADEMA. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Indonesia
Farmer 🌱 retweetledi

@sinahisa @all_areSINA Mtu yeyote ambaye atakua anaumiza vijana lazima tumtenge

@ArobogastMrosso @Iamfelixtz Ooh sawa sawa ila nadhani ni michezo hiyo hata ya kwanza hakucheza pia
Indonesia

@fbuyobe @Tonnyfaza Issue sio ya muda gani, bali ni ukweli katika hili. As how it stand, you are double agent.
Filipino

Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility.
Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu.
1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua
fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe.
2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM
NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani?
3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya.
FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues.
HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya.
FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao.
Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama.
HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi
FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence
HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha
amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake.
FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?




Filipino
Farmer 🌱 retweetledi
Farmer 🌱 retweetledi

@Mark_yaledy @TichaMandevu Kutembea na mke wa mtu n kesi ya madai ila mwny mke ukimpiga au kumf ni kesi ya jinai
Indonesia

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Huyu hata motoni anaishi bila shida 😂
Indonesia
Farmer 🌱 retweetledi

@nhekima @Canuty96 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Yule ni mkulima ila anatumia simu kuhudumia shamba yaani analima akiwa mbali shambani wanakwenda vibarua na msimamizi ambaye sio mwaminifu.
Indonesia

@Mkulima1521 @Canuty96 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Tunarejea kwenye pointi ya msingi yule muwekezaji wa vitunguu aliye wekeza kwa kutumia WhatsApp alikuwa anawatumia akina nani?? Wakulima au Madalali??
Indonesia
Farmer 🌱 retweetledi

@nhekima @Canuty96 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Hapa unazungumzia mkulima wa namna gani na unampa hiyo mbolea ukiwa kama nani?au unazungumzia vibarua wa shambani?
Indonesia

@Mkulima1521 @Canuty96 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Wakulima ni wajeuri sana wacha niseme hivyo. Unampa mbolea mifuko mi tano mi 2 anaweka kweke. Si watetei ni wa huni ila ukiwasikiliza wanavyolalamika wakiibiwa unaweza kuwaonea huruma
Indonesia

@nhekima @Canuty96 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Wakulima si madalali wala matapeli ila punguzeni kulima wasap,hapo ndugu yetu amekiri kulima kwa simu sasa unadhani ni muujiza gani unaweza kumtetea nao apate gunia 100+ kwa ekari 1?
Indonesia

@Canuty96 @Mkulima1521 @msakufarm @TichaMandevu @JumanneMkilya Wakulima ni madalali na matapeli sana hivi watakwambia kazana mwakani utafanikiwa
Indonesia

@Mkulima1521 @JovithModest88 @godbless_lema Nina wasiwasi sana na hayo mazao unayolima, iwe tu ni farmer kama jina ila kama unalima basi achana na kilimo bro
Filipino

Nina wasiwasi. Huyu mtuhumiwa anaonekana very smart, strategic na sharp. Lakini namna anavyoomba msamaha mbele ya RC… mmmh. Naguna kabisa.
Pengine hakuna sinema yoyote; labda tu nimeathiriwa na movies za CIA na Mossad ambazo nimekuwa nikiziangalia sana. Maana mara nyingine unaanza kuona patterns, narratives na hidden motives kila mahali.
Lakini bado, kuna kitu hakikai sawa. Mtu ambaye anaonekana composed na calculated, ghafla awe mnyenyekevu kiasi hicho mbele ya mamlaka , naturally inafanya watu waulize maswali,
Je, ni hofu ya kawaida?
Ni pressure?
Ni survival instinct?
Au kuna narrative fulani inatengenezwa?
Sina majibu. Nauliza tu.
Indonesia































