ABDUL JUMBE

4.9K posts

ABDUL JUMBE banner
ABDUL JUMBE

ABDUL JUMBE

@jumbee101

Self Employed @kitaan

Rukwa, Tanzania Katılım Ağustos 2014
952 Takip Edilen1.2K Takipçiler
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
Nyumba ninayoishi tunatumia public toilet ambayo kupita kufika huko napitia karibu na chumba Cha mabinti zangu, kutokana na maisha ya kuunga unga chumba chao bado sijawawekea mlango hivyo tumekiziba tu na pazia zito. Sasa siku moja saa Tano usiku nikatoka kwenda msalani...
Indonesia
2
1
9
411
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
LEO NAWAPA STORY KUHUSU BINTI YANGU JACKLINE ALIVYONISUMBUA AKIWA SHULE. Mnakumbuka siku moja nilikuja kuwaambia humu nimemkuta na vile vidonge vya UTI sugu na vibomba vya sindano nikamdunda feminist wakanijia juu kwamba ni ukatili? Basi Leo nawapa story kidogo kuhusu yeye...
Indonesia
15
16
51
4.4K
ABDUL JUMBE retweetledi
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Najua watu wengi huwa mnatunza pesa ili zije kuwasaidia baadaye/uzeeni. Mimi nafikiri kila mmoja wetu angetunza afya yake vizuri ili ije imsaidie uzeeni/baadaye. Kwa sababu usipotunza afya yako hizo hela unazotunza sasaivi zitakuja kukusaidia kutibu magonjwa ambayo kama ungetunza afya yako isingekuwa hivyo. Imagine unapambana miaka yote hiyo unatunza pesa halafu mwisho wake hizo hela unaenda kuzitumia kulipia matibabu ya figo au moyo? Tutunze afya zetu jamani.
Indonesia
6
10
25
811
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Yanga Sc imefikisha UNBEATEN 4️⃣0️⃣ katika mechi za Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿 Mechi: 4️⃣0️⃣ Ushindi: 3️⃣3️⃣ Sare: 7️⃣ Kama watashinda mechi 1️⃣0️⃣ zilizobaki, watafikisha UNBEATEN 5️⃣0️⃣ na kuvunja rekodi yao ya UNBEATEN 4️⃣9️⃣ Mara ya mwisho kufungwa ni Novemba 7, 2024 walipofungwa 3-1 na Tabora
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Filipino
12
28
533
9.1K
Samaki Online
Samaki Online@SamakiOnline·
@jumbee101 @Iamfelixtz kolo alishawahi kufikisha mpk 13 akiwa na giants katika kundi kama al Alhy ila uto misimu yote alyocheza club bingwa hatua ya makundi hajawah fikisha 9 points
Indonesia
1
0
1
49
ABDUL JUMBE
ABDUL JUMBE@jumbee101·
@iMajeshi_ 𝙳𝚊𝚊𝚑 𝚔𝚒𝚏𝚘 𝚗𝚒 𝚏𝚞𝚖𝚋𝚘
Indonesia
1
0
0
148
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Jamaa fulani tulikuwa naye kwenye bonanza la michezo jana. Alikuwa yuko vizuri hana shida mpaka akatununulia kitimoto. Tukala, tukawa tunabishana na mambo ya mpira. Leo asubuhi nmepigiwa simu naambiwa mshikaji amekata moto. Mwana amefia usingizini, sijui shida nini.
Indonesia
24
22
184
10.2K
ABDUL JUMBE
ABDUL JUMBE@jumbee101·
@iMajeshi_ 𝙺𝚝𝚟 𝚓𝚒𝚛𝚊𝚗𝚒 𝚗𝚊 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝚙𝚘𝚝𝚒
Indonesia
1
0
1
202
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
@jumbee101 Jina la Jumbe kama vile liko familiar, ni kama unafahamu?
Indonesia
1
0
1
491
nameless97💉🩸
nameless97💉🩸@msonjo972·
@YoungAfricansSC Mimi ni shabiki wa Yanga ila natamani sana tufungwe hata 2 au zaidi ameeeeen 🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭
Filipino
1
0
6
729
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Huyu namrudisha mpimbwee
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
33
13
146
19.9K
ABDUL JUMBE retweetledi
Liber Nehemiæ
Liber Nehemiæ@iamNehemia·
Huyu Brother anaitwa JOHNSON MANYAMA NYASEBWA kijana mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Ilala Almarufu kama Akili Brain mmiliki wa ma parody yasiyopungua matano na kuendelea humu. Na yana Fanya kazi kwa nyakati tofauti kutapeli watu. Vuta kiti, kaa rada kujuzwa usiyo - yafahamu.⤵️
Liber Nehemiæ tweet mediaLiber Nehemiæ tweet media
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰@Tinahcristiaan

Mtumishi muunge hyo dogo bando ..Pesa ameshakutumia sasa badala ya kumuunga una mblock unataka mtu akueleweje? Hela yenyewe nimetoa dada ake mantile hapa..Hata mgongo haujapoa kusukuma chapati😅

Indonesia
26
34
126
36K
ABDUL JUMBE
ABDUL JUMBE@jumbee101·
@lastedAD @Trader_NAStz 𝙷𝙰𝚃𝙰 𝙼𝙴 𝙽𝙸𝙼𝙴𝚂𝙷𝙸𝙱𝙳𝚆𝙰 𝙺𝚄𝚃𝙾𝙵𝙰𝚄𝚃𝙸𝚂𝙷𝙰 𝚈𝚄𝙿𝙸 𝙼𝙴 𝚈𝚄𝙿𝙸 𝙺𝙴
Indonesia
0
0
0
25
Trader NAS
Trader NAS@Trader_NAStz·
Aaah KMMK Uyu shemeji yenu sasa anataka Talaka Kama mapenzi mpaka ukojolew mdomon asee mim YAMENISHINDA 😁🙌
Trader NAS tweet mediaTrader NAS tweet mediaTrader NAS tweet media
Indonesia
10
0
8
1.7K
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
@MtumishiInjili hyu jamaa ni tapeli msithubutu kununua bando kwake ni tapeli..Sema we mtumishi ni msengemsenge wenzio wanatapeli na miujiza fake we unakuja kutapeli buku ten ten za bando anyway la mamako kila ukihema my dear😘
Indonesia
19
16
55
7K
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Hapo meja mkiingia mnaingia kimya kimya..... Mkitoka mnatoka kimya kimya... Mpaka utoke eneo la kambi ndo ukapige kelele zako huko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁 tweet media
Filipino
4
10
86
2.9K
EZEKIAH JEREMIAH
EZEKIAH JEREMIAH@ezzy_wix·
Hawa jamaa nao wamepandisha nauli, kwani wanatumia mafuta gani?
EZEKIAH JEREMIAH tweet media
Filipino
4
7
17
316