OII

12.8K posts

OII banner
OII

OII

@kipingu17

Katılım Ağustos 2022
1.4K Takip Edilen999 Takipçiler
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
VODACOM Tanzania wamenifungia M Pesa yangu ya namba 0769823839 tangu tarehe 21.01.2026 kwa sababu ya kuendesha zoezi la kuchangia shughuli za CHADEMA. Nimewapigia simu wameniambia niende duka la Vodacom lililo karibu yangu. Soka alipoambiwa aende Chang'ombe polisi akachukue pikipiki yake hakuonekana tena. Sitoingia kwenye huo mtego. Nimesikitika sana kuona Vodacom wameamua kuingia kwenye siasa dhidi yetu. SO SAD😭😭😭
John Pambalu tweet media
Indonesia
96
220
1.1K
61.7K
OII
OII@kipingu17·
@MickyJnr__ Atasimama mpaka kiama
Lietuvių
0
0
0
25
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
Who should stand up for Mane to sit down? • Okocha • Weah • Eto’o • Drogba #AfricanFootball
Micky Jnr tweet media
English
145
9
346
29.7K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ninaona kauli zako kuhusu CHADEMA. Je, unalenga kuona CHADEMA ikifutwa? Au unaamini kwa kufanya hivyo unaweza kujijenga kama mgombea wa urais wa baadaye? Nauliza tu, kwa nia ya kukumbushana jambo moja muhimu, ukiendelea na mkakati huu mliouchukua, si CHADEMA itakayofutwa bali ni wewe na nyie ndio mtakaofutwa. Na watu wote semeni AMEN.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
624
407
3K
112K
OII
OII@kipingu17·
@Jambotv_ Katiba ipi iyoinayokataa maandamano
Filipino
0
0
0
39
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI PICHA: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo vinaweza kuhatarisha amani, usalama na ustawi wa maeneo yao. Amesema jeshi la Polisi linaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa vijana ili kuwakinga dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwaweka kwenye mazingira ya uvunjifu wa sheria, huku akibainisha kuwa uelewa sahihi wa sheria za barabarani na nidhamu ni nyenzo muhimu za kujilinda na kuepuka ushawishi hatarishi. Kamanda Kuzaga ametoa kauli hiyo jana Desemba 07, 2025 wakati akizindua mafunzo maalumu ya udereva salama kwa madereva wa bodaboda katika Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Mafunzo hayo yanatolewa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mbeya na yamelenga kuwaongezea ujuzi, umahiri na uelewa wa kanuni za usalama barabarani. Amesisitiza kuwa kuwajengea uwezo madereva wa bodaboda ni hatua muhimu katika kupunguza ajali, kuimarisha nidhamu barabarani na kuboresha utoaji wa huduma salama kwa jamii. Kwa upande wao, baadhi ya madereva wa Bodaboda walioshiriki mafunzo hayo wamesema wanayapokea kama fursa ya kuboresha huduma wanazotoa, kuongeza uelewa wa sheria za barabarani na kujiepusha na mambo yanayoweza kuathiri kazi zao. Aidha, wameeleza kuwa mafunzo hayo yataongeza usalama wao na wa Wananchi wanaowahudumia katika maeneo ya Kiwira na jirani.
Jambo TV tweet media
Filipino
33
8
238
23.3K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Vijana fulani leo ktk saluni moja wameniambia “ Mheshimiwa, nyakati zimebadilika. Hakuna tena anayeweza kutugawa kwa misingi ya udini. Sisi vijana tumeamua kuwa umoja wetu kuwa tuko juu ya tofauti za dini. Ijumaa, Wakristo tutaenda kusali msikitini pamoja na ndugu zetu Waislamu, na Jumapili Waislamu tutaenda kanisani pamoja na ndugu zetu Wakristo.’ Wakafunga kauli kwa kusema: ‘Sisi ni Wakri Islamu, hatugawanyiki tena.
Indonesia
74
398
2.6K
81.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WALINZI WA MWIGULU NCHEMBA WAMEHUSIKA NA TUKIO LA MAUAJI YA MC PILIPILI. Novemba 15, 2025 ambayo ilikuwa siku ya Jumamosi MC Pilipili alisafiri kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ambako alienda kwa ajili ya shughuli zake. Siku ya Jumapili yani November 16, alienda Royal Village Hotel Dodoma wakati anatoka na gari kuna gari mbili zikaanza kumfuata nyuma, watu hao walimkimbiza mpaka maeneo ya karibia na Swaswa Dodoma mjini ambapo walifanikiwa kuiblock gari ya Mc Pilipili badae wakashuka watu wa nne ambao mashuhuda wanasema ni Walinzi wa Mwigulu Nchemba kishawakaenda kwenye gari la MC Pipili Mashuhuda wanasema kulikuwa na ubishani wa dakika kadhaa badae watu hao wakamshusha MC Pilipili kwenye gari yake kwa nguvu na kuanza kumpiga. Then walimuingiza kwenye moja ya gari zao kishawakaondoka nae siku ya Jumapili familia ilipigiwa simu ikajulishwa kwamba mwili wa MC Pilipili umeokotwa kando ya Barabara na tayari umefikishwa General Hospital Dodoma. Ndugu walifika Hospital kwa ajili ya kuthibitisha kama kweli ni ndugu yao, baada ya kumkagua wakagundua kwamba ni kweli ulikuwa mwili wa MC Pilipili. Lakin wakati wanakagua mwili huo walikuta ulikuwa na jeraha la risasi, majeraha ya mijeledi maeneo ya mgongoni na kwenye bega alikuwa ameunguzwa na kitu kama pasi. Hii ni ishara kwamba Watekaji hao kabla hawajatekeleza mauaji hayo walimtesa sana kisha baada ya mateso ndo wakaamua. Pamoja na Ukatili huo wote ambao MC Pilipili kafanyiwa na Walinzi wa Mwigulu Nchemba, Familia ya MC Pilipili wameambiwa hawatakiwi kusema chochote juu ya sakata hilo badala yake wameambiwa eti Polisi kupitia RPC wa Dodoma pekee ndo wanaruhusiwi kuzungumza kuhusu jambo hili. Tangu Jumapili mpaka sasa Jeshi la Polisi Mkoa Mkoa wa Dodoma lipo kimya hawajasema chochote licha ya kwamba wanajua fika kwamba mwili wa MC Pilipili umekutwa na jeraha la risasi pamoja majeraha mengine ya vipigo maeneo mbalimbali sehemu ya mwili wake. Jeshi la Polisi limekuwa na kigugumizi juu ya jambo hili kwasababu linajua nan ni muhusika. Nchi yetu imefika mahali pabaya sana kila mtu ambae yupo Serikalini anadhan kwamba yuko na Haki ya kuamua nan aishi nani afe. Bila kuikomboa hii Nchi tutaendelea kushuhudia matukio ya namna hii kila siku. #JusticeForMcPilipili💔
Hilda Newton tweet media
Indonesia
130
316
1.8K
206.6K
OII
OII@kipingu17·
@shaffihdauda1 Kapropaganda flan ivi kamepenyezwa Kiana 😁😁😁😁😁
HT
0
0
0
32
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Nimeiona taarifa ya Jeshi la Polisi kumkamata mtu mmoja huko Mara akiwa na mabomu na mtu huyo kutajwa kuwa ni mwanajeshi wa Jeshi la Marekani. Mimi hii taarifa imenishtua sana , kwa miaka mingi nimesafiri maeneo mbali mbali Duniani nikiri tu kwamba , Tanzania ni nchi nzuri mnoo inawezekana hiki kitu sio kila mtu kinampendeza. Pamoja na yote yanayoendelea rai yangu kwa watanzania wenzangu , tujitahidi kila mmoja aendelee kuwa mlinzi namba moja wa nchi yetu tusiingie kwenye machafuko. Tuipende na Tuilinde Tanzania yetu ili tuishi kwa Amani , Haki na Upendo 🇹🇿
Shaffih  Dauda tweet media
Ludlow, MA 🇺🇸 Indonesia
406
33
546
84.9K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kitendo cha viongozi wa Chadema kina Heche nawezake kuachiwa kama njia ya kuelekea kwenye Maridhiano, Sipati picha wale wahalifu wa nchi kina Mange na Maria huko watakuwa na hali gani, maana biashara ya damu za Watz imekufa rasmi…. wataanza kuwatukana wenzao wa Chadema soon kwamba wamelamba asali kama kawaida ya matusi yao. Hongera Heche kwakulitanguliza taifa kwanza!
Indonesia
403
8
150
102K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
"Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia." 1 Samweli 7:12
Boniface Jacob tweet media
Filipino
274
697
4.9K
85.4K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nimekutana na ukurasa wa @gharib_mzinga. Local football commentator namuelewa. Kitu amefanya baada ya kurejea internet kutoka siku sita gizani ni kutuhabarisha habari za makundi ya Simba na Yanga. Ni kama huko kwao hakuna misiba. Mtandaoni hajaona milima ya maiti. Hajaguswa.
Indonesia
71
181
1.8K
50.4K
OII
OII@kipingu17·
@WilliamsRuto Umeshusha pumz sasa maana amekupelekea moto balaaa
Filipino
0
0
0
95
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Midia zinasubiri wapewe cha kupost kuhusu Nahodha.!! 😂
Slovenščina
15
23
258
17.1K
OII
OII@kipingu17·
@GillyBonnyTv 😁😁😁 sisi tuko na yeye
Filipino
0
0
0
190
Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv@GillyBonnyTv·
Tanzania leo imezuka taharuki kubwa baada ya kusambaa kwa kasi Video ya anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Video hii sio ya uhalisia yametumika matumizi makubwa ya TEKNOLOJIA maarufu kama akili mnemba AI ili kutengeneza uhalisia wa kupotosha Jamii Lengo la kuchochea chuki na hasira kwa Wananchi dhidi ya Serikali kuu na ukitazama kamanda huyo amezungumza mengi na kuhamasisha Wananchi wajitokeze ili wakomboe Nchi yao kwa Maandamano na kuwa jeshi lipo bega kwa bega pamoja nao basi wasiogope NB.Hiyo si video halisia imeundea ili Watanzania wapotoshwe
Gilly Bonny Tv tweet media
Indonesia
52
9
94
8.8K
OII retweetledi
SATIVA TIPS
SATIVA TIPS@sativatips17·
Hotuba FULL YA CAPTENI TESHA. TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
81
446
1.3K
188.4K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Luka 19:39~40 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.” Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.”
Indonesia
27
218
1.3K
35.3K
OII
OII@kipingu17·
@angelish17 Daaah afadhali na sisi bwana
Filipino
0
0
0
447
Angel17💞
Angel17💞@angelish17·
Hatimaye tumempata Traore wetu ila mɓona kama ana hofu 🙏🫢
50
69
1.1K
56.3K
OII
OII@kipingu17·
@PMadeleka Ilijamaa kimekuq puuuz sana
Suomi
0
0
0
10
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Tangu NIKAMATWE na KUWEKWA GEREZANI kinyume cha Sheria, sikuwahi kusikia MAANDAMANO au MGOMO umeitishwa na Chama Chochote kile cha KITAALUMA ili KUPINGA UONEVU niliofanyiwa. Siungi mkono UBAGUZI dhidi ya WAKILI yeyote.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
332
31
648
148.3K
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
𝐓𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐆𝐀𝐈𝐍!!! 🇹🇿✨ Tomorrow, all roads lead to Tanga for the grand celebration of Coastal Union Day. It promises to be a special occasion filled with football, culture and entertainment. As one of Tanzania’s oldest clubs, Coastal Union carry a rich history and their passionate fans always make it unforgettable. ❤️🤍 Can’t wait to be part of it! 🙌 #AfricanFootball #CoastalFestival2025
Micky Jnr tweet media
English
6
17
611
27.7K