
@ArthurGeil One of the most iconic art from a genious @masoudkipanya
English
world of vato🌏
1.9K posts

















Kitaa kwenye vijiwe vya kahawa wadau wanahoji, ni lini wananchi wataanza kuchanga kiasi cha shilingi milioni moja [1,000,000] ambacho Bodi ya Ligi Kuu imemtoza kiungo fundi Mudathir Yahya kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Hivi karibuni wananchi walimchangia golikipa Djigui Diarra kiasi cha shilingi milioni nne [4,000,000] ikiw ni faini ambayo alitozwa golikipa huyo kwa kitendo ambacho kilitafsiriwa si cha kiungwana michezoni. Wadau wa vijiwe vya kahawa wana hoja ….!!