Sabitlenmiş Tweet
kuringe sawere Timbiri
22.8K posts

kuringe sawere Timbiri
@kuringechadema
A political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance in Tanzania🇹🇿
Canada Katılım Haziran 2022
607 Takip Edilen9.8K Takipçiler
kuringe sawere Timbiri retweetledi

Mjiandae kisaikolojia - kuna watakaokubali kusaliti wenzao kwa sababu moja ama nyingine - muhimu ni FOCUS
Genz Tz be strong 💪🏽🇹🇿
Aluta Continua #D9Tunatoka #SamiaMustGo

Indonesia

@praygasper_ @HildaNewton21 Hatuto kubali kaua ndugu zetu zaidi 10K alafu anatuletea kiburi inauma 💔
Eesti

@kuringechadema @HildaNewton21 Kwa kweli ni maajabu, Unawauwa na unataka kuwatawala kwa nguvu pia, na unataka wanyamaze tu🤔
Filipino

@FKihamu Kwa nyie waandishi wa habari mlio left magroup mtatembelea reli sana kmmk!
Filipino


@Tanzaniaonejezk Luzidishe mapambano chuwa yako tupo karibuni kushinda!
Filipino

@Tanzaniaonejezk Kida chuwa ishi sana kamanda na pole sana kwa matatizo yaliyokukuta hivi karibuni dhuluma aijawahi shinda haki hata siku moja!
Indonesia

@MankindUwezo Ni vigumu kuona kitu ambacho ubongo haujaamua kuona kwa sababu kazi ya macho ni kudecode tu, ubongo ndio unaoona Dr . Mzima akili ipo mkunduni!
Indonesia

@davitheempire Hawa wala nguruwe wananitia kinyaa kweli kmmk zao!
Filipino

@TitoMagoti Hatutakubali tukaongozwa na huyu muuaji wacha tukamalize kiburi chake #9D
Indonesia
kuringe sawere Timbiri retweetledi

Kwamba mnataka watu wakubali kutekwa na kuuwawa kwamba ni jambo la kawaida!!!
Wakikataa utekaji unasema wanaleta vurugu sio?
Yuko wapi Polepole, Mdude, Soka, Kipanya na watu maelfu mliowateka?
Kama wana makosa kwanini msiwashitaki mahakamani?
Mnaiba uchaguzi, watu wakipinga mnasema wana uchu wa madaraka!!!
Kwamba wewe unaeiba kura, kufoji na kuua watu ili ujitangaze bila ridhaa hauna uchu… Lakini anaekuambia rekebisha sheria tushindane kwa haki ndio mwenye uchu sio? Hivi mnaona Watanzania kama vile hawana akili!!!
Kwasababu ya uchu ndio maana mnataka kuchochea udini kwa faida yenu lakini sio kwa faida ya Watanzania..
Indonesia
kuringe sawere Timbiri retweetledi
kuringe sawere Timbiri retweetledi












