langasa@mp

490 posts

langasa@mp

langasa@mp

@langasamp

Needer of change

Dodoma, Tanzania Katılım Eylül 2022
129 Takip Edilen18 Takipçiler
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mbona kama siku hizi bashite amebadilika sura sana sijui ni umri au ni nini? 😳
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Indonesia
74
9
349
50.4K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Mnazidi kumdhalilisha huyu Mama. Kama Raia anazindua soko MEYA anafanya KAZI gani? Hata ukimuacha huyo; waziri mwenye dhamana, PM au VP hawatoshi? Au bado mnaendelea na kampeni?
joseph_selasini tweet media
Indonesia
13
7
66
2.9K
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢@Chahali·
#Jasusi ametengeneza wimbo huu na video yake youtu.be/85bP-YM4ynQ katika kumuenzi Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye Januari 22 mwaka huu ametimiza mwaka kamili tangu achaguliwe mwenyekiti wa Chadema (Taifa). Ukikupendeza basi mshirikishe mwenzako pia
YouTube video
YouTube
Indonesia
1
0
2
1.2K
Vlux
Vlux@The_Vlux·
@MariaSTsehai Naamini hivi vikao anavitumia kama kisingizio tu kwani hakuna sababu ya maana ya kuvifanyia Zanzibar. Anaogopa rumours zinazoibuka kuhusu yeye kwenda huko. Kwanini aogope rumours kihasi hiki? Pengine ni za kweli.
Indonesia
2
1
3
5.2K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Yaani wiki nzima Zanzibar! Na kabla ya hapo alikuja Tanganyika kidogo akakimbia tena Yaani shughuli zote eti Zanzibar 🙄 Alafu naona makamu wake hayupo - kaenda wapi? Bora huyu kidogo anaonekana kashtuka! Maana hawa wenzake waone 😀 Hawa bana wameshakuwa kama kigenge cha kijiweni na libabe lao 😆 eti chama dola?! Mfyuu! Mnapelekeshwa mibaba mijitu mizima mmeufyata 🚮 Na #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
33
58
539
57.5K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Naamini Lissu kutoachiliwa mpaka sasa kunatokana na msimamo wake wa kutotaka stori zozote zaidi ya kesi kuishia Mahakamani. Ingelikuwa ni madalali wa kisiasa, kitambo Lissu angekuwa uraiani !!
Filipino
23
133
1.2K
27.9K
bwan Tii
bwan Tii@bwantii·
@tausilikokola @grok kwa ukweli kabisa bila political sympathy Lissu amefanya kitu gani chenye uzito katika demokrasia ya Tanzania kitakachomuwezesha kupata hiyo tuzo?
Indonesia
6
0
3
1.1K
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
While Tundu Lissu remains in detention on fabricated treason charges, he has been elected Executive Vice Chairman of the International Democracy Union (IDU)-a global alliance of centre-right democratic parties-and is ending 2025 with his name circulating among potential Nobel Peace Prize nominees. Meanwhile, those responsible for his imprisonment are themselves facing growing International Criminal Court scrutiny for crimes against humanity. Go figure. Time will tell. Truth and justice will ultimately prevail.
Tausi Likokola tweet media
English
25
276
1.1K
27K
Force News
Force News@forcenewstz·
Force News: Kampuni ya mabasi ya safirishaji wa abiria ya Esther Luxry coach imewataka watanzania kutohusisha kampuni hiyo na Viongozi wa kisiasa akiwemo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Indonesia
7
1
9
1.2K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Tupate wanawake wa shoka Watano tu kama Hilda newtons Hapa Tanzania. Mbona tutakuwa mbali sana Heri ya siku ya kuzaliwa Hilda, wewe ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengi Tanzania @HildaNewton21
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
7
22
180
6.3K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa, amepata ajali majira ya saa tisa usiku katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma. Ajali hiyo imetokea wakati Mhe. Kwagilwa akiwa safarini akitokea mkoani Mbeya ambako alihudhuria ziara ya Waziri Mkuu, na kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya kuungana na ziara nyingine ya Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Hata hivyo, tumetaarifiwa kuwa hakuna aliyepoteza maisha wala kupata madhira makubwa katika Ajali hiyo Tunafuatilia kwa karibu tukio hili na tutatoa taarifa zaidi kadri zinavyopatikana kutoka kwa maafisa wa Serikali na vyombo vya usalama vilivyoko eneo la tukio
Jambo TV tweet media
Indonesia
139
10
326
38.5K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
MAJIZZO NJOO DARASANI! Umeleta hoja za Kisiasa alafu unajitoa?! Usijitilishe huruma, SKIA.. MSANII ni KIOO CHA JAMII, hivyo TASWIRA au KAZI yake, inatakiwa KUAKISI (Reflect) JAMII YAKE, kwa wakati muafaka. Kama Jamii ina NJAA, Msanii nae inabidi awe hajala au Kazi yake ijae MAUDHUI ya Njaa. SANAA ni Burudani, Elimu, Utambulisho na Biashara. Upande wa ELIMU ni kwa Kui habarisha, kanya, rekebisha, shawishi pamoja na KUISEMEA Jamii. Sio lazima ufanye vyote, maana ITIKADI, DINI, MITAZAMO, JINSIA, TAMADUNI huweza kukuzuia kufanya yote, ila kwenye masuala ya Kijamii yanayokuathiri pia, NI WAJIBU WA KILA MSANII KUSIMAMA NA JAMII YAKE. Jamii ikipata Madhila, kimbilio lake ni WASANII. Msanii anafikisha UJUMBE kwa Watawala, Watesi au Wakombozi. MAUDHUI YA SANAA hugeuka Faraja, Tiba, Tumaini; and ART becomes THERAPY & MOUTHPIECE. WANANCHI wakajiona hawapo wapweke au peke yao (Feel Seen). Mfano KATUNI ZA KIPANYA. Au NYIMBO ZA ROMA MKATOLIKI na NAY WA MITEGO.. Jamii ikiona na kusikia, inapata hauweni na tumaini na Watesi wanapata Jumbe. MAJIZZO, Watu wametekwa, wameuwawa, wapo Rumande, wamebambikiwa Kesi, wamepigwa, wamepotea, wamelawitiwa, SERIKALI KIMYA! Wasanii wanaimba MAPENZI na KUISIFIA SERIKALI iliyo waangusha WANANCHI. Wananchi ndio wanaipa Madaraka Serikali, ila inayatumia vibaya (Jeshi, Polisi, Usalama) kutisha na kuminya UHURU. Na inatumia WASANII kuwashawishi na Kuwapumbaza Watu ili wao Wabaki MADARAKANI. Pengine mimi binafsi sijafanya hivyo, ila ni kweli kuwa Wasanii tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu kama Kioo Cha Jamii, na Sauti za Wasio nazo. Umeongelea SIASA, sisi hatupo huko, na umeongelea Mashambulizi PERSONAL, well post inayofata nitakuonyesha what personal is… usijitie Huruma, wala kuleta kiherehere cha uGodfather, ingawa najua umetumwa. The Leader
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
35
118
562
21.6K
langasa@mp
langasa@mp@langasamp·
@Jambotv_ Na Bado hamjachemaaaaaasa yaan mpaka mchemeeeeeee
Filipino
0
0
0
12
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watanzania kutokubali kugombanishwa kwa namna yoyote iwe kwa udini au tofauti za kisiasa. Ameyasema hayo akiwa wilayani Mbozi Mkoani Songwe ambapo ameeleza kuwa pamekuwa na jitihada za kuwagombanisha Watanzania kwa namna mbalimbali na hata kutengenezwa kwa chuki dhidi ya wasanii. "leo hii inafanyika jitihada ya kugombanisha watu kila kundi... nani kakuambia kwenda kuimba unaenda kwa kupewa kadi ya uanachama... nani kawambia kwamba wale wakiimba wanapewa kadi ya uanachama" amehoji Dkt. Mwigulu. Anayasema haya ikiwa kwa muda sasa pamekuwa na mjadala na maoni tofauti tofauti juu ya mashabiki wa muziki nchini kutowaunga mkono wasanii na kazi zao hasa wale walioshiriki katika kampeni za Chama cha Mapinduzi Jambo ambalo limekuwa na mjadala wenye maoni tofauti tofauti.
Indonesia
34
5
27
4.2K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
UDSM wametoa product nyingi za hovyo kama ameimba nyimbo za chama na nyie ni wengi si msikilize nyie hiyo NYIMBO mnasema mko wengi sana nyie? au wapeni pesa kama mlivyozoea wakae nyumbani halafu tuone kama ndio usanii wenyewe huo hawa wasanii kwa kadri sio zinavyokwenda ndio hata wanasahaulika kabisa
Think Different tweet media
Indonesia
24
19
165
11.1K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁 Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli. Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear , 🚫 BAN. 🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo. 🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow, no streams, no hype. Hatutabebi ujinga juu ya clout.Hatutabeba propaganda juu ya beats. Ukipotosha watu kwa mic, ukikanyaga haki juu ya likes, tunakuonyesha dust. Sanaa bila ukweli ni scam. Na scam hatu buy, tuna cancel. Yoyote anapotea njia anaachwa nyuma, alone. BAN
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
122
361
2K
56.4K
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
"Tuko hapa kuwatangazia Wanasimba wote Tanzania na duniani kwamba tumetoa punguzo la bei ya jezi kutoka Tsh. 45,000 hadi Tsh. 12,000. Ofa hii ya sikukuu ni kwa jezi zote, za ligi, za kimataifa na za watoto. Jezi za watoto zimetoka na sasa zinapatikana madukani."- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
228
43
908
96.4K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian Tanzania, Emmaus Mwamakula, amependekeza kuwa kila mkoa ambako mauaji yalifanyika, Oktoba 29, 30 na 31 mwaka hii, ipangwe siku ambayo watu watakusanyika uwanjani kufanya sala za wafu na kuweka mashada ya maua. Askofu huyo ameandika hayo Desemba 15, 2025, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook akipendekeza Desemba 29, 2025 iwe siku ya kufanya tukio hilo, na kwamba lisiwe tukio la kiserikali, lakini viongozi wa kiserikali pia wahudhurie. Amesema katika tukio hilo la kumbukumbu, "Viongozi wa dini wafanye sala za wafu, majina ya watu hawajaonekana, wanaosadikiwa kuwa waliuawa katika mauaji hayo yaorojeshwe kwa kila wilaya au mkoa na yatumike hayo kutajwa katika sala kulingana na imani za dini zao". Ameongeza kuwa baada ya utaratibu huo wa kitaifa kufanyika, ndugu walioondokewa na wapendwa wao waende katika vijiji na mitaa yao na katika familia zao ili kumaliza taratibu za msiba. Amesema kwa kufanya hivyo waliopoteza maisha Oktoba 29, watakuwa wameenziwa na kama taifa "tutakuwa tumetimiza wajibu unaopasa kwa marehemu". "kwani kwa mujibu wa mila, desturi na tamaduni zetu, lazima kuwe na utaratibu wa kuhitimisha maisha ya mtu au marehemu hapa duniani", ameandika Askofu, Mwamakula. Aidha amesema hatua hiyo itatoa nafasi kwa ndugu wa waliopoteza maisha kuwaomboleza ndugu zao kwa uwazi kuliko sasa wakati wako kwenye majonzi ya kimya. Hata hivyo, Mwamakula ameipendekeza siku ya tarehe 29 Desemba 2025 iwe siku ya kufanya maombolezo hayo kwani itakuwa imetimia miezi 2 kamili baada ya mauaji hayo yafanyike.
Jambo TV tweet media
Indonesia
13
75
668
15.8K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🔥🔥💪🏽 Another win ✊🏽🇹🇿 Yaani hakuna “life as usual” hadi haki ipatikane Waahirishe matamasha even Christmas will be cancelled kama wanakataa kutoa haki! #D25 #D9+ #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Eesti
31
149
888
35.7K
langasa@mp
langasa@mp@langasamp·
@MariaSTsehai Dada maria... Natamani tutafute fuso lifungwe mziki mkubwa uanze mbezi mwisho Kwa nyimbo makombolelo had uwanja wa taifa kushehekea christmasiii #D25 ni motroooo
Filipino
0
0
1
703
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️TOA MAPENDEKEZO‼️ Ratiba kuelekea #D25 #J1 - muda wowote sehemu yoyote nchini! Naanza kupendekeza 👇🏾 Disemba 2025 Jumatatu 15 Kuandaa mabango Jumanne 16 Jogging club - kujiunga na kuunda clubs za ushawishi Jumatano 17 Maandamano nchi nzima katika mtaa/ kata /wilaya Alhamisi 18 kusambaza ujumbe wa #D25 kupitia nyimbo kwneye mabasi/ nyumbani/hostel/kazini, spray wall au kutundika bango lenye ujumbe barabarani Ijumaa  19 Kufanya usafi mitaani Jumamosi 20 Maandamano kwenye sehemu za burudani na starehe Jumapili 21 Maandamano kwenye Ibada   Jumatatu 22 Kuandaa mabango Jumanne 23 Jogging Jumatano 24 Maandamano nchi nzima Alhamisi 25 Maandamano nchi nzima Ijumaa 26 Kufanya usafi mitaani Jumamosi 27 Maandamano kwenye sehemu za burudani na starehe Jumapili 28 Maandamano kwenye Ibada   Jumatatu 29 Kuandaa Mabango Jumanne 30 Jogging na kusambaza ujumbe kwa njia mbalimbali Jumatano 31 Maandamano nchi nzima
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
100
309
1.7K
78.7K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu ambayo ni mfano wa kipekee Afrika na dunia kwa ujumla. Matunda ya Uhuru wetu yanaendelea kudhihirika katika uwezo wetu wa kuamua, kupanga na kutekeleza mipango yenye manufaa kwa wananchi na yenye kulinda maslahi ya Taifa letu. Haya ndiyo matunda ambayo waasisi wa Taifa letu waliyapigania na ambayo daima tutayalinda. Tuufurahie, tujivunie, tuulinde na tuuthamini Uhuru wetu. Mungu Ibariki Tanzania." - Rais Samia Suluhu
Swahili Times tweet media
Indonesia
27
14
242
37.3K
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
#HABARI Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma ujumbe kwa Watanzania kuelekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru, Disemba 9, 20205. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 8 na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchema imewataka wananchi wasiokuwa na dharura siku hiyo kuitumia kupumzika majumbani kwao. Ameongeza kuwa, wale ambao majukumu yao ya kikiazi yanawalazimu kufika katika vituo vyao vya kazi watafanya hivyo kwa kufuata maagizo ya viongozi wao. #EastAfricaRadio
Indonesia
11
4
41
4.2K