Laurent Mtei justine

30.5K posts

Laurent Mtei justine banner
Laurent Mtei justine

Laurent Mtei justine

@LaurentMtei2

business

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2018
2.1K Takip Edilen493 Takipçiler
Laurent Mtei justine retweetledi
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Kipindi nipo CCM nilikuwa na waona CHADEMA Waleta vulungu maana CCM ndivyo walivyo Tuaminisha. Baada kuja kugundua ukweli kumbe CHADEMA ni watu WEMA kabisa na wananianjema Na NCHI YANGU Siku Moja kulikuwa na kikao tuliijadili sana CHADEMA kusema kweli CCM wanaiyogopa san CDM
Indonesia
7
77
636
21.5K
Laurent Mtei justine retweetledi
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Bodaboda wa ule mtaa watafutwe wawekewe hata full tank Maana kuwakimbiza wale jamaa miles 3 sio mchezo, na mafuta yalivyo panda saizi walifanya uzalendo wa kweli 😭👏🏾
Indonesia
38
222
1.9K
40.9K
Laurent Mtei justine retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Si lazima uwe mwanachama wa CHADEMA kuchangia harakati Kumbukeni tumekuwa tukilia kupata chama cha kuongoza mapambano Sasa tuelewe kuwa wakoloni weusi wamehakikisha chama hiki hakipati fedha na walifungiwa mwaka mzima! Kufanikisha harakati zao ni muhimu tuwachangie! Kwa namna hii @ChademaTZ2 wazidi kuelewa kuwa wananchi tunataka wasukume #FreeTunduLissu na #KatibaMpya - wao kwa sasa ni chama cha wananchi si cha wanachama wao tu! Namna ya kuchangia 👇🏾 iko kwenye bango!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
9
153
517
7.9K
Laurent Mtei justine retweetledi
Felci ☘
Felci ☘@PhentyKiria·
Yule mchina ambaye mwenzie amueliwa anasema anashangaa sana ila wanatakiwa watu wajue kuwa “damu lazima irudishwe na damu”
Indonesia
0
4
13
880
Laurent Mtei justine retweetledi
Laurent Mtei justine retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katuni
Masoud Kipanya tweet media
Indonesia
76
205
1.8K
42.3K
Laurent Mtei justine retweetledi
mbwelwa junior
mbwelwa junior@KihongosiUfunuo·
Chanzo Cha matatizo yote Tanzania ni CCM hakuna mjadala.
Español
4
11
59
610
Laurent Mtei justine retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Yule mama wa Lumumba anaesema angepewa nafasi hata sekunde angewapoteza wapinzan (CHADEMA) hivi ana mtoto kweli ? Anajua maumiv wanayopitia wale walio poteza ndugu zao October 29? Asee nimeumia mno
Indonesia
3
25
185
5.3K
Laurent Mtei justine retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
KESI DHIDI YA CHADEMA, MAHAKAMA KUU KUTOA UAMUZI (RULING) KESHO TAREHE 20/05/2026: Kesho, Mahakama kuu, Masijala ya Dar es salaam inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo dhidi ya pingamizi la mawakili wa Chama kwenye kesi ya Madai ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa Chama. Itakumbukwa kwamba, Mahakama kuu baada ya kusikiliza pingamizi hilo, Iliana kutoa uamuzi kesho kuanzia saa sita mchana. Endapo Mahakama kuu itaona pingamizi hili lina mashiko basi kesi hiyo itakuwa imeshia hapo, na kama ikitupilia mbali pingamizi basi shauri hilo litaendelea. Wananchi mnaopenda haki na marafiki wa Demokrasia tukutane Mahakama kuu.
Indonesia
4
44
172
5.9K
Laurent Mtei justine retweetledi
Adv. Dickson Matata
Adv. Dickson Matata@AdvMatata·
Katika Kanda yangu ya Magharibi inayojumuisha mkoa wa Tabora, Kigoma na Katavi (Chadema) kuna mtu ambaye anaishi Dar es Salaam lakini ni mzaliwa wa Ukumbisinganga-Kaliua mkoani Tabora (sitamtaja kwa jina leo) Mtu huyo anafahamika kwa kwa kufanya "press" nyingi zinazoisifia serikali na kui"ponda" Chadema. Hata majuzi amefanya "Press" akimsema Makamu wa chama CDM John Heche, amepewa kandarasi ya kutafuta watu wajifanye ni viongozi wa CDM toka katika maeneo mbali mbali katika Kanda yangu kwa kuwapa pesa kidogo huku yeye amepewa pesa nyingi sana toka sehemu. Lengo la kutafuta watu wao ambao watavalishwa nguo za chama cha CDM ni kufanya "Press" zitakazo kuwa na lengo la kuonyesha hawakubaliani na msimamo wa Kamati Kuu na Uongozi wa CDM Taifa wa sasa. Nina taarifa kuwa leo kundi la kwanza la watu hao watafanya "Press" Tabora Mjini muda wowote kuanzia saa tano Asbh hii. Wakati sahihi ukifika nitafanya "Press" juu ya suala kwa ushahidi. Kwa sasa nitoe tu rai kwa viongozi, wanachama wote CDM na wapenda Haki na demokrasia katika Kanda yetu waepuke kukichafua chama chetu ambacho ndio tegemeo la watanzania kwa sasa kwa nia ovu ya wanaowatafuta kufanya hivyo. 19/5/2026.
Indonesia
21
172
763
29.5K
Laurent Mtei justine retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Kwa sasa MUUNGANO wa vyama unaotakiwa ni njia mbili tu. 1. Viongozi wa upinzani wanaotaka kufanya siasa ktk upinzani kuhamia na kuongeza nguvu Chadema. 2. Wanachama wa vinavyojiita vya upinzani kuasi na kuviacha vyama hivyo kwa msajili na magenge yake na kujiunga na Chadema.
Indonesia
40
120
619
14.4K
Laurent Mtei justine retweetledi
Sarah William Bonyo
Sarah William Bonyo@Sarabonyo·
@IAMartin_ @MsigwaMpenda Katibu wa Jimbo la kahama ukweli najiskia burudani kwa Matunda haya. Sisi tunalingia wananchi wao wanalingia Polisi
Indonesia
1
3
18
278
Laurent Mtei justine retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Hakuna mchaga Fala ✌️
SafariMlevi tweet media
Eesti
1
14
97
903
Laurent Mtei justine retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
KAHAMA — SHINYANGA. Wananchi wameamua kwa uwezo na nguvu zao wenyewe kuchangia harakati za kisiasa za CHADEMA. Wananchi wanasema CHADEMA itaendeshwa kwa gharama za UMMA. TONE TONE tumepata kiasi cha TZS 2,700,700. Changia TONE lako kupitia 0744446969 – CHADEMA HQ
Indonesia
18
176
806
9.1K
Laurent Mtei justine retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨HATUTAKUBALI LONGOLONGO KWENYE AFYA YA LISSU‼️ Jamani eh! Mdau anadai huko gerezani wanafanya vipimo waje kusema Lissu ana food poisoning sijui madudu gani! Ni hivi masuala ya chakula kuharibika tumboni na kugeuka sumu ama kalishwa sumu hatutaelewa! Kama vipi apelekwe Aga Khan tutamchangia ila afanyiwe vipimo! Na kwa usalama wa nchi MWACHIENI mara moja! Mlishaonywa na Polepole muache huu upumbavu wa kumweka ndani - yakitokea ya kutokea mtajiteteaje? Mkaishia kumteka na Polepole! Mijitu mikatili ninyi 🚮 #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
14
164
512
17K
Laurent Mtei justine retweetledi
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Wazee wa Ndondo ndani ya Kahama. Leo Kinapigwa ile mbayaaaaaaa.
Boniface Jacob tweet media
Filipino
20
149
1.2K
13.9K
Laurent Mtei justine retweetledi
SIMA
SIMA@abelsima45·
Tupeni CHADEMA hii nchi tuiongoze tukishindwa kazi mtupige chini, ndio uzuri wa demokrasia ukiwa mbaya ukashindwa kutimiza yale wananchi wanataka watakupiga chini, wananchi ndo maboss kwenye nchi inayoheshimu demokrasia. #PEOPLESPOWER #NGUVUYAUMMA #LISSUSIOMHAINI #FREELISSU
Indonesia
0
7
24
286
Laurent Mtei justine retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Kuna namna Wakina Mbowe na John mrema walitucheleweshea sana mabadiliko, Hongera sana John Heche pamoja na team nzima Hapo mikochen✌️
Filipino
0
17
122
2.2K
Laurent Mtei justine retweetledi
CyriloLeo
CyriloLeo@leodigardcyrilo·
Kinacho wakera CCM, mikutano yao wanatoa pesa mfukoni mwao kuleta watu means wanafirisika. Lakini CHADEMA watu wanakuja wenyewe na bado wanawaachia pesa Chadema
CyriloLeo tweet mediaCyriloLeo tweet mediaCyriloLeo tweet mediaCyriloLeo tweet media
Indonesia
9
45
225
2.8K