Masebuna

2.3K posts

Masebuna

Masebuna

@masebuna

Katılım Kasım 2020
2.1K Takip Edilen430 Takipçiler
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@godbless_lema Huwa inauma sana, enzi za Magu ndugu yetu alishikiliwa siku 60 hatujui yupo wapi, Baba na Mama walikuwa ni kulia siku zote, binafsi nilikuwa usiku nashituka usiombee yakukute
Indonesia
1
0
13
4.6K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Juzi nilipomuona mama yako akiwa nyumbani kwako kuchukua vitu vyako, niliumia sana. Nilijiuliza moyoni, pengine PolePole alikuwa anawaza kama vijana wengine wengi wanavyowaza bila kujua kesho yake. “ Mama yangu alisaini cheti changu cha kuzaliwa. Mimi nitasaini cheti chake cha kifo. Mama yangu alinichagulia vazi langu la kwanza. Mimi nitamchagulia vazi lake la mwisho. Mama yangu alinishuhudia nikivuta pumzi yangu ya kwanza. Mimi nitamshuhudia akivuta pumzi yake ya mwisho” Hakuna adhabu kubwa kuliko mzazi kumtafuta mtoto wake bila kujua kama yuko hai au amekufa. Hakuna uchungu unaolingana na kilio cha mama anayesema, “Nirudishieni mwanangu.”
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
59
407
3.1K
100.3K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Kama Sekondari Hukusoma Kwenye Mojawapo ya Hizi Shule Unapaswa Kujitafakari sana😂 1.Kibaha 2.Mzumbe 3.Iliboru 4.Tabora Boyz 5.Msalato Girls 6.Tabora Girls 7.Ifakara Girls 8.Kilakala Girls 9.Moshi Tech 10.Old Moshi 11.Umbwe 12.Lyamungo 13.Machame Girls 14.Mawenzi 15.Ashira Girls
Filipino
320
40
488
73.5K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Hongera Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi thabiti unaoimarisha ulipaji wa kodi kwa haki na usawa. TRA imeandika historia kwa kukusanya TZS Trilioni 4.13 mwezi Desemba 2025. Pongezi kwa TRA kwa weledi na uwajibikaji kwa maslahi ya Taifa.
Mwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet mediaMwigulu Nchemba, PhD tweet media
Indonesia
223
29
231
33.8K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@fbuyobe Pole sana mkuu nilipopata hizi taarifa niliingia ganzi, usiku wake nilikuweka kwenye sala
Indonesia
0
1
1
86
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Asante sana kwa upendo huu na maombi. Hakika nilipitia jaribu la kutisha lililoniacha na trauma hadi hivi leo. Naamini ni mapenzi ya Mungu uliyemuomba wewe na wengi wengine yamenifanya niwe hapa leo na niweze kujibu ujumbe huu. Ninachoamini Mungu atatufurahisha na kutufuta machozi any time sooner
Mosses David@Osupuko2

@fbuyobe Paratrooper rafiki yangu! Sikujui hunijui , kama asemavyo msanii mmoja anaesimamisha mademu njiani 😄 Kiukweli @fbuyobe nilijisikia vibaya sana ulivyokamatwa kwani nafuatiliaga story zako nzuri za kijasusi na zinginezo 😅Kwa kuwa Sina nguvu YOYOTE ya kukufuata nilibaki KUKUOMBEA

Indonesia
6
15
171
14.4K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@millardayo Tumejichanga kwenye group letu ili tuende Dom tukale Bata mwisho wa mwezi wa jan,2026 bora tukodi Coaster
HT
0
0
1
106
millardayo
millardayo@millardayo·
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti tishio la mito iloyojaa isiharibu miundombinu hiyo. Akizungumza na Ayo Tv leo kwa njia ya simu, Msigwa amesema wakati wowote kuanzia sasa Shirika la Reli Tanzania (TRC) litatangaza kurejea kwa sagari za abiria kutoka mikoa hiyo miwili. Katika hatua nyingine, Msigwa amesema Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Mabwawa sita ya maji katika maeneo hayo ambayo yatatumika kwa shughuli za uvuvi, kilimo sambamba na kukabiriana na maji ya mvua. “Kama ambavyo TRC ilitoa taarifa safari za treni za SGR kati ya Morogoro na Dodoma zimesitishwa ikiwa ni hatua za kitahadhari na zimechukuliwa kwa sababu mito miwili ambayo inakatiza katika reli yetu ya SGR nikiwa na maana ya Mto Kidete na Msaze katika eneo la Godegode imepata athari kubwa ya mvua zinazoendelea kunyesha maji yamekuwa mengi yanaleta madhara kwenye kingo za mito kumekuwa na mmomonyoko mkubwa, “Athari hizi zinatishia kuathiri reli yetu ya SGR kwahiyo shirika letu limechukua hatua za kitahadhari sio kwamba reli imeharibika hapana ni hatua za kitahadhari ili maji mengi yaliyojaa katika mito na kuleta tishio la kuathiri treni yaweze kudhibitiwa na kingo za reli zidhibitiwe vizuri na kitu hicho kimesababisha safari za treni zisitishwe wakati hatua hizo za kitahadhari kutokana na athari zilizojitokeza zikichukuliwa,” “Watanzania wajue kilichofanyika ni kujihadhari, kuilinda reli yetu sasa katika hali ambayo mvua kubwa zinanyesha mito inaleta maji mengi na inaleta athari katika kingo zake huwezi kuruhusu treni iendelee kufanya safari zake kama kawaida kwa sababu hakuna anayejua nguvu hii ya maji italeta athari gani,”. Watu wamekuwa na hoja kwamba mradi ni mpya kwanini tahadhari hizi hazikuchukuliwa katika upembuzi yakinifu, tahadhari zimechukuliwa na niwaambie tu mradi wetu wa SGR katika kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro, Morogoro hadi Dodoma kipo katika uangalizi chini ya Mkandarasi na anaendelea kufanya jitihada za kuhakikisha analinda miundombinu ya reli,” “Bahati nzuri ni kwamba tangu imetangazwa kusitishwa kwa safari hizi kazi kubwa imeendelea kufanywa usiku na mchana na wakati wowote kuanzia sasa TRC itatangaza kurejea kwa safari za abiria kutoka Morogoro hadi Dodoma,”.
millardayo tweet media
Indonesia
97
16
327
37.4K
Ghana
Ghana@GhanawaTZ·
@IAMartin_ Kwani Mwigulu alipotaja idadi magari, petrol station, bodaboda nk yeye alikuwepooo??? 😳
Indonesia
1
1
16
492
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
MADELU, wewe ulikuwepo? Kwamba ni picha za DARFUR, Sudan? MADELU, Unawaona Watanzania ni viumbe wajinga sana? Hawana ubongo? Mnaogopa kusema watu wangapi waliuwawa kwa kuwa mnafahamu ICC watazitumia hizo data? Kwamba hamkuua watu? Kwamba hamkuwapiga risasi waandamanaji? Kwamba picha ambazo zinaonekana mtandaoni ni kutoka DARFUR? Ni bahati mbaya sana hata mahusiano ya kimataifa HUELEWI kabisa. Badala ya kuwachukulia hatua walioua wananchi, ninyi mnapingana na idadi ya vifo? Hata angeuwawa mtu mmoja thamani yake ni sawa na watu buku teni. Ulitaka wauwawe wangapi ndiyo watu wapige kelele? Kwamba (Serikali) mpo bizee kutoa pole? Mmekwenda kutoa pole kwa familia gani? Mmezitembelea familia wapi? Familia zilizopewa pole ni ngapi? Mmezifidia kiasi gani hizo familia? Mmefanya kimya kimya? Au? Kwa hiyo tulitakiwa kuwepo mwaka 1905 – 1907 katika vita ya Maji Maji (Maji Maji War) ili kufahamu kwamba kati ya watu 75,000–300,000 walifariki kutokana na njaa, magonjwa na mapigano? Akili aina gani hii? Kwamba tulitakiwa kuwepo kati ya mwaka 1914 - 1918 ili kufahamu Jumla ya idadi ya majeruhi wa kijeshi na raia katika Vita vya Kwanza vya Dunia ilikuwa takriban milioni 40? Hivi ndivyo unavyofikiri Madelu? Akili gani hii? Kwamba mtu aliyezaliwa mwaka 1995 anapoteza uhalali wa kujadili kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo yalichukua uhai wa watu zaidi ya 800,000 kwa kuwa hakuwepo na kushiriki mwaka 1994 nchini Rwanda? Kwamba tulitakiwa kupigana vita ya Kagera (Kagera War) kati ya mwaka 1978-1979 ili kufahamu kwamba kuna watu zaidi ya 5,000 walifariki na kupata majeraha wakiwepo raia zaidi ya 2,000 wa Uganda/Tanzania? Katika mitaala ya historia tunafundishwa kuhusu ‘The Holocaust’ ambayo ilitokea kati ya 1941–1945. Kwamba tulitakiwa kuwepo na kupigana katika vita ya pili ya Dunia ili kufahamu waliuwawa watu milioni 6? Kwamba tulitakiwa kuwepo na kupigana katika vita ya pili ya Dunia (World War II) mwaka 1944 ili kufahamu kwamba watu 1,830 waliuwawa huko Marzabotto, katika milima ya Bologna, Italy? Akili gani hii Madelu? Kwa majigambo hayo, nani ambaye anazo akili timamu anaweza kwenda kwenye hiyo TUME kutoa ushirikiano? Hata idadi ya vifo itakuwa staged kama watuhumiwa wanasema picha za matukio ni kutoka Darfur. Kama hao ambao unasema wananufaka wanasema wameuwawa watu zaidi ya 10,000 ninyi mnazo takwimu halisi za kuonesha wameuwawa watu watatu tu kwa bahati mbaya, zitoeni hizo takwimu hadharani. Watu waliosababisha mauaji ya raia DARFUR wapo Mahakama ya ICC, wanapokea vifungo vyao tu. Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman (‘Ali Kushayb’) amehukumiwa kutumikia kifungo miaka 20 gerezani Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman alikuwa ni kamanda mkuu wa JANJAWEED ambaye aliunga mkono serikali ya Sudan dhidi ya makundi ya waasi huko Darfur, Sudan wakati wa utawala wa Rais Omar al-Bashir Unajua tuhuma zake ni mauaji ya watu wangapi? ICC ilimshtaki kwa makosa 504 ya mauaji, makosa 20 ya ubakaji, na kuwahamisha watu 41,000 kwa lazima. Fikiria hao ‘BUKU TENI’ watachukuliaje. Dhahama. Noma.
Indonesia
36
94
433
15.6K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@IAMartin_ Huyu Bado anakuhemuhe cha UPM anawenge hajatulia
Indonesia
0
0
0
51
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
PM unazungumza vitu ambavyo vinapaswa kusemwa na Doto Magari? PM unatakiwa ukisimana tusikie unatueleza kuhusu utekelezaji wa sera, miradi ya maendeleo, miundombinu, uchumi, ajira. PM unakasirika wasanii kukataliwa na mashabiki? Basi, ungeomba wakupe uwaziri wa sanaa na michezo.
Indonesia
98
209
1.6K
31.7K
Masebuna retweetledi
January Makamba
January Makamba@JMakamba·
Miaka 10 ijayo itaamua hatima ya Tanzania. 2015 itaamua iwapo tunajenga nchi mpya iliyo na haki na usawa au tunaongeza genge la walafi.
Indonesia
76
506
1.3K
0
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Zee nafiki dunia nzima ni hili. Insensitive and heartless of you speaking abt young people shaping the future whilst butchering a thousands of them in Tanzania. Damu za watu zitakufuata wewe na uzao wako, zee la hovyo!
Jakaya Kikwete@GPEChair

Africa’s young people are shaping the future. @DohaForum, we discussed how quality education— paired with digital and foundational skills—can help them thrive in fast-changing economies and strengthen resilience across the continent. @qatar_fund @JDMahama @alexanderdecroo @UNDP

English
35
229
1.2K
63.2K
Masebuna retweetledi
Commentator
Commentator@Jovin_festo·
@TitoMagoti Free fortunatus Buyombe Ameripot swala siku kadhaa hapo nyuma wote kwa pamoja Tupaze sauti Yetu kwa umoja wetu mpaka Apatikane ikiwa bado hawajaotoa taaatifa wapi Alipo sisi Tutahesabu kama Ametekwa
Indonesia
0
6
66
9.3K
Masebuna retweetledi
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Haya mambo yanaumiza sana, Unaweza dhania upo salama kwasababu muda wako haujafika. Tuupinge UTEKAJI 💔 #FreeBuyobe #FreeBuyobe
Dullah_theKing🎧 tweet media
Indonesia
9
256
762
11K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
BREAKING NEWS🚨 Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu unatokana na mabadiliko ya vipaumbele vya sera za kimataifa, na changamoto mpya za kiusalama nchini Tanzania (new security challenges). Hata hivyo Sweden imesema uamuzi huu wa kusitisha uhusiano wake na Tanzania hauhusiani na matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini Tanzania.! MWISHO. MAWE JUU YA MAWE MAMAEE UTALIPAAAAA.🔥🔥🔥 Na wananchi #D9 tunakuja kama MAZOMBIE kukamilisha KAZI. Walete kati wanangu wa #D9 MWAGA MOTO🔥🔥 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
36
163
1.1K
34K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@IamLyenda Njia fupi maana yake ni ya mkato, hawa wametufindisha kufikia mafanikio lazima tutumie njia ndefu sasa leo hata hiyo ndefu hawataki tufanyeje nimechoka miye Masebuna...
Indonesia
0
0
0
30
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
Naomba comments ziwe fupi fupi tafadhali
LYENDA tweet media
Polski
61
20
219
7.6K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki. Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika. Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia. Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani. Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
Indonesia
123
633
3.5K
99K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@godbless_lema Hakika ulinenali Lema, Tulikutana Arusha one day Njiro pale kwenye nyama pendwa tukasalimiana kwa upendo sana wewe ni mtu mzuri sana, Mungu akupiganie
Filipino
0
0
0
91
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Leo nimesikiliza hotuba ya Rais yenye Mamlaka kamili, Hotuba ya Rais wa Nchi Huru, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama. Pamoja na mapungufu kwenye maeneo kadhaa hasa mfano kushambulia kwa nguvu kubwa wale wanatajwa ni wachochezi wa ndani, badala yake kwa maoni yangu ilitakiwa wahubiriwe kwa lugha ya Mfariji Mkuu (Comforter in Chief), lugha ambayo Yesu na Mtume Mohamed waliitumia dhidi ya watu wema na wahalifu wa enzi hizo waliopinga kazi yao dunia, nimemuona rais kachukia sana, yes lazima achukie mbele ya washenzi wa taifa letu, ndivyo inavyotakiwa kwa taifa lenye nguvu ya kulinda uhuru wake! Lakini kwa kiasi kikubwa imekuwa hotuba thabit ya mkuu wa nchi halisi, Binafsi kwa miaka mingi nilikuwa sijaliona taifa langu likitetea ukuu wake kwamtindo wa hotuba ya Mkuu wa Nchi yenye ladha njema kama leo. Imenikumbusha hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 23 Januari 1967. Akizionya Ureno, Uingereza na Marekani. Pia imenikumbusha Rais Nyerere alipovunja uhusiano wake na Uingereza kwakumfukuza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania. Imenikubusha Rais Nyerere alipopinga ubaguzi wa Raingi kwasusia shughuli zote za kimataifa zilizoihusisha Afrika Kusini ya Makaburu hadi kufika kuzuia timu zetu za taifa kutoshiriki michuano ya Olimpiki. Na mwisho imenikumbusha hotuba ya Rais Mkapa mwaka 2001 alipopinga kwa nguvu zote shinikizo la mabeberu waliotaka kuingilia mgogoro wa ndani uliotokana na mauaji ya zanzibar na mwembechai yaliyotokana na CUF kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2000. Rais Samia amegusa vitu vingi muhimu sana ambavyo nimekuwa nikivisema tangu mwanzo, Na vingine tulivisema huko nyuma kabisa ndani ya vyama vya siasa, ikatafsirika kuwa ni propaganda. Vitu hivyo ni: 1. Amesema kuwa tukio la 29 oktoba lilikuwa jaribio la mapinduzi. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo! Hakukuwa na maandamano! 2. Amesema waandaaji wa uhalifu huu ni mabeberu wanaopigana vita vya kiuchumi kuzisaka raslimali zetu na ustawi wetu. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo! 3. Amesema vijana wengi walilipwa kuhamasisha na kufanya uhalifu huu. Hili nilishasema na kuweka ushahidi wa taasisi zilizowalipa ikiwemo taasisi ya Ford Foundation ya Marekani ambayo imemlipa Maria Sarungi kupitia taasisi yake inayoitwa Change Tanzania iliyopokea zaidi ya bilioni 10 katika kipindi kifupi cha miezi 10 tu hivi, Zingatia taasi ya Maria imesajiliwa Tanzania inatakiwa kufanya kazi zake Tanzania, lakini kwa miaka zaidi ya mitano Maria hayupo Tanzania, na taasisi haifanyi kazi zake lakini inapokea mabilioni, nakuwalipa vijana makumi kwa mamia nchini na wengine amewatoroshea Nairobi huko sasahivi. 4. Rais ameweka ukweli rasmi na kufuta propaganda ya muda mrefu iliyoenezwa na Tundu Lissu kipindi cha uchaguzi wa Chademw kwamba Mbowe amelambishwa asali. Rais amesema kuwa Lissu ndie alimpatia pesa alipokwenda kumuona Ubelgiji tena Rais alitoa pesa yake ya safari, Rais hajaishia hapo, amesema Lissu na Wenzake waliporudi Tanzania kwaamana ya Gobless Lema nk aliwapa pesa ya kujikimu. Na mwisho wakaanza kumtukana Rais huyuhuyu! Si mimi nasema, bali Rais Samia kasema yeye kwa kinywa chake! Hili jambo la Lissu kulambishwa asali mimi binafsi nilisema kipindi cha kampeni kwamba ninazo taarifa sahihi Lissu amepewa pesa, na kama nimsafi kweli mbona hajatangaza hadharani hiyo pesa aliyopewa pale Ubelgiji? Bahati mbaya tayari wanaharakati uchwara walikuwa washavamia na kuteka chama hivyo hawakusikia wala kuelewa sauti yoyote nje ya Lissu ambae alijimilikisha usafi wa moyo na mwili na akajimilikisha ukweli na haki ya nchi hii. Lakini sisi tunaomjua kuwa ni muongo na mlamba asali mkubwa, wala hatukuwashangaa, tuliacha ungo upande lifti, na sasa tunafurahi kuona ukweli umefika kwa njia ya ngazi. Rais wa nchi kafunga mjadala wa Uzushi ulioenezwa na Lissu na
Yericko Nyerere tweet media
Filipino
201
29
85
64.2K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@JohnHeshima @YerickoNyerereT Ccm hawanaga akili ulitegemea awape dhini wamlambe miguu kama machawa wengine kama alifikiri ni hongo basi alifikiri kwa ufinyu
Indonesia
0
0
0
84
HESHIMA JOHN
HESHIMA JOHN@JohnHeshima·
@YerickoNyerereT Hakuna hata mmoja wa wanaharakati atazungumzia hili la pesa za rais alizokiri kuzitoa kwa viongozi wa upinzani , kwakuwa ni ukweli unaopingana na propaganda zao
Slovenščina
7
1
3
3.9K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@Eliudiwekesa @YerickoNyerereT Si aliwalipa hali yako ya msingi, alwadhulumu mtangulizi wake hata kama amewapa ndiyo wasimkosoe kwani hiyo ilikuwa hongo?
Indonesia
0
0
1
111
Yesu wa Tongareni
Yesu wa Tongareni@Eliudiwekesa·
@YerickoNyerereT Lissu,Lema wote walilipiwa hadi mikopo yao ya bank waliyokua wanadaiwa zaidi ya milioni 600 na serikali ya Raisi Samia Suluhu Hasana. Ukweli walilamba asali kwa kiwango cha kuzidi
Indonesia
9
1
10
3.5K
Masebuna
Masebuna@masebuna·
@420Cousin Kombo huyu amabaye ni hakuna tofauti na Mwijaku
Indonesia
1
0
0
85
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Kombo anawapiga somo mabalozi. Wanaharakati wamenuna.
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Indonesia
6
30
34
3.5K
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMtetezi·
Nina Maswali Kadhaa Kutokana Na Hii Kauli 1) Kwani EU Walikua Wanatupa Magunia Ya Chakula Au Fedha? 2) Je Hizo Fedha Zilikua Zinatumika Kununulia Chakula Au Kutekeleza Miradi? 3) Kama Zilikua Zinafanyia Miradi, Kwanini Serikali Inawaza Chakula Na Sio Hiyo Miradi Itakayokwama?
Mchokozi !! tweet media
Indonesia
85
95
511
33.5K