@CF_Compss Don't blame any player. The current crop of Liverpool players would have been world beaters playing under a different coach than this fraud.
#Slotoutnow
@AnfieldWatch It's Hughes & Edwards who shd be sacked 1st and then Slot immediately thereafter.
You cant hv a team playing this under this coach and still keep him employed. It's not only insane, it's CRIMINAL!
Obviously the plaudits Edwards got when Klopp was around shd hv been all Klopp's!
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
@jf30__ If I have to be brutally honest, the current squad is still good enough to challenge on all fronts next season - what we're lacking is a proper coach!
@Slotoholic@ptgorst FSG should just be lining up Slot's replacement now because I know by 100% he's going to screw things up and get sacked by October!
🚨🚨| BREAKING: It's expected that Arne Slot will REMAIN in his current position as Liverpool manager. Club owners Fenway Sports Group are determined to allow their head coach the time and space to prove why April 2025 is the norm and April 2026 is the exception.
[@ptgorst]
@Godfxer_fan@HecheJohn Say tumekubaliana ripoti imenyooka.
Je, tuendelee kukubaliana pia kuwa watu 518 kupoteza maisha ni powa tu funika kombe mwanaharamu apite?
Earlier today, the state staged a carefully constructed political theatre aimed at laundering responsibility for the October 2025 killings. The Chande Report, presented as an official account, has been widely criticised for sanitising state violence and obscuring accountability rather than establishing truth.
As you are all aware, under President Samia Suluhu Hassan, the CCM government has progressively tightened its grip on political space—restricting opposition activity, narrowing media freedom, and intensifying repression of dissenting voices. Having struggled to contain domestic and international scrutiny, the regime now appears to be extending its narrative beyond Tanzania’s borders.
From this evening, through Friday the 25th and into early next week, a coordinated public relations effort is expected to unfold in Nairobi. Through state-linked actors, diplomatic channels, and contracted communication firms, a deliberate attempt is being made to present the report as credible and widely accepted, while actively shaping media narratives in its favour.
For the Kenyan media, whose tradition has been anchored in scrutiny and accountability, this moment carries clear implications. Historical precedent shows the region’s press has often played a critical role in illuminating suppressed realities. That responsibility demands continued vigilance: not amplification of managed narratives, but rigorous interrogation of them.@citizentvkenya@KTNNewsKE@K24Tv@tv47news@tv47digital@Radio47_Kenya@RadioCitizenFM@SpiceFMKE@StandardKenya@NationNewspaper
Arsène Wenger backs Arsenal to be crowned Premier League winners 🔴🏆
🗣️ “I believe that Arsenal will win the league. I deeply believe. It looks, to me, like common sense.”
@barakawamb Kweli kabisa maana Kenya naona hapo risasi zinafyatuliwa hovyo na watu kuumizwa bila sababu.
Sisi Tanzania tunawakamata tu wahalifu halafu tunawapeleka kortini wakajitetee wenyewe huko.
Upo sahihi!!
Utasikia wanaharakati ooh Kenya kuna uhuru,Uchumi wake uko juu na bei ya mafuta iko chini,mara utasikia wananchi wa Kenya wanaweza kuikosoa Serikali yao na bado wakawa salama😀,sasa hapa wametoa maoni tu kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta washawekwa ndani na kufunguliwa kesi ya ngumu.
Ndugu zangu nawaambia kila siku hakuna Rais bora kama Samia,Licha ya matusi wanayomtukana lakini hajachoka kutuletea maendelea na kutuunganisha pasina kujali tofauti zetu za kisiasa siku akimaliza mda wake ndio mtaelewa haya maneno.
🗣️Arne Slot: “I hope and I assume that if I leave, and whenever that might be, people remember me for the fact that we won the league in my time over here, but that I also played a big part in creating a new cycle.”
Arne Slot is expected to continue as Liverpool head coach next season, Sky Sports News understands, as the club close in on Champions League qualification 🔴
CHADEMA NI MAREHEMU ANAYETEMBEA AMBAYE ANATAFUTA KABURI LA KUZIKIWA
Ni wazi sasa kuwa CHADEMA si chama cha siasa tena bali ni marehemu anayetembea (zombie) ambaye ameshakata roho kifikra na sasa anahangaika kutafuta kaburi la kuzikiwa.
Uhai wa chama hiki ulishafikia kikomo siku ile walipouza utu wao na kuanza kuongozwa na rimoti za watu wa mitandaoni ambao wanaotafuta umaarufu na kuwaridhisha mabwana zao wanaowalipa, na kuona CHADEMA ndiyo mizumbukuku yao ya kuitumia.
Marehemu huyu kwa sasa yupo kwenye hatua ya kukakamaa hana uwezo wa kujitetea wala kufikiri kwa akili yake mwenyewe kazi yake pekee ni kutoa harufu ya uozo wa kifikra kila anapojaribu kufungua kinywa chake.
Badala ya kufanya siasa za kistaarabu wanajigeuza kituko cha taifa huku wakitapatapa kutafuta mahali pa kujificha wasionekane walivyo uchi kifikra.
Huyu marehemu CHADEMA anasikitisha sana anazunguka mitaani akiomba huruma ya kisiasa ili angalau apumzike kwa amani lakini huku nyuma wale wanaomtumia kama mtaji wa kupata "likes" na wafuasi na wanaharakati uduvi wanampiga fimbo na kumwambia "amka, bado hatujamaliza kukuuza kibiashara."
Huku ni kutesa maiti Viongozi wa CHADEMA wamebaki kuwa kama waombolezaji waliopoteza mwelekeo wanashindwa hata kumsitiri mpendwa wao (chama) na badala yake wanakaa kusubiri maelekezo ya maandishi kutoka kwa Wanaharakati ambao wapo nje ya nchi ili wajue kama leo wazike au waendelee na maigizo ya msiba.
Inasikitisha kuona kundi la wanaume na wanawake ambao ni mijitu mizima wakisuburi miongozo kutoka kwa mijitu ambayo ina laana hata za familia zao ili wajue kama wanafaa kuendelea kuishi au la.
Kila hatua wanayochukua sasa hivi ni dalili za mwisho za kifo cha kisiasa.
Wanajaribu kusingizia kila mtu na kutengeneza maadui wa kufikirika lakini ukweli ni kwamba mauti yameshafika kooni kwa sababu ya uoga wao wenyewe wa kuongozwa na mihemko ya kidijitali.
Marehemu huyu hana hata sanda ya kujifunika; amebaki uchi mbele ya Watanzania huku akichezewa kama mdoli na watu wanaoishi maisha ya anasa nje ya nchi huku wakichochea moto ambao wao hauwaunguzi.
Ikiwa uongozi wa chama hauwezi hata kuamua mustakabali wake bila kuangalia upande wa upepo unavyovuma mitandaoni basi hapo hakuna chama bali kuna msiba wa kitaifa unaochezewa vichekesho.
CHADEMA wasipoteze muda kutafuta mchawi na sababu za mchongo ya kutafuta huruma wanapaswa kutafuta sanda na shimo lenye kina kirefu cha kusahaulika.
Taifa limeshachoka na harufu ya uozo wa kifikra na siasa za maigizo zinazoongozwa na watu wasio na uchungu na amani ya nchi.
Hakuna muujiza utakaomfufua marehemu aliyeshapoteza uti wa mgongo na kugeuka kuwa msukule wa wanaharakati wa kioo.
Watanzania wameshawasoma na wamegundua kuwa ndani ya lile jengo hakuna uhai, kuna kivuli tu cha watu waoga wanaopelekeshwa kama gari bovu lisilo na dereva.
Rest In Peace CHADEMA safari yenu ya kutafuta kaburi imekaribia tamati.
@sukununu01 Nchi hii ili itoke hapa ilipo inahitaji mtu kama TAL (au hata mzee Sinde).
Hakuna mtu wa kuivusha nchi hii isipokuwa mtu mwenye mentality kama ya hawa 2.
BTW, Mbowe ametumika nafasi yake kwa over 20 yrs - tupo wapi leo?
Ni chizi tu ndo ataona approach ya Mbowe ilikuwa sahihi!
Lissu akiendelea kusalia na huuuuu msimamo kwamba bora abaki gerezani kuliko kufanya maongez ya maridhiano kwa taifa nitaamin kabisa afai kuwa kiongoz mkuu wa nchi maana msimamo kama huo nimsimamo wa wanaharakat sio kiongoz bado pengo la mbowe nitakuwa wazi nakukosa wa kuziba
Ukiachana na mambo mengine yote, Chuki za mashabiki wa timu nyingine dhidi ya Arsenal ni kubwa mnoo. Watu wapo tayari timu yoyote ile ibebe kombe lakini sio Arsenal. Watu wanashangilia anguko la Arsenal, watu wanapata furaha Arsenal ikipitia nyakati ngumu.
Bukayo Saka has already missed 14 games through injury this season…and Manchester City and it’s 15 games.
This is what happens when players get no protection from referees.