mrix retweetledi

MSAADA WA FEDHA ZA MATIBABU
Habari ndugu
Tunaomba msaada ili kufanikisha upasuaji wa moyo wa mtoto, Salha Feruzi Msebei(miezi mitatu) ana tatizo la tundu kwenye moyo. Anatakiwa kufanyiwa upasuaji JKCI kwa gharama ya 7,180,000 lakini mpaka sasa imepatikana 2,000,000/=
Changia Chochote kupitia control number 994830505537
Namba ya mama mzazi wa mtoto ni 0781 244 918




Indonesia




























