WakuSiz%*%₩¥
7.7K posts

WakuSiz%*%₩¥
@mrpromic17
Tz4lif
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2021
809 Takip Edilen438 Takipçiler

@eastafricatv Ukipata nafasi ya kula hela ya hii nnchi kula tu
Indonesia

#MICHEZO: Msemaji mkuu wa serikali na katibu wa Wizara ya Habari sanaa Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa pamoja alipokuwa na Waziri wa wizara hiyo Mheshimiwa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi katika uwanja wa Benjamin Mkapa ameweka wazi kuwa uwanja huo kwa sasa umekamilika tayari kwa mchezo wa fainali.
"Uwanja upo vizuri na tayari kwa fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mnyama @simbasctanzania na @rsbfootball ya Morocco tarehe 25 Mei, 2025" - Gerson Msigwa
#Michezo #EastAfricaTv
Filipino
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

Kuku wa kienyeji si chakula tu – ni ladha halisi ya asili, afya na ubora wa kitanzania
Unapokula kuku wa kienyeji, unarudi nyumbani.
Bei yake ni 27,000/=
Tunapatikana Kiluvya
Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri
Call/WhatsApp: 0623 374 863
#kukuwakienyeji




Indonesia
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

Makamu Mwenyekiti @HecheJohn akipokea Zawadi ya Kuku Kutoka kwa Viongozi wa Jimbo la Kyerwa Mkoani Kagera baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara Mchana wa leo Mei 08,2025.
#NoRefomsNoElection



Indonesia

@napendezafrika @MarekaMalili Aah iyoo kawaid mi mpka nakufa nawez kula sema mboga nyingine
Indonesia

@MarekaMalili Honestly, ugali ni best zaidi naweza kula ugali nyamachoma kwa mwaka mzima bila kubadili.

Ugali ni chakula cha watu wanaojiweza, lazima kambatane na Mboga, tena sio mboga tuu, ziwe mboga hata 3 kwenda juu, unachovya huku, mara pale, mara Kule 😄
Watu wa Pwani wanakula Wali hata na Tomato sauce 😂
LoneWolf🐺@rastaclaaaat
Lakini ugali ni chakula flani very unnecessary wali unaweza kula bila mboga ugali je?? Unaweza ukala ugali wenyewe kama wenyewe?? Aliegundua ugali alikuwa na depression bana cuz tell me why?
Indonesia
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

Hatimaye moshi mweupe (Fumata Bianca) umeonekana "Sistine Chapel" kuashiria Papa mpya amepatikana. Anakua Papa wa 267 toka Kanisa Katoliki lilipoanza kumhesabia Mtume Petro kama Papa wa kwanza. Conclave iliyomchagua Papa mpya imewakutanisha Makadinali 133 na kuwa "conclave" kubwa zaidi kuwahi kutokea kwani mara zote huwa hawazidi 120. So hii ni mara ya kwanza kuzidi.
Papa mpya alipaswa kupata 2/3 ya kura za Makadinali wote, yani angalau kura 90 au zaidi. Baada ya kuchaguliwa, Papa mpya ataelekea "Cubiculum Lacrimarum" yani chumba cha machozi kilichopo "Sistine Chapel" kwa ajili ya kuomba rehema za Mungu amsaidie kubeba wajibu huu mkubwa. Ndani ya chumba hicho ndipo atavaa mavazi ya Kipapa kwa mara ya kwanza.
Kisha "Protodeacon" atatangaza "Habemus Papam" yani tangazo rasmi la kumpata Papa mpya. Kardinali wa Ufaransa Dominique Mamberti ndiye Protodeacon wa Conclave hii, kwahiyo yeye ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza "Habemus Papam" na kumtaja Papa mpya.
Baada ya kutajwa Papa mpya atajitokeza kwa mara ya kwanza katika dirisha la Basilica kuu la Mtakatifu Petro na kusalimia maelfu ya waumini waliokusanyika mahali hapo wakikesha usiku na mchana kuisubiria siku hii. Papa mpya ataanza na maneno "benedictio urbi et orbi" yaani "baraka ziwe kwa mji huu (Vatican) kwa Ulimwengu wote" kisha atataja jina alilochagua kutumia katika Upapa wake.!
Filipino
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

Haya ndio maamuzi ya MAHAKAMA siku ya jana (6.5.2025).
Baada ya sarakasi za muda mrefu sasa rasmi mahakama inasema UMMA unaruhusiwa kufika mahakamani kusikiliza Kesi ya LISSU.
Wale ndugu zetu 25 waliovunjwa miguu na mikono 24.4.2025 na kuenda kutupwa maporini huko waliwe na wanyama watakuwa mstari wa mbele tukamuonyeshe mwenyekiti makovu na vidonda vya KUPIGANIA HAKI.
Sisi wengine tunatakiwa kujitokeza kwa wingi sanaa maana mahakama imejiandaa vyema kuhimili kundi kubwa la watu litakalojitokeza MAHAKAMANI siku hiyo. Kikubwa na cha muhimu ni kulinda AMANI.
Kutokufika MAHAKAMANI 19.5.2025 ni USALITI kwa #NoReformsNoElection , ukiona unashindwa kuja MAHAKAMANI siku hiyo inamaanisha wewe ninsehemu ya WAKOLONI WEUSI, ambao mnafurahia KUPEWA kesi ya UHAINI MH. Tundu Lissu.
Wakazi wa DAR & mikoa JIRANI karibuni sana tukaonyeshe MSHIKAMANO wetu kwenye hili, tunaenda kushinda.
#freetundulissunow
#NoReformsNoElection
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

Jersey Original 💫💫
Size: S M L XL 2XL
Price: 15,000
Delivery Yes I Do
Call & Dm 0626560477 @Mondinhodiallo
Leo si mnaona wenyewe bei imekufaa sanaa! 😊🔥


Indonesia
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi
WakuSiz%*%₩¥ retweetledi

SOM CAMPIONS!
Título La Liga 06, com vitória diante da nossa torcida e mta festa em Barcelona!!! Vamos por mais @FCBarcelona 💪🏾 🔵🔴
Português
















