Sabitlenmiş Tweet
KAIZA
24.7K posts


@HastaRuego acha kupost ujinga yaan 230k ndo elaa nyingi🤣🤣🤣
Indonesia

Hii screen shot ni original kabisa haina shaka wala dosari hizo maandishi ni Font tu za samsung, nimemdadisi mtaalamu wa Forescinc kanithibitishia bila shaka
TAI MWEUSI@Taimweusii
@Maestrowafact Elezea hiii😀
Indonesia
KAIZA retweetledi

@ReganTesla_ Tangu tarehe 23 April mpaka leo sijapata mzigo wala pesa Kila siku nitakutumia kesho daaah
@ReganTesla_
@AmosdeSantos1
@BillyTronix1
@Finah_Business
@EsirEid
@INFLUENCERjr
@MarekaMalili
@spana_Konki
@ReganTesla_
@spana_Konki

Indonesia
KAIZA retweetledi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn akiwasili Katoro Geita.
Tupate REPOST 200
Hizo repost za kukera WAKOLONI WEUSI na SISTA NYAHOZA.


Indonesia

Sijajikita sana kwenye mambo ya siasa kutokana na maumivu ya 29 oct lakini Hawa ndio wanaharakati walionyooka
1. Sativa
2. MMM
3. Ntobi
4. Chahali
5. Chura wa goligotha
Billy@BillyTronix1
Ni ngumu kuwezekana ila kama nchi tunahitaji tupate wanaharakati wengine!
Indonesia
KAIZA retweetledi
KAIZA retweetledi
KAIZA retweetledi
KAIZA retweetledi
KAIZA retweetledi
KAIZA retweetledi

Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Tanzania, yanasimamiwa na sheria ya makosa ya mtandao (Cyber Crime Act, Cap katika sheria ya makosa ya mtandao, sheria inazuia kuchapisha taarifa za uongo, udhalilishaji na cyber bullying.
Kwa kipingi kirefu sana nimekuwa muhanga Mkubwa wa matumizi mabaya ya mitandao dhidi yangu, watu wazima kwa sababu wanazozifahamu wenyewe wamekuwa wakinidhalilisha na kwenda mbali zaidi kutumia picha yangu.
Matumizi mabaya ya mitandao dhidi yangu ni kampeni ya muda mrefu inayoendeshwa kwa lengo la kushusha hadhi yangu katika Jamii, kudogodisha juhudi zangu na biashara zangu.
Mashambulizi ya kimtandao niliyofanyiwa siku ya jana na leo nataka yawe mashambulizi ya mwisho dhidi yangu.
Kupitia andiko hili natoa muda wa masaa 24 kwa mtu yoyote yule aliyepost picha yangu ama kutaja jina langu na kunidhalilisha kuondoa kwa kufuta posts husika na kuniomba radhi.
Mara baada ya masaa 24 kupita nitachukua hatua za kisheria ili kulinda hadhi, utu na ubinadamu wangu.
Tusilaumiane.
Filipino
KAIZA retweetledi
























