
@PatrickMuyaya Huyu zoba anayeitwa Patrick Muyaya ako na kinga gani ya kupunguza au kubeza mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi? Ujinga huu unapaswa kufuatiliwa kisheria. Ni aibu kwa RDC kulinda watu wa mauaji ya kimbari na juu ya yote kutuchokoza
Indonesia
















