Sabitlenmiş Tweet
HueyFreeman
5K posts

HueyFreeman retweetledi

Asante sana ndugu zetu wa @LindaMwananchi_ kwa kutambua na kukemea dhuluma, wizi wa uchaguzi na mauaji ya wananchi Tanzania.
Hili linaloitwa bunge la Tanzania, halikuchaguliwa Kwahiyo halina uhalali wowote kuwakilisha wananchi wa Tanzania..
Asante sana ndugu @edwinsifuna @HEBabuOwino @orengo_james Mungu awabariki.



Indonesia
HueyFreeman retweetledi

@ACTwazalendo Tunatoa wito wa kujiuzulu na kuwajibishwa
wafuatao;
1. Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,
2. Mkuu wa Jeshi la Polisi,
3. Msajili wa Vyama vya Siasa,
4. Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
5. Wakuu wa Mikoa iliyohusika na mauaji ya wananchi wawajibishwe;
6. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam - Albert Chalamila
7. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya - Beno Malisa
8. Mkuu wa Mkoa wa Songwe - Jabiri Omar Makame
9. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza - Said Mtanda
10. Mkuu wa Mkoa wa Geita - Martine Shigella
11. Mkuu wa Mkoa wa Arusha - Amos Makalla
12. Mkuu wa Mkoa wa Iringa - Kheri James
13. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma - Rosemary Senyamule
14. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga - Mboni Mhita
15. Mkuu wa Mkoa wa Mara - Kanali, Evance Alfred
➢ Wakuu wa Wilaya za Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, Mbeya, Mbeya
Vijijini, Kyela, Mbozi, Momba, Nyamagana, Ilemela, Geita, Arumeru,
Arusha, Iringa, Dodoma, Kahama, Musoma, Tarime, Bunda, na Songea
ambazo zilishamiri kwa matukio ya mauaji wawajibishwe
Indonesia
HueyFreeman retweetledi

Nini kaendelea huko Zanzibar maana kuna Mlinzi wa Idd Ami Mama Mama wale wa (PSU) Presidential Security Unit, kajipiga risasi leo mchana huko Kizimkazi Zanzibar kwenye makazi ya Idd Amin Mama.
Mliuwa Watanganyika wenzetu kwa risasi Oktoba 29, 2025 sasa hivi mmeanza kujiuwa wenyewe kwa kujipiga risasi na bado.
Filipino
HueyFreeman retweetledi

Tanzanians risked their lives to speak to CNN for our investigation despite police warning against sharing that content. We only reported what we carefully verified and nobody has pointed out a single lie.
Thanks to 🇿🇦 SABC News' @Oliver_Speaking for amplifying our work
English
HueyFreeman retweetledi

Hey @didierdrogba
Are you aware that you are being used to whitewash an illegitimate murderous regime in #Tanzania ? What are you doing?
Visit tanzaniamassacre.org/Massacre
Makonda was blacklisted by @StateDept for grave violations of human rights and you are hobknobbing with him?
You built an image of fighting for peace and human rights yet here you are washing clean oppressors! You are part of the problem not the solution!
We shall not forget! #TanzaniaMassacre
Huyu Drogba naye atuondolee unafiki wake! Kama hajui kulikuwa na mauaji jaeni kwenye page zake mwonyesheni mauaji waliofanya hawa maharamia!
#SamiaMustGo



English
HueyFreeman retweetledi
HueyFreeman retweetledi

Dear @didierdrogba
Are you aware that the illegitimate government that has invited you to Parliament seized power on October 29, 2025, after killing more than ten thousand Tanzanians?
They have offered you money that is tainted with the blood of our brothers and sisters who were murdered. They believe that your presence in Tanzania would lend legitimacy to the atrocities they have committed against us.
If those who were killed were your own relatives and their blood had been shed, would you still accept this invitation from these killers?
#TanzaniaMassacre #TanzaniaIsBleeding #Mo29

English

Wanaharakati kutoka Kenya walifanyiwa unyama wa ajabu kule Tanzania juzi tu. La kuvunja moyo zaidi ni zile kejeli baadhi ya wabunge wa Tanzania waliwaelekezea wanaharakati hao kwenye vikao bungeni. Sasa rais Ruto ameratibiwa kuhutubia bunge hilo hilo wakati hatujapata maelezo ki rasmi kama wakenya kwa uovu huo. Ndugu zetu wa Tanzania jueni hatujamtuma mtu! Tunasimama na haki, demokrasia na uhuru wa wananchi katika kanda hii yetu na hatuezi kuonekana kutambua uongozi wa ki imla.


Indonesia

INSECURITY TANZANIA
This young man James Temba from Tabata Dar es Salaam disappeared in suspicious circumstances
His body was discovered headless in a river - and we don’t expect any meaningful investigation!
Police have remained unhelpful while abductions continue under.
#EnforcedDisappearance #Tanzania @SuluhuSamia
Cc @WGEID @volker_turk @UN_HRC
English

Thank you to my sister President @SuluhuSamia for the warm welcome to Tanzania and for the productive discussions.
Rwanda and Tanzania are not only neighbors but brotherly countries bound by history and a shared goal of prosperity for our people. Rwanda remains committed to building on this strong foundation by deepening our bilateral cooperation across trade, investment, infrastructure, logistics, energy, and regional integration.
I look forward to continuing our collaboration to achieve tangible results for our citizens and advance the East African Community.
English
HueyFreeman retweetledi
HueyFreeman retweetledi

Open letter to @UN_HRC Dear Human Rights Council Chande is not fit to represent Sudan himself he’s hiding the truth about the Tanzania massacre. How can someone like Chande, who can’t stand for humanity and is supporting Samia Suluhu’s regime and oppression, be allowed to represent Sudan? Chande is defending the oppressors and the people who committed the crimes. Defending the oppressors should disqualify someone from serving on the council. Allowing such representation undermines the council's mission to protect human rights and sends a dangerous message of impunity. We need real people who are committed to protecting humanity to represent them, not someone who defends the actions of the oppressors this is a shame. The people of Sudan need someone better. Samia used his reputation to play her card to get away with the massacre. Someone like Chande doesn’t have the moral standing to be in the UN Council he needs to be removed immediately. The UN council it’s about morality #RemovechandefromUN.Time is running out for the UN and humanity to correct course before an outside force steps in. This letter is from the stars.🌟

English
HueyFreeman retweetledi

As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore credibility but rather deepens long-term risk and mistrust of the ruling regime.
Senate Foreign Relations Committee Chairman@SenateForeign
Even before its handpicked “independent” commission began work, Tanzania’s government rushed to blame vague “foreign” actors for the bloodshed. It has offered no credible explanation for its own election-related crackdown, including why Christian leaders were singled out for deadly attacks and abductions. Those responsible for persecuting these Christians must be held to account. breitbart.com/africa/2025/12…
English
HueyFreeman retweetledi

CHANDE’S REPORT: A MERE COINCIDENCE OR GOD’S IRONY?!
Kama kuna mtu alikuwa anahitaji ufananuzi wa Kwanini Watu wanasema “Hatutaki CCM”, “Samia Must Go”, na “Serikali Haramu”, basi ripoti ya Chande ni kielelezo tosha.
MOJA, Mtuhumiwa Mkuu ndio anaunda Tume; same way miaka yote CCM haijaleta maendeleo sustainable ila imeendelea kushika Madarakani.
MBILI, wajumbe wa Tume kuwa na “Conflict of Interest”; sawa na wanaotuhumiwa kuwa Mafisadi na Wabadhilifu ndio wanaunda Serikali kila siku. Yule Tax anawezaje kuwa objective? Kweli Paul Makonda ni Waziri after proving how unethical & inhumane he is huko enzi za Magufuli?
TATU, Hadidu za Rejea zilikuwa hazi address REAL ISSUE, bali zinakwepa accountability na ku-undermine atrocities walizofanya; sawa na namna Ilani na Mipango ya CCM imekuwa Hayatekelezeki, Uongo na Propaganda. Yaani ni real life version ya Wimbo wa Prof Jay wa “Ndio Mzee”. Kila uchaguzi Wanakuja na ahadi ya kuleta hiki na kile as if Utawala uliopita hawakuwa wao na hawakutenda.
NNE, Siku 90 za Kazi hazikutosha na zikageuka 160, na bado kazi ikaja mbovu; sawa na jinsi utendaji wa serikali za CCM ume-prove kuwa Incompetent. I mean ingawa serikali ya sasa ni haramu, ila hata wao ukiuliza siku 100 za kwanza wamefanya nini, HAKUNA zaidi ya kufanya birthday party Kizimkazi, na kubadilisha baraza la mawaziri na kutoa matamko tu.
TANO, Tume kutoa Takwimu na Taarifa za Uongo; ni sawa na viongozi wa Serikali kutuongopea kila siku. Yaani mtu anasema “video za mauaji zilikuwa ni za Gaza”. Haina tofauti na Rais anasema “Bei ya Mafuta ya Tanzania ni ndogo kuliko Marekani”, au Mwigulu anavyodai “Wanalipwa Kuvuruga Amani”.
TUME was a disgrace from day one, but now it came with results that are insulting our intelligence, and proving how inhumane & disregarding they are, to human life, rights & decency. Wameaibisha Profession, Legacy na Integrity zao. KILA WALILOFANYA NA KUSEMA LIMEAKISI NA KUSHABIHIANA NA SERIKALI YAO HARAMU. Bahati yao Mbaya ni kwamba Watanzania sio Wajinga tena… MTAJUTA KUTUSOMESHA!!
The Leader




Filipino

Hawa watu imefika hatua siyo kwamba hawajiheshimu, lakini wamepoteza utu wa binadamu. Kwa hiyo GAZA, Palestine kuna mabango ya CCM? Gaza walifanya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025? Gaza kuna vituo vya kupiga kura vimeandikwa INEC? Gaza ndiyo watu waliobeba silaha walivaa jezi za YANGA? Gaza ndiyo wale trafiki walikuwa na silaha? Gaza ndiyo zile mochwari zilizosheheni maiti zipo? Watu wa Gaza ni weusi watupu, hakuna hata Mwarabu mmoja? Kwa hiyo katika zile video clip uliwaona waarabu na IDF mkashindwa kuwatambua hadi ikabidi muite watalaam? Gaza wanazungumza kiswahili? Gaza maiti ao wanafunika na bendera ya Tanzania? Master Tindwa aliuwawa Gaza, Palestine? Au anazungumzia ukanda wa Gaza akimaanisha Kimara? Fikiria kidogo, mtu huyu alikuwa Jaji Mkuu kwa miaka nane. Profesa?
Indonesia
HueyFreeman retweetledi

@IAMartin_ Wachina husema"Embankment of a thousand miles can be destroyed by an ant nest".
Wazungu wakasema"Small Leaks Sink Ships".
Waswahili wakasema mdharau mwiba,mguu huota tenda.
Kinachoonekana ni Dharau za CCM kwa uelewa wa Watz na Uhai wao.
Ipo sku watalia na kujutia.
Karma ni real.
Indonesia

A Tanzanian government-appointed commission announced that 518 people died in the widespread protests that followed last year's general election. Prof. Paramagamba Kabudi, Tanzania's State Minister in the PM's Office for Policy, Coordination and Parliamentary Affairs spoke to us on #FocusOnAfrica. I first asked him who was responsible for all those deaths?
English
HueyFreeman retweetledi

Huyu anaitwa Bingwa, Mastermind na akina Abdul - eti katuweza na ripoti ya tume ya Chande 🙄
Sasa wenzake wamemwacha - ye si hodari!? Aendelee .. ndo maana kila mahali yupo ingawa kiwadhifa hahusiki hata kwa mbali na ripoti
Kama uchambuzi au kutetea ripoti waletwe wajumbe wote wa Tume kwenye mkandamnasi watetee yale madudu! Thubutuuu! Ndo maana mnataka kuwatoa roho eh?
Nje ya hapo hiyo ni ripoti ya Kabudi si ya Chande!
Nasema #TutaelewanaTu mwaka huu 👊🏽🔥

Indonesia
HueyFreeman retweetledi

‼️TUMEMPATA MWANDISHI WA REPORT YA JAJI CHANDE.‼️
Kwa mujibu wa Abdul mtoto wa Idd Amin Mama wakati anajiongelesha kwa watu ambao anadhani wote wanafurahia maujinga yake.
Ni kwamba Machi 27, 2026 Jaji Chande alikabidhi Report yao ya Uchunguzi kwa Idd Amin Mama, Report ambayo hapo awali ilipangwa kutolewa hadharani April 3 lakin kutokana na kutoridishwa Nduli Idd Amin Mama aliomba wahairishe.
Nduli Idd Amin Mama na mwanae walichukua Report ya Chande, wakampa Palamagamba Kabudi aipitie na kufanya marekebisho kwa kadri atakavoona inafaa.
Nduli Idd Amin Mama alimpa Kabudi kwasababu anaamini kwamba ndo mtu ambae anajua kufanya robbing huko kwenye International Community so atamsaidia kumsafisha mikono yake yake iliyojaa damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi aliouwawa Oktoba 29 kwa risasi.
Anataka kusafishwa huko kwenye International Community ili wale aliowaita “How are you’ waiondolee Tanzania vikwazo vya kuinyima misaada na mikopo nafuu maana sasa hivi kiuchumi hali ni ngumu, wanapumulia machine.
Sasa Kabudi baada ya kupitia Report ya Jaji Chande hakuedit bali aliamua kuandika upyaaa kabisa, hata maana ya kuunda Tume ikapotea maana aliweka maoni yake ambayo walishauriana na kukubaliana na Idd Amin Mama pamoja na Abdul kwamba hiki kiwepo na kile kisiwepo lakin Jaji Chande alikuwa anajua kabisa kwamba Report itabadilishwa maana walimjulisha na alitulia kimya hata wajumbe wenzake wa Tume hakuwambia, sasa ukimya wake ni tafsiri ya kwamba alikuwa tayari kuwaunga mkono kwenye uchakachuaji wa Report.
April 23, 2026 asubuhi Jaji Chande alikabidhiwa Report ukumbini ili aisome ndo maana wakati anasoma alikuwa anababaika sana kwasababu hakupata muda wa kuipitia Kama ambavyo utaratibu unataka.
Lakin pia Kabudi huyo huyo ndo alimuandikia Hotuba Idd Amin Mama ile aliyosoma siku ya kupokea Report ndo maana Idd Amin Mama alikuwa na majibu ya hoja zote ambazo ambazo zilikuwa kwenye Report ambayo inaitwa ya Jaji Chande, tena akaongeza na chumvi kwamba “Watanzania huko mtaani wanasema wanamtaka Samia ambae wanamjua” 🚮
Kabudi ndo aliyemshauri Idd Amin Mama kwamba wasiiweke report ya Chande public kwasababu ikitoka public wakati kuna wajumbe wa Tume ya Jaji Chande wanareport yao ambayo wameifanyiakazi kwa miezi minne, wanaweza kuamua kuivunjisha makusudi ili Wananchi wafanye ulinganifu so siri itafichuka.
Kabudi ndo aliyemshauri Idd Amin Mama kwamba pamoja na mambo mengine ili International Community wampe second chance, inabidi ajifanye anataka maridhano na wapinzani wake lakini kiukweli wala hawataki maridhano ila wanataka picha za maridhano ili wakaombee misaada kwa hao ambao alikuwa anawaita “How are you” ndo maana wanahubiri maridhiano lakin bado wanateka na kupoteza watu.
Abdul wakati anapiga story na wapambe wake anasikika akicheka huku akimsifia Kabudi kuwa ni Bingwa na kwamba kupitia Report hiyo ametunyoosha Watanganyika maana tulidhani Report ya Chande itakuwa ya kuwajibisha maofisa wa vyombo vya dola waliouwa Watanganyika wenzetu Oktoba 29, anasema watawawajibishaje watu ambao wamemsaidia Mama ake kuwa madarakani? kama ambavyo Vyombo vya Ulinzi na usalama vilimlinda Mama yake na wao watahakikisha wanavilinda.
Anasema hata uteuzi wa Angela Kiziga ulikuwa mahususi kwa ajili ya kuwatoa watu kwenye mjadala wa Report maana wameona Tume inashambuliwa sana kila kona ya mchi hivyo wanapambana kuzima mjadala.
Anasema kuanzia wiki ijayo wamejipanga kuwatumia Wasanii wa Bongo, Viongozi wa dini (Machawa wao) na Watengeneza maudhui wa mitandaoni & etc. anatamba kwamba watatupiga matukio mpaka tutatoka kwenye reli, lengo ni tusahau Report ya Tume na mauaji ya Watanganyika wenzetu yaliyotokea Oktoba 29.


Indonesia





