Manu

3.5K posts

Manu

Manu

@picmussa

Katılım Nisan 2022
1.4K Takip Edilen256 Takipçiler
Manu retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
TAARIFA KWA UMMA
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
53
513
1.6K
33.5K
Manu retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Vita na Waziri mkuu ime mshinda kaona aje kwa CHADEMA hakika gogo limekata vibaya😂
Indonesia
7
22
353
22.1K
Manu retweetledi
joshua jailos Lunyungu
joshua jailos Lunyungu@joshuaJlunyungu·
Bro a woman leaving you because of struggles is understandable there’s no glory in suffering together.
English
2
1
2
24
Manu retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Wanawake WAJINGA Silaha Yao Hua Ni MBUSUSU Akikukosea Hakuombi Msamaha Kwa Mdomo Anatumia Mbususu Kama Akikuomba Umnunulie Kitu Ukamwambia Huna Pesa Ananuna Hatokupa Mbususu Ukipeleka Mkono Kwenye Mbususu Unapigwa Kama Anauliwa Mbu. Chakufanya Mpandishe Cheo Awe Mke Mkubwa Fimbo ya mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Indonesia
25
30
287
12.6K
Manu retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
PUBLIC STATEMENT
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
English
3
68
247
13.6K
Manu retweetledi
MTAWA
MTAWA@Philiberty2071·
Kwa wale wana nchi wapenda Democrasia. Mnao guswa na kuichangia chadema no:0744446969. Jina CHADEMA
MTAWA tweet media
Indonesia
3
24
147
2.1K
Manu retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Wezesha account ya Chama
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
2
49
162
2.1K
Manu retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
9
173
550
8.3K
Manu retweetledi
RCM
RCM@robkidayo_·
Jana niliweka Tsh 200 kwenye tone tone sikuwa na hata mia leo nikapata kidogo nikaweka 5000 Jana vs. Leo Toa chochote 🙏
RCM tweet mediaRCM tweet media
Polski
11
80
402
9.5K
Manu retweetledi
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Kwa Speed Ya Ngiri Mkia Juu RT Ifikie Wengi.🤝
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
3
217
511
5.7K
Manu retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Zoezi la michango linaendelea Tusichoke kuonesha umoja wetu kwa Chama chetu Waliyotifanyia tunayajua, haina haja ya kueleza sana Repost 560
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
5
71
258
3.6K
Manu retweetledi
Grace Shio
Grace Shio@GraceShio03·
Nyasa tumeanza namna hii. Kata kwa Kata huku tukielekea kwenye Msingi, Vitongoji na Mitaa. Tukutane tarehe 18.04.2026 kwenye ofisi za Kanda. #chamakipohuru #Nyasatupotayari
Grace Shio tweet media
Indonesia
10
55
389
3.8K
Manu retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
58
471
1.5K
162.3K
Manu retweetledi
Chadema Kanda ya Pwani
Chadema Kanda ya Pwani@chademapwani·
Viongozi na wanachama wameitumia siku ya leo April 16, siku moja baada ya kufunguliwa shughuli za chama kuendelea na madai ya kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa chama Mh Tundu Lissu. #FREE LISSU
Indonesia
10
144
757
13.3K
Manu retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Ndugu Watanzania wenzangu, Kama mnavyofahamu, mapambano ya kutafuta haki na kuleta mabadiliko ya kweli si rahisi,na yanakuwa magumu zaidi pale rasilimali zinapokuwa haba. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kusimama imara upande wa wananchi wakati wote.Aidha, kufuatia kutoshiriki katika uchaguzi haram, chama hakipokei ruzuku hata shilingi moja. Hali hii inaleta changamoto katika kuendesha shughuli za kila siku za chama na kuendeleza harakati za kidemokrasia. Kwa msingi huo, tunawaomba Watanzania wote muendelee kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kuchangia kwa hali na mali. Mchango wako, hata kama ni mdogo, una mchango mkubwa katika kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko. Changia sasa kupitia: Namba: 0744 446 969 Jina: CHADEMA HQ Tuchangie kwa pamoja ili kuimarisha harakati za kudai haki, uwajibikaji na mustakabali bora wa taifa letu. Asanteni kwa uzalendo wenu. #ToneToneImerudi #FreeTunduLissu
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
19
143
457
5.8K