Public Will

10.9K posts

Public Will banner
Public Will

Public Will

@publicwilltz

🇹🇿 Extremely patriotic 🚫 Non-tolerant to Bullshit 🧠 Vastly Liberal 💪🏼 Power belongs to the people. 📖 Constitutional Reforms are inevitable.

Katılım Mart 2020
231 Takip Edilen291 Takipçiler
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Suomi
100
771
4.2K
66.7K
Public Will retweetledi
jjk
jjk@jjk_tz·
@TitoMagoti Nasubiria majina ya hao wanasiasa na wanaharakati na mbinu za kusambaza pesa pamoja na mafunzo kwa vijana. Pia nasubiria Mh kutamka reformation kwa taasisi zake ambazo zilishindwa kutambua hayo mapema na kuyazuia.
jjk tweet media
Filipino
0
2
3
164
Public Will retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SAMIA MUST GO NOW!!
English
5
128
520
3.6K
Public Will retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
NO REFORMS NO ELECTION IS A MOVEMENT!!
English
15
286
1.3K
11.4K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
G-nzi tufate huuuu ushauri tuweke mipaka si kila kitu tuzungumze tujifunze kuipenda nchi yetu kujivunia nchi yetu tuitunze amani ya nchi yetu tuungane kwa pamoja kufanya mazungumzo ya maridhiano hiiiii nchi ni yetu tuipende tuache mawazo ya vurugu kwenye nchi nzuri kama hiiii 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Indonesia
35
3
10
6.1K
Public Will retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Anaitwa Pastor Katoki alikamatwa jana asubuhi boda ya Kasumulu yupo kituo cha Polisi Kyela mpaka leo, serikali hii haramu kukosolewa ndio imegoma kabisa. Repost 200 TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
10
264
1.2K
32K
Public Will
Public Will@publicwilltz·
@mfinanga_j @millardayo Ukisema "they Had to Kill" maana yake ni kwamba umewapa uhalali wa walichokifanya ambacho ni kuuwa waTanzania ili kulinda nafasi zao za kisiasa. Ndiomaana nimeona kuwa kinachofanya tunachotofautiana hapa ni uelewa (shule). Uwe na siku njema pia.
Indonesia
1
0
0
9
Lil_man
Lil_man@mfinanga_j·
@publicwilltz @millardayo Hakun sehem nimehalalisha mauaji? Akili hii ya kukurupuka, kuendeshwa na watu wengine ndo inafanya tushindwe kutulia kufikiria kwa pamoj hatma ya taifa letu. Anyway, uwe na siku njema ndugu.
Indonesia
1
0
0
28
millardayo
millardayo@millardayo·
“Kwa kuwa serikali haina uhalali wowote, CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa” “Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa” “Itahakikisha kuachiwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa na wote waliofunguliwa kesi za uongo, itahakikisha kuachiliwa kwa wote waliotekwa nyara na kufichwa katika mahabusu” —- John Heche #MIllardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
115
129
1.5K
72.9K
suleiman
suleiman@selemwaa·
@bbcswahili Huyu hakuwa Waziri wa Afya mmelishwa matango pori
Indonesia
2
0
1
402
Public Will
Public Will@publicwilltz·
@Zephania_Ndaki Hebu tupia na kapicha akiwa anapokea hati za mabalozi kidogo ili waumie zaidi. 😁
0
0
0
10
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Kuna Watu Wameumia Sana Kumuona Raisi Anapokea Hati Za Mabalozi😁😁 Walikua Wanadanganyana Sana Yani Humu Kuna Michezo Mingi🙌🙌
Indonesia
3
3
10
441
Rashda Zunde
Rashda Zunde@RashdaZunde·
Watu wamewekeza huko Mbeya mahotel alafu wapo busy mtandaoni kusema kwamba Tanzania is not safe😂 Aya Gen Z kazi kwenu nyie ndo mnapelekwa mbele mkapigwe na kuumizwa wenzenu wanakula raha tu huku.
Rashda Zunde tweet mediaRashda Zunde tweet media
Indonesia
4
1
9
2.1K
Public Will
Public Will@publicwilltz·
@mfinanga_j @JoeMpondakeyz @millardayo Serikali ya mpito unajua maana yake? Unajua hata maana ya neno mpito? Kwahiyo maslahi ya kila mmoja ni mama yenu kuwa rais? Binafsi ninaona hapa shida kubwa inaweza kuwa ni shule. 😁
Indonesia
0
0
0
9
Lil_man
Lil_man@mfinanga_j·
@JoeMpondakeyz @publicwilltz @millardayo Kuna scenario zikitokea basi ni vyema kuchukua option ya "inayowezekan" kwa maslah ya Kila mmoja. Kinachohitajika ni wazi Kila mmoja anakijua ila it will cost our everything kukipata.... for what sasa? Kuna furaha gani ya kupata rais mpya kipindi ambacho nchi inakua imekufa tyr?
Indonesia
1
0
0
16
Public Will
Public Will@publicwilltz·
@mfinanga_j @millardayo Nacheka kwanza kinge kabla sijaedelea 😂 Kwahiyo ilibidi waue maelfu ya waTZ ili waendelee kuwaongoza waTZ???😁 Kabisa unahalalisha eti had to kill. 😄
Filipino
1
0
0
22
Lil_man
Lil_man@mfinanga_j·
@publicwilltz @millardayo Gvt did what they had to do to ensure the authority is there as per current constitution. We both know what happened To your side sasa, what have you done so far to ensure your wish is implemented? Or depending on US, EU, AU e.t.c? Do u sincerely think they really care abt you?
English
1
0
0
39
Rashda Zunde
Rashda Zunde@RashdaZunde·
Kuna kimwandishi cha sehemu flani kanijafanya kaharakati kachinichini wakati mkuu wa kituo chake ni mmnufaika wa kwanza wa kazi ya CCM na ste tuliona. Kama unajikuta wewe unajua sana kutetea kwanini usimseme direct boss wako? Acha unafki na ukaze mdomo mfyuuu. NB: Nicheki dm nikupe dawa na mdomo maana watu wanasema unanuka mdomo ila sasa wanashindwa kukuambia🚶‍♀️
Indonesia
7
3
11
3K
Sabrina🌷
Sabrina🌷@Officielsajah·
Pumzika kwa Amani💔 Mzalendo Wa Kweli!!💪🏾🥹
Sabrina🌷 tweet media
Filipino
39
7
42
4.7K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Pumzika kwa Amani Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenesta Mhagama!!
MR BEN tweet media
Filipino
110
25
174
19K