Side hd
3.5K posts

Side hd
@side_hamadi
Pursuit and pray #GGMU✊








@NikoJMT @hecenmo @mzee_mbuzi Kwenye dini inaaminika hapa Mungu aliweka mpaka. Ila science ime prove maji ya bahari na maji yaliyoyeyuka kwenye glaciation yana density tofauti 😁

Nipo hapa kila siku. Hizo ni post za wiki iliyomalizika. Namba za hizo post, huzifikii kivyovyote. Niliacha kujadili MIJADALA isiyokuwa na tija. UTU uzima unakuja na BUSARA na MAJUKUMU yanaongezeka. MALENGO yangu yamebaki kushughulika na MaCCM tu. Huwezi kuniona nawachukia wanaoendesha MAISHA yao kwa betting. Umeni’ follow halafu unauliza nipo wapi? You’re clout-chasing?


😁😁😁 nyieeee...🙌🏾 Matreni yote Chali! Na mnavyojifanyaga hamtaki Cash out, najua huko Kuna vilio na kusaga meno. 🤣 #Portugal #Mexico #SportyBet #Tanzania





Maisha ni Magumu lakini yatakuwa Magumu kama ukiwa na akili za Harmonize kwenye Mapenzi.




Marapper wenu wengi hawasimami na dogo bars for bars ila hamko tayari kwa hii discussion.











