mwanaseguye
2.1K posts


@Pipes2000Pipes @Happinesmlay Sio mlay tu ni genetics kwa wachaga maana kuna wakina swai pia nawafahamu wanakaka yao alikuwa na tatizo kama hilo lakini alienda milembe akatibiwa akakaa sawa na anaendelea kutumia dawa
Filipino

@Happinesmlay Kwa Mlay ni genetic my Dear-
Hapo ni ku deal na Hosp na Maombi tu.
Nina marafiki wa toka utotoni walikuwa kinawaka-
Mmoja tulisoma nae Kafarik last year- ila alishajarib kujiua mara kadhaaa-
Muombee sana.
Filipino

@DotoMatembo @bbcswahili Umeshawahi kuuona misamaha ya kodi na sababu ya misamaha hyo kwenye hizo taarifa za kwenye mbao za matangazo?
Filipino

@bbcswahili Mbona kanisan hawatupatii Haki zakufaham.michango yetu inapokwenda?? Ama haki kwenye serikali tu Ila sio kanisan?
Indonesia


@bajabiri Huteki watu.
Una deliver maendeleo.
Siasa safi na shirikishi.
Kwanini watu wasikupende?
Indonesia

@Kategoladslaus3 @fbuyobe Maandamano yasio na kikokmo yameishia wapi?
Filipino

Vyema Jeshi La Polisi Likazingatia Haki Za Binadamu Kumshikiria @fbuyobe,Pasipo Kumpeleka Mahakamani Ni Kinyume Na Utaratibu Wa Katiba Ya Nchi Yetu, Lakni Pia Ni Kinyume Na Haki Za Binadamu Mpelekeni Mahakamani Kama Hana Kosa Muachieni Bila Masharti Yeyote.
@freebuyoye

Indonesia

@Kategoladslaus3 Ulitaka polisi wazalilishwe na kupigwa kama hawa sio
Filipino

NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE
NGURUWE


Travis@TravisKitengo_
Ukiachana na SEX kitu gani kingine ni kitamu?🤔
Indonesia

Maandamano ya Gen-Z Kenya Rais William Ruto alithibitisha kufadhiliwa wa Ford Foundation, na katika mazungumzo ya Jonh Heche amekiri kuwa Uchaguzi hautafanyika na katika mbinu za kufanikisha hilo ameonesha kufanya engagement na NGO's. NGO's hizi ndizo zinazoonekana kufadhiliwa na Mfadhili yuleyule wa maandamano ya Gen-Z Kenya na Maria Sarungi. Kuna jambo la kujifunza tusikurupuke kwa kila kinachoitwa maandamano.

Indonesia

@lifeofLeord @_zack255 @MariaSTsehai @mangekimambi @Sativa255 @TitoMagoti Mnataka ndugu zetu wakauwawe tena😭😭😭
Indonesia

@_zack255 hatujaandamana sababu ya @MariaSTsehai , @mangekimambi ,@Sativa255 wala @TitoMagoti
tumeandamana sababu ya uongozi mbovu,UTEKAJI, mauaji,ubadhilifu wa mali za uma,ufisadi
aliewapa hii # mwambieni bado sana
tunataka uwajibikaji lasivyo TUKUTANE TENA december 9
#UHURU09tupohuru
Indonesia

@stewartcharlz @YusuphSowa @Mo_Bjr Upo sahihi ndio maana kuna ma NGOs za kuwapa support wanaharakati
Filipino

@stevenkatalas @YusuphSowa @Mo_Bjr Huwez elewa hili kama ishu ni kutengeneza ukweli na sio kuutizama ukweli ulivo. Sikuizi ukweli ni tishio na uongo ni ajira.
Filipino

@stewartcharlz @YusuphSowa @Mo_Bjr Walioshiriki wamekubali na kusaini wasioshiriki wanasema uchaguzi umebakwa
Indonesia

@stevenkatalas @YusuphSowa @Mo_Bjr Kuchoma mali ni kosa, kukata vidole watu ni kosa lakini kosa la uhaini linastahili adhabu ya kunyongwa na hilo limefanywa na ccm kwa kubaka uchaguzi na kupika data.
Filipino

Mwanangu @Thereal_taivina kaamua kuachana na kina mama fua
Karibu sana tena boss 🙏🙏🙏


Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@stewartcharlz @YusuphSowa @Mo_Bjr Maandamano ya amani yakuharibu miundombinu inayokusaidia wewe mwenyewe,kuiba Mali za watu kutishia watu wasiowaunga mkono na wengine kukatwa vidole ,kuchomewa Mali zao
Indonesia

@YusuphSowa @Mo_Bjr Wangeandama lakini sio siku ya uchaguzi
Indonesia

@Mo_Bjr We jamaa hebu tusaidie mawazo yako. Ni njia Gani ingetumika kuwaonesha watawala kuwa umma umechoshwa na MATUKIO ya utekaji,mauaji holela,ufisadi na ukandamizwaji wa haki zao unaofanywa na watawala na vyombo vya Dola? Au damu za wakina mzee kibao na mdude zile ni za wanyama?
Indonesia

@mangekimambi Sasa miundombinu inahusiana nini na free and fair election
Filipino













