stateSponsoredHack3r 👨‍💻

2.2K posts

stateSponsoredHack3r 👨‍💻 banner
stateSponsoredHack3r 👨‍💻

stateSponsoredHack3r 👨‍💻

@theSayay

Founder & C.E.O of sayaySoft | stateSponsoredHack3r | CEH | Full-Stack Web Developer | Graphics Designer | Enterpreneur | Squit3r | Danc3r

sayaySoft'Lab Katılım Kasım 2011
1.9K Takip Edilen578 Takipçiler
Knowledge Bank
Knowledge Bank@xKnowledgeBANK·
Did you know? Leopold of Belgium ruled Congo as his private property for 23 years. He cut off the limbs of Congolese who did not meet their daily quota on the plantation. At the end of his rule, he had killed 15million Congolese people.
Knowledge Bank tweet media
English
6
38
76
20.2K
stateSponsoredHack3r 👨‍💻 retweetledi
World Affairs
World Affairs@World_Affairs11·
BREAKING: Arab countries close to join the US against Iran, allowing the US to strike Iran from their lands.
World Affairs tweet media
English
230
359
1.4K
28K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Ukisimama na IRAN umesimama na HAKI lazima tukulinde team IRAN kwa wivu mkubwa, yoyote atakae Simama na Israel kazi yetu itakuwa ni kumpelekea spana kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa Humu ndani. We need HAKI.
Indonesia
32
14
128
6.4K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Waandishi Takamwili (The Junk Journalists). Waandishi wetu wa habari wamegeuka wataalamu wa geopolitics. Leo wanaandika thesis ndefu kuhusu Israel na Iran – missile trajectories, proxy wars, nuclear ambitions, who blinked first, n.k. Hawa “wahuni” wana uwezo wa ajabu wa kuona vumbi la mchanga katika mitaa ya Tehran na Mashariki ya Kati yote, lakini hawaoni moshi wa baruti uliopita mlangoni kwao miezi minne tu iliyopita. Wanajua idadi ya vifo vya watoto wa Tehran kwa takwimu za nukta, lakini idadi ya Watanzania waliopotea au kupigwa risasi wakati wa uchaguzi mkuu ni "habari zisizo na uthibitisho" au "uchochezi." Wana uwezo wa kuona kombora la Fattah-1 likifyatuliwa kutoka Isfahan, lakini macho yao yanapata upofu ghafla (glaucoma ya kisiasa) kuhusu yaliyotokea mitaani kwetu 29 Oktoba 2025. Ukiwauliza kuhusu Oktoba 29, 2025 – siku ambayo raia wetu walipigwa risasi kama target practice, miili ikarundikwa hospitalini au ikachukuliwa na “ghost squads”, wanasema hawana material. Habari za Oktoba 29, 2025 – wanakuwa kama paka aliyemeza uji wa moto. Mdomo mzito, vidole vyao vinakuwa paralyzed, keyboard inakuwa exhibit A ya kutengeneza museum ya uoga. Shensisana. Wachambuzi wa vita za mbali, lakini viziwi na bubu wakati damu inamwagika barabarani kwao. Wakati huo huo wanaweza kutoa maoni zaidi ya 200 kuhusu kama drone ya IRAN ililenga au la! kizazi kinachoweza kuandika kurasa 100 kuhusu Mashariki ya Kati, lakini kikitakiwa kuripoti tukio la ukatili wa Serikali hapa nyumbani, vidole vyao vinapata kiharusi cha ghafla. Kizazi takamwili. Ni hovyo with extra cheese, takamwili iliyopakwa rangi ya blue check na verified nonsense. Wakati raia wetu walipigwa risasi na kuuawa, wahuni walikuwa busy kuchambua SIMBA na YANGA. Ni rahisi kulaani uvamizi wa Israel kuliko kulaani uvamizi wa mabomu ya machozi mtaani kwao. Wanalilia damu ya raia wa IRAN kuliko kutaja jina la Mtanzania aliyeuwawa kwa ajili ya kura yake. Wanasubiri ndege za kivita za Iran na Israeli zifanye manoeuvre angani huko ili wapate cha kuandika, huku wakijifanya hawasikii vilio vya wajane na mayatima wa uchaguzi mkuu uliopita. Briefcase journalism. Ni kizazi kilichogeuza kalamu zao kuwa kijiko cha kulia mchuzi wa serikali, wakiacha taaluma yao ikizikwa kaburini futi 6. Kizazi hiki cha wanahabari – selective outrage
Martin Maranja Masese tweet media
Filipino
54
234
875
32.9K
stateSponsoredHack3r 👨‍💻 retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wengi hawafahamu kuwa Watu wa Iran sio Waarabu bali ni Waajemi. Hata lugha inayozungumzwa Iran sio Kiarabu bali ni Kifarsi au Kiajemi. Zaidi ni kwamba waarabu waliopo Iran ni wachache sana hawafiki hata 2% ya watu wa Iran. Watu wa Iran wana historia pana tena ni wajuzi wa Sayansi
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
43
128
1.7K
45.9K
stateSponsoredHack3r 👨‍💻 retweetledi
PABLO
PABLO@PabloYende·
Kiukweliii Dunia inakua salama kama marekani itaitawala 📌
Indonesia
116
39
518
32.2K
Teisen
Teisen@Teisentwts·
Comment your name & get best signature ✍🏻
Teisen tweet media
English
26.4K
1.3K
26.4K
5.1M
Global Folder
Global Folder@Global_Folder·
Monk is visited by lion while meditating. Every night, a monk from a quiet monastery would walk into the forest to meditate under the stars. But after weeks of practice, he confessed to the other monks that he often felt a strange presence watching him. At first, they dismissed it as imagination. But when the feeling persisted, the elders suggested setting up a camera near his meditation spot to put his worries to rest. What they discovered left the entire monastery speechless. On the first night of recording, the footage showed that fifteen minutes into his meditation, a lion emerged from the trees. It walked calmly toward him, bowed its head, and sat in silence. It stayed for the entire session. Then, ten minutes before the monk finished, the lion stood, turned, and slipped back into the forest.
Global Folder tweet media
English
57
157
1K
101.8K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Katarama Luxury ndani ya wiki moja kapasua basi zake zote mbili za ruti ya Dar es salaam - Mbeya ambayo ni.. 🔺T327 EKE 🔺T329 EKE Kiufupi ndo anaanza kuingia kwenye Gemu ya mabasi rasmi. Juzi tu Irizar T314 EHW imetoka gereji baada ya kupasuka na kukaa zaidi ya miezi miwili🥹.
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Indonesia
18
6
157
8K
nam
nam@Nam255tz·
@kinlop_ 10B=10B ya sasa😂😂
Indonesia
1
0
2
257
Kinlop🦅
Kinlop🦅@kinlop_·
FAHAMU WANANDOA WALIOTAFUTWA SANA NA SERIKALI YA TANZANIA MWAKA 1987. Wanandoa hawa walikua ni Sarah Martin SimbaUlanga (35) na Kijana Mfanyabiashara Toroha Mohammed Toroha (40). Sasa Sarah SimbaUlanga alikua nan? Huyu ni binti alikua mfanyalazi wa Bank ya NBC Posta Toroha yeye alikua Mfanyabiashara, Handsome Boy wa kitaa, Vijana fulani wako fasta kama Mawinga wa Kariakoo wanajua michongo yote mjini inavyoenda, Vijana fulani hivi wa Gym, SixPack nyingi na Mla bata sana. Huyu Toroha alikua ni mtoto wa Mjini na kumbuka Sarah alikua akimpenda sana Mwana, si unajua tena Binti akimzimia mwana inavokuaga! Sasa Toroha aliwaza Jambo na kumwambia mpenzi wake Sarah, mama mtu unafanya kazi kwenye kitengo kizuri sana NBC bank—Kitengo cha Fedha za Kigeni na kwa wakati huo Tanzania Nzima ilikua inategemea Fedha za kigeni kutoka bank ya NBC pekee. Hivi bebi hatuwezi kufanya kitu kizuri kwenye hizi Fedha za kigeni? Unafahamu alimpa dili gani? karibu Usome nami…. @kinlop_ 🧵👇🏽
Kinlop🦅 tweet mediaKinlop🦅 tweet media
Indonesia
31
82
804
211.4K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Wasanii wa Bongo buana unakuta mtu Ana miliki Gari za 100M tatu ila bado kapanga Hana ata nyumba ya 20M..!!
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
31
26
795
35.7K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Habemus Papam! Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani. Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla. Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
391
481
3.6K
345.1K
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Waziri mmoja anayevaa mavazi ya bendera ya Taifa anatuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya shilingi, kisha kufungua maduka ya kubadili fedha (bureau de change), sehemu mbalimbali nchini (kama mbinu ya kutakasisha fedha). Lengo kuu ni 'kununua' urais 2030. Ni nani huyu?
Dr. Chris Cyrilo tweet media
Indonesia
215
147
1.9K
172.5K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Kijana mmoja asiyejulikana amekamatwa na maafisa wa usalama wa Uganda akijaribu kumwendea Rais Museveni alipokuwa ameketi,kijana huyo alikuwa amevalia fulana yenye sura ya mtoto wa Museveni, Jenerali Muhozi. Ila Museveni bhana hata kushtuka 😀😀
Indonesia
160
114
994
173.2K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah😀😀
Filipino
147
304
1.1K
206.2K