Sabitlenmiş Tweet

Jana, tarehe 09.05.2024 ilifanyika hafla ya uwapisho wa Rais mpya wa TSAU Mh. Stanley Josia na Makamu wa Rais Mh. Zulhat Mlima.
Uwapisho huo ulifanyika Ubalozini na kushuhudiwa na Mhe. Maj. Gen. P.K. Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda @TZembassyUG.



Indonesia
































