cccXYZ

597 posts

cccXYZ

cccXYZ

@xyz_ccc

xyz

Heaven Katılım Eylül 2019
171 Takip Edilen10 Takipçiler
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@OriginoZee17 Cheza wewe,hujasahi hta piga danadana 10 unaongea upuuzi
Indonesia
0
0
0
6
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@Makamo10 @siadevinci Kukiwa na ratio ya 20icbm kutoka n.korea to usa kwa 2000 kutoka usa na washirika wake kwenda north korea wapi patabaki kwenye vitabu vya historia, si hta kidugu anajua na n muoga sana ,rais anayeogopa mpaka raia wake hawezi kuwa shujaa
Indonesia
0
0
1
23
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@Makamo10 @siadevinci Vita yq nuke haina mshindi so haihitaji ushabiki ,ukweli n kuwa how many nuke ztatua usa kutoka n.korea na how many nuke ztatua north korea kutoka usa,kutoka all nato member accord to article 5,kutoka japan na australia ,
Filipino
1
0
1
82
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Kundi la wataalam wa kijeshi kutoka China wanadai kuwa ICBM iliyorushwa kutoka Korea Kaskazini inaweza kuigonga Marekani ndani ya dakika 33 tu.
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
57
27
498
34K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@siadevinci We jamaa uko paranoid sana, wakatu juo unasema inaweza igonga marekan amekaa kama zoba, hta nirth korea wanajua wakianzisha hawaponi, icbm zitatokea japan ,south korea, australia ,a very shkrt distance, is better kukaa kimya na kuwaachia ugomvi wao,
Suomi
0
0
1
124
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@ezekiel_kamwaga Hata sehemu zingine za Africa na waafrica kwa hili watamuunga Mkono
Indonesia
0
0
0
102
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga@ezekiel_kamwaga·
Ujanja wa Yoweri Museveni anajua kuwa na msimamo mkali kuhusu ushoga, ataungwa mkono na sehemu kubwa ya watu wake. Anajua pia kwamba hata huko Magharibi ataungwa mkono na wale wanaopinga. Si kwamba ushoga umekubaliwa Magharibi kote, wako wengi pia wanaopinga. Calculated risk.
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga tweet media
Filipino
42
32
1K
52K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@DiabloG1961 @ayubu_madenge Mzee usalama wa taifa sio sumu,waachie wenyewe wanajua wnachomaanisha hii n kubwa kwako,ukiona umetoka kwako asubuhi na umerudi salama jjue kuna watu wako busy kuhakikisha usalama wako, mfano mdogo kuzuia ngono kwenye mitandao wanalinda wanao,huu ndio usalama wenyewe sana
Filipino
2
0
8
528
TheFurryLover1961💎
TheFurryLover1961💎@FurryL1961·
@ayubu_madenge Sasa kuhatarisha maisha ya raia wao, hapa ndipo nilipo mim kama ina sumu au tatzo lolote mbona mpaka wajadili?? Ina maana kitu cha kuhatarisha maisha ya watu kwel unaweza kukipa time kujadili?
Indonesia
2
0
10
1.1K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Leo CEO wa TikTok bwana Shou Zi Chew amewekwa Kikaangoni na anahojiwa Maswali na Wabunge wa Marekani kuhusu Mtandao wake. Marekani inataka kuufungia mtandao wa TikTok Usitumike nchini humo sababu unahatarisha Usalama wa Taifa hilo. CEO huyu anajitetea na anautetea Mtandao wake.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
43
60
1.8K
77.8K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@millardayo Tutafanya biashara na china na urusi na iran ,hatuhitaji tena marekani,ndie endeleeni kuka...zana ,msilazmishe watu upuuzi wenu
Indonesia
0
0
0
19
millardayo
millardayo@millardayo·
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani vinaweza kuwekwa kwa wale wanaohusika na kupitishwa kwa sheria ya kuwafunga jela wanaofanya mapenzi ya jinsia ya moja. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
333
103
2.5K
236.4K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@JOHNKOM7 @siadevinci Huu ni uoga wanaume wanatungua kwa kombola kama baloon ,ukimsindikiza aliyekuchokoza ndio zile pigo tukiwa watoto unapigwa kisha unaishia sitaki uchokozi, huo ni ungese ukichokozwa toa dozi ili mtu akitaka rudia ajiulize mara mbili mbili, ndio maana Israel anaogopwa hatanii
Indonesia
0
0
0
39
JOHN KOM
JOHN KOM@JOHNKOM7·
@siadevinci Wanume hao wanakuweka kwapani wanakisindikiza ukivuka geti unaambiwa usirudie tenna kuja sa naenda geuza njoo tuna fanya kama MQ mambo mengine yanaendelea
Indonesia
1
0
9
2.5K
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
American destroyer iliingia kinyume cha sheria kwenye maji ya Bahari ya Kusini ya China - Command ya PLA . Tian Junli, mwakilishi rasmi wa Kamandi ya Mapambano ya PLA (Jeshi la Ukombozi la Watu wa China), amesema kwamba Meli ya kivita ya Amerika, USS Milius iliingia kwenye 👇
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
19
17
289
37.1K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@siadevinci Me nilidhani utSema wameilipua kwa kombola fulana kama balon lilivyotunguliwa ,dah china mikwala mingi tokea Spika atue Taiwan wakati wlitia mkwala mkubwa nimeshawadharau bora Putin kathubutu
Filipino
0
0
0
201
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@Musisa90 @ayubu_madenge Umekalili mzee unaweza somea kulipua mizinga tukakukuta unauza nazi,maisha hayana fomula
Indonesia
0
0
0
60
Braz∆ ®.....PhD📚
Braz∆ ®.....PhD📚@Musisa90·
@ayubu_madenge Computer science and Financial management to media personality how comes? Au ndiyo Bongo unasoma BA.Economics unafanya kazi ya mtu wa Geomatics
Filipino
12
0
52
22.2K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtu wa Mpira na mchambuzi aliyesoma Computer Science na Financial Management toka chuo cha IFM. Mfanyakazi wa Clouds Media na Mmiliki wa kampuni yake binafsi. Shaffih Dauda aliwahi kuwania Urais wa TFF, pia aliwahi kufungiwa kujihusisha na Soka ndani na nje ya nchi kwa miaka 5.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
148
70
3.1K
203.5K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@bbcswahili Kwan nini sasa,alikua wapi,silaha za urusi zipo mikononi mwa waasi wa Africa zikiua raia wa africa,anadhani ataugwa mkono kwa kitendo cha kijinga kuvamia taifa huru, @bbcswahili Matatizo ya Africa yatamalizwa na waafrica wenyewe sio Urusi
Indonesia
0
0
0
93
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Urusi yatoa kipaumbele Afrika na kusema itasambaza vyakula kwa nchi zenye uhitaji barani bbc.in/401uyEw
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
60
20
808
45.1K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@siadevinci Inasemekana maana yake huna uhakika, acha ushabiki,
Filipino
1
0
1
270
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Huko Central Africa wafanyakazi 9 wa mgodinii ambao ni raia wa China wameuwawa. Wawili wajeruhiwa. Inasemekana hujuma imefanyika na Majasusi wa Ufaransa ili lawama ziende kwa Wagner.
Sia Da Vinci💎 tweet mediaSia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
15
10
259
10.8K
Ahmednoor. M. Ally
Ahmednoor. M. Ally@AllyAhmednoor·
@Ukraine_vita Ukraine imepoteza zaidi ya askari 100,000 ambao wenye ujuzi na mafunzo ya hali ya juu, tangu mgogoro huu uanze. Askari wengi wamepoteza maisha ktk mji wa bakhumuti, taarifa hii imeandikwa na gazeti la politico kwa kuwanukuu viongozi wa jeshi la marekani
Indonesia
3
1
12
1.7K
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺@vitayaukraine·
Marekani ilifuta programu ya siri ya drone kabla ya kuanguka kwenye Bahari Nyeusi. Marekani ilifuta kwa mbali (remotely) programu ya siri ya Drone ya MQ-9 Reaper kabla ya kuanguka kwenye Bahari Nyeusi ili kuzuia Urusi kukusanya taarifa za siri - CNN inaripoti. 1/3
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺 tweet media
Indonesia
30
15
297
18.1K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Siku 7 zilizopita, Rais @SuluhuSamia alisema nchi jirani za EAC hazina hifadhi ya fedha za kigeni ya kutosha kununua bidhaa hata siku 14 wakati Tanzania tunayo ya miezi 4 @Kenyans wameweka data za WB zikionyesha Kenya wana FR ya $9.49bn wakati TZ wakiwa na $5.05bn. Who’s lying?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
120
116
867
107.8K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@viewist Nilidhan utasema Hayati Kolimba
Indonesia
0
0
0
179
Africanist and developist
Ipo siku moja ya Wana CCM mashuhuri ataropoka mbele ya umma na kusema Hayati MAGUFULI hakufa kiuhalali. Ni suala la muda tu wacha tuone lisemwalo limo.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
125
49
1.2K
63.9K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@mark_Digala @Ukraine_vita U don't Read a book for Black people(bible) u think what is happening is an accident, no my bro is prophetic Hitler knew better and his loss was the world loss,Putin will lose so the world and last they will fight God
English
0
0
0
24
Mark_Digala
Mark_Digala@mark_Digala·
@xyz_ccc @Ukraine_vita I don’t give a fck to who’s gonna die!! Western propaganda sucks!! US walizoea vita kutofika kwenye ardhi yao, wamesababisha madhara makubwa sana kwa mataifa mengi,in Latin America alone US launched 56 military intervention in recent memory,forget about Africa,Middle East,Asia e
English
1
0
2
32
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺@vitayaukraine·
Ndege ya kimkakati wa Marekani yaruka kilomita 200 kutoka St.Petersburg,urusi. Ndege ya kimkakati ya Marekani B-52 Stratofortress, ambayo ina uwezo wa kubeba silaha za nyuklia,ilipita kwenye Bahari ya Baltic kilomita 200 kutoka St.Petersburg, jiji la pili Kwa ukubwa nchini urusi
🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺 tweet media🇺🇦vita ya Ukraine🇷🇺 tweet media
Indonesia
27
14
259
18.9K
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
HD amepona na amerudi kwenye uwanja wa mazoezi 🤩 Taarifa zaidi kwenye Simba App. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
HT
138
215
3.3K
83.9K
cccXYZ
cccXYZ@xyz_ccc·
@siadevinci Kuna wars na kuna battle ndan ya war winning a battle is not winning a war,Putin know better he won't win this war ,he can win battle but not war, TWT
English
0
0
0
131
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Wanajeshi wa PMC Wagner wapost picha kutoka Vostokmash kaskazini mwa eneo la viwanda la kiwanda cha metali . Mnamo Desemba 20, hapa Zelensky alikabidhi tuzo kwa Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine na akafanya PR. Leo, 03/14/2023, majengo yapo chini ya udhibiti wa Wagner PMC.
Sia Da Vinci💎 tweet mediaSia Da Vinci💎 tweet mediaSia Da Vinci💎 tweet media
Filipino
10
12
209
14.7K