Zacky🌠...!!!

2.9K posts

Zacky🌠...!!! banner
Zacky🌠...!!!

Zacky🌠...!!!

@zackyblessed

Normalize getting close to God even when you're doing well in life.

His Hands Katılım Aralık 2020
135 Takip Edilen6.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Kinachoshangaza sana kuhusu Mungu ni kwamba Kuna nyakati sisi tunaomba kidogo lakini yeye anajibu sana. Usichukulie poa nguvu ya Maombi🌫✝️
Filipino
2
32
275
5.3K
Zacky🌠...!!! retweetledi
Prophetess ,Dr.
Prophetess ,Dr.@__sheriii·
Kuna mtumishi alikuwa anaitwa Moses Moses Kulola …Mungu amrehemu yule babu… Alikuwa anajaza sana kwenye mahubiri miaka ile.Alichapa injili sana.
Filipino
7
11
67
5.4K
Zacky🌠...!!! retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Ni siku nyingine tena Tumepewa kuendelea kupambania ndoto zetu, Mungu atutangulie na leo tena🙌 Good morning.
Indonesia
5
11
13
93
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
@zackyblessed Mungu atufungulie milango ya kiuchumi hasa sisi wanaume aseee, yaan unafedheheka hadi bhas
Indonesia
1
0
0
3
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Lakini kuweza kujimudu kwenye kujitimizia mahitaji madogo madogo bila kusumbua watu ni bahati kubwa sana, kuomba omba kunadhalilisha sana hata kama ukiomba unapewa🤝
Indonesia
2
2
17
214
Otorael
Otorael@otorael·
@zackyblessed Umenikumbusha mbali 😄, hapo amekosekana Backhouse, Nelkon Parker, na Rodger Muncaster 😂mateso yakamilike
Indonesia
1
0
0
11
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Jifunze kuwafahamu watu kupitia wewe mwenyewe na sio kuwapitia watu wengine, na mtu ambae hauna makwazo nae epuka kuulizia historia zake kutoka kwa watu wengine, mtu hawezi kuwa mwema kwa kila mtu, yeye sio MUNGU😅
Indonesia
0
1
1
29
Zacky🌠...!!! retweetledi
Francis Mhiche
Francis Mhiche@FrancisMhiche·
“Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? ” — Zaburi 27:1 (Biblia Takatifu)
Indonesia
2
7
31
194
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Mitandaoni watu huonesha ule upande wa furaha tu tena mara nyingi ni zile furaha za muda mfupi, watu wameficha maumivu na mateso mengi moyoni, usije ukajiona wewe mwenyewe ndo una matatizo ukaanza kuiga lifestyle za ajabu, kaa kitaalam🤝
Indonesia
0
0
1
11
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@zackyblessed Ndugu najua wewe ni muislamu ndo maana unaongea hivo ukweli ni kwamba uajemi imewahi kuwa super power ikaja anguka ase saivi super power ni USA
Indonesia
1
0
1
80
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Kibiblia, Uajemi (Iran) lilionekana kama taifa lenye nguvu kubwa, lenye jeshi lenye nguvu, rasilimali nyingi, na mamlaka ya kifalme, hakuna mahali palitabiriwa kwamba uajemi itakuja kuangushwa na taifa lolote lile isipokuwa Mungu peke yake, if you know you know😅🤝
Indonesia
5
1
15
964
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Moses Kulola alikuwa na sauti flani hivi unaweza Dhani yeye ndo parapanda yenyewe inatisha mno, apumzike mahala pema peponi🤝
Indonesia
0
0
0
12
Zacky🌠...!!! retweetledi
Dazzy Elly
Dazzy Elly@AsajileDaniel·
Ajabu ni kuwa wapweke wengi wanapatikana kwenye ndoa. Ndoa zimekua jela zenye mateso kwa watu,hakuna furaha zaidi ya kusalitiana,vilio na kulala njaa. Usikosee kitu kinaitwa ndoa,maisha yako yatakua mafupi duniani. Being loyal,trustful n loving,that's marriage. Good morning fam.
Indonesia
44
42
92
1.3K
Zacky🌠...!!! retweetledi
Otorael
Otorael@otorael·
" Aliye wa Mungu si mgumu kutubu, Aliye wa Mungu ni laini kwa maneno ya Mungu, Aliye wa Mungu humsikiliza Mungu Aliye wa Mungu si MBISHI, Aliye wa Mungu habishani hata mkakosana " ~~Askofu Moses Kulola.
Indonesia
1
7
18
149
Mimah ❤️
Mimah ❤️@Halimaprinces·
Few months ago,I had exhausted all my funds coz she had a severe asthma attack,I came to kot to ask for help, she was saying dadangu usikuwe wajiweka madeni sisi tushazoea maisha yetu ya kimungu Mungu 🥺...I've gone up & down to make sure she's okay,Mum is proud where she is 🥲
Mimah ❤️@Halimaprinces

My baby sis is now 18 yrs alh, happy birthday my first born 🥳... it's also mum's 18 yrs death anniversary, bitter sweet memories 🥺🥰,,this girl is a survivor I thought she would never survive but she did here she is... acha nikamnunulie soda aki she deserves all the love 🥺

English
8
4
66
5.1K
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Ipo siku MUNGU atakukutanisha na mtu atakayekupenda kwa moyo wake wote, ila kwa sasa zingatia masomo, kilimo na uwinga😅🤝
Filipino
1
4
28
222
___Aiman
___Aiman@___Aiman90·
@zackyblessed Mimi najua ni utapeli ule 😂katika asilimia 100 wanaonena kweli ni asilimia 1
Filipino
1
0
0
5
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Wakristo...!!! Hivi inawezekana mtu akawa ananena kwa lugha afu anaelewa au anajiskia anachokisema? Mfano mtu anarudia rudia Yale maneno anaimba anayarudia tena, mfano anahubiri anatulia ananena anaendelea tena, je kunena ni voluntary action? Roho mtakatifu ndo yupo hivyo?
Indonesia
22
3
38
3K