jogoo la shamba

45 posts

jogoo la shamba

jogoo la shamba

@KMeshack13252

Katılım Ocak 2025
43 Takip Edilen5 Takipçiler
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@zackyblessed Ndugu najua wewe ni muislamu ndo maana unaongea hivo ukweli ni kwamba uajemi imewahi kuwa super power ikaja anguka ase saivi super power ni USA
Indonesia
1
0
1
216
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Kibiblia, Uajemi (Iran) lilionekana kama taifa lenye nguvu kubwa, lenye jeshi lenye nguvu, rasilimali nyingi, na mamlaka ya kifalme, hakuna mahali palitabiriwa kwamba uajemi itakuja kuangushwa na taifa lolote lile isipokuwa Mungu peke yake, if you know you know😅🤝
Indonesia
7
8
62
2.8K
Bokilo Jessa
Bokilo Jessa@Bokilojessa·
@PolycarpMDM Mpaka 1979 ndo Dola ya kiislam ilirudi nadhani hajapata muda wa kujisomea tu au hajawaza kujisomea kabisa
Indonesia
1
0
0
469
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@BillyTronix1 @PolycarpMDM Hakuna Dola ilianguka halafu ikainuka kaka,,,,Babeli ilianguka mpaka Leo haipo ,umedi na ujemi( Iran) ,warumi na wote hao hakuna aliyeasimama kwa kifupi usipende kujifariji ni mbaya kwa afya yako
Indonesia
1
0
0
138
Billy
Billy@BillyTronix1·
@PolycarpMDM After few years dola ilirudi na ikasimama
Tanzania 🇹🇿 Filipino
3
0
4
2.1K
Optimizer
Optimizer@anthypocrisy19·
@EsirEid Kinachoconfuse wakristo wa TZ ni Iran,inatetetewa na inatetea nchi zenye wakristo wengi duniani,kama Cuba, Venezuela,Russia,South Africa etc sababu ya kusimama upande wa haki,kuna wakristo wa TZ sasa kila kinachofanywa na waislam wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😃🤣
Indonesia
3
1
2
210
HUSSEINC
HUSSEINC@HUSSEINC14·
@EsirEid Al Qaeda ni kundi la marekani limeuwa waislam wengi marekani alifanikiwa miaka ya nyuma kuwazuga watu, kwa sasa sizani watu wengi wameanza kufunguka macho na kuujua ukweli nchini syria,iraq marekani ilikuwa inawaamisha kwa elikopta zake wanachama wa ngazi za juu wa isis
Indonesia
1
0
2
54
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@mpenda_TANZANIA @EsirEid Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya wakristo na wayahudi kama ilivyo muislamu WA Tz na mwarabu ndo maana sisi tunawapenda na hatutaacha kuwapenda kwa sababu na wao wanatupenda mengine ni propaganda zenu tu
Filipino
0
0
0
70
Mtanzania Bin Tanganyika
Mtanzania Bin Tanganyika@mpenda_TANZANIA·
@EsirEid Wakristo sijajua akili zao huwa zina nini mbona jambo lipo wazi Wayahudi hawamwamini yesu na wanasema yesu ni mtoto wa nje ya ndoa na dini yao ni ya kiyahudi Kuna haja yakuwapa elimu maana kazi yao kubwa ni kimezeshwa upumbavu
Indonesia
7
0
1
722
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@YusuphBonito1 @EsirEid Stable ipi unazungumzia ??? Viongizi wakubwa WA nchi kuuliwa??unajua maana ya viongizi wakubwa WA nchi kuuliwa hiyo ni INSTABILITY sio STABILITY usiunge mkono hoja kisa Fulani kasema fikiria
Indonesia
0
0
0
26
HON. YUZUU
HON. YUZUU@YusuphBonito1·
@EsirEid Yes hata mimi nimeona kuna mengi ya kujifunza pale, oya very stable,.
Suomi
2
0
2
200
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kama wewe ni mfanyabiashara, jifunze hili kutoka kwa serikali ya Iran: jenga mifumo inayodumu kuliko watu binafsi. Unda mfumo uliobuniwa kuhimili misukosuko kwa muda mrefu,iwe ni kupotea kwa viongozi, shinikizo, au changamoto nyingine,bila kuyumba.
Indonesia
10
20
183
4.3K
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@sumi_kwetu @INFLUENCERjr Usijipe moyo kwamba wanapenda kuuliwa??? Bro wale wanajua wanachokifanya na wanajua kujificha kwa kuwa viongizi ndo Kila kitu je Iran anafanya Nini kulinda viongizi
Indonesia
1
0
0
32
jason_boby
jason_boby@sumi_kwetu·
@INFLUENCERjr Kasome maana ya assymetrical warfare. Iran haitegemei kiongozi mmoja. Inadhihirisha mfumo wao wa uongozi upo imara. Na viongozi wao wanaamini kifo kimisingi ya imani, ndo maana hawAchukui tahadhari ya kujilinda au kujihami.
Indonesia
3
0
0
359
The captain
The captain@shucom20·
@tazamaMbali Viongozi wa Iran hawaishi maisha yao kwenye mahandaki wanaishi maisha yao ya kawaida ya siku zote na pia kifo kwao ni ushujaa ndo maana hata siku ya Quds walikuwa mtaani kawaida na wananchi wao!
Indonesia
4
0
4
311
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
Kelele kuhusu Iran ni nyingi hasa huku mtandaoni, lakini kati ya mwaswali muhimu ni hili; Wanajeshi wa Iran wanashindwaje kuwalinda viongozi wao kiasi kwamba wanauawa kirahisi hotelini? Je, jeshi halijui kuwa wabeba maono ni viongozi, na chini kuna wafuasi tu?
Indonesia
21
6
53
5.4K
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@saed_ameer88 @tazamaMbali Wewe pia unabebwa na propaganda sasa hizo data umechukua wapi??? kaka data zako unataka ziwe kweli ila data za wengine ni propaganda
Filipino
0
0
0
17
Saed Soud Ameer
Saed Soud Ameer@saed_ameer88·
@tazamaMbali Umekunywa sana propaganda za USA mzee. Siku USA akilizua TZ ndio mtawaelewa kama wale ni wenzetu au adui zetu. By the way wao ni miongoni mwa waliomuua Lumumba. Wao pia walisapoti makaburu SA. Kwao wao mtu mweusi ni kama funza wa chooni. Na mtu wa brown kama nzi wa chooni
Indonesia
5
1
2
318
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@AlexSamoja @kalikenya Kama ni hivyo bhasi tuanze kuoa wanawake wengi kama akina Suleiman na mfalme Daudi lakini Yesu alipokuja Kuna vitu vilibadilika
Indonesia
0
0
0
11
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
@kalikenya Nguruwe ni najisi imekatazwa kwenye mafundisho ya dini, usipotii katazo la Muumba wako hio ni dhambi hujatii amri na maandiko Mambo ya Walawi 11: 1-47
Indonesia
3
0
0
49
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Wakristo dhambi kubwa wanayoiogopa ni Uzinzi wa hadharani, ila ukiwaambia kula Nguruwe nayo ni dhambi, hapo ndo wanachora mstari kati ya dhambi na chakula .
Indonesia
25
8
124
8.6K
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@DullahKombo @AlexSamoja Kati ya waislamu na wakristo wapi wanachukuana ovyo bro nyie ndo wazinifu WA kubwa hata kitabu chenu kinachochea sana
Filipino
1
0
2
32
Dullah Kombo
Dullah Kombo@DullahKombo·
@AlexSamoja Si kwa ubaya ila ni katika kudadavua mambo. Huko kwenye ukristo watu huchukuana kienyeji wanazalishana kwa uzinifu hadi wakiona wameshaanza kung'oka meno ndio wanaenda kanisani kufunga ndoa. Dini yao yenyewe inakataa hivyo lakini wameamua kuinajisi
Indonesia
1
0
1
98
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
@wikoloBilal @Mwinshehe07 Au wewe ndio wale niliowataja pale juu.🤣🤣 Achana na propaganda za wamarekani. Mimi irani kujua inavurugu ni juzi tu hapa walipoanzwa na Israel. Ila kipindi chote walikuwa wametulia zao, hakuna cha vita wala nini. Harafu kunamtu anasema "inakuwaje mtu anaenda kusoma sehemu
Indonesia
3
0
1
58
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Nchi yetu inawajinga wengi sana. Hivi vita vimenifanya nigundue hilo. Watu wanaonekana wanaakili ila bado sana kiakili wameshikiwa na western. Mtu anahoji mtu kwenda kusoma Iran, ukimuuliza sababu anasema usalama hauko vizuri 🤣🤣 Hivi Israel na Iran wapi kupo salama?
Indonesia
23
17
136
6.1K
jogoo la shamba
jogoo la shamba@KMeshack13252·
@EliabuDanford Mungu aliliinua taifa la USA kwa ajili ya injili ya Yesu kristo kuenea duniani na pia kwa ajili ya taifa la Israel
Indonesia
0
0
0
59
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Nchi ambazo zimehubiri Injili kuliko zote ni, 1. Misri, Farao bila kujua. 2. Israeli, kupitia Yesu na Mitume Kanisa la kwanza 3. Marekani, kupitia uhuru wa kuabudu Kanisa lilipata upenyo wa kupiga kazi ya Injili.
Indonesia
3
8
76
2K
Hanipha💌
Hanipha💌@Hannicute4ikh·
@EsirEid Bro mim ningefurah sana ila bado sijaridhika wala kuyakinisha kwamba jamaa kafa,mchawi yule USA intelijensia imelala pale yan sio rahis hivyo
Indonesia
1
0
0
234