Arama Sonuçları: "#MoCLA"
12 sonuç
@Presnel_jnr @matokeochanya @MsLACampaign @NCHIYANGUT @sisiniTanzania @SuluhuSamia Hakika rais ametekeleza sana sio veta tu mpka huduma za kijamii
#mslac #sisinitanzania #Mocla


@Sheria_Katiba Falsafa ya kampeni hii ni kusikiliza, kushauri, kutoa msaada na kutatua.
#mslac #mocla #Katibanasheria
Eesti

@MsLACampaign Kupiga kura ni haki ya Mwananchi Kikatiba hivyo Wananchi wana haki ya kupiga kura na sio kushurutishwa kugomea uchaguzi kama wanavyofanya wale wa upande wa upinzani.
MABADILIKO YALISHAFANYWA KUPITIA 4R.
KUMWAMBIA MTU ASISHIRIKI UCHAGUZI NI KUMNYIMA HAKI.
#MSLAC #SSH #MoCLA

Indonesia

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imekuwa ni muarobaini changamoto nyingi za ukatili wa kijinsia na haki za watoto #sisinitanzania #MSLAC #MoCLA #kazinaututunasongambele #ikulumawasiliano #tandawilimachaka #ssh #samiamitanotena
Indonesia

Juhudi za Mama @SuluhuSamia ktk kuboresha sekta ya afya, ujenzi wa majengo ya huduma za dharura (EMD) katika kila hospitali ya wilaya pamoja na vifaa vyake vya kisasa imezidi kuchochea ubora wa huduma za afya zinazotolewa nchini.
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #MoCLA

Indonesia

@ikulumawasliano Ahsante Mama Samia ama kweli wafanyakazi tunakuunga mkono katika uongozi wako thabiti. #SSH #MSLAC #MOCLA #SISINITANZANIA #KAZIIENDELEE #SISINITANZANIA #MATOKEOCHANYA #KAZINAUTU
Filipino

Wafanyakazi wote tunawatakia heri na mfanye kazi kwa utu, ili tusonge mbele.
#Katibanasheria #mocla #mslac #ssh #kazinaututunasongambele #sisinitanzania

Indonesia

@MsLACampaign Uhuru wa vyombo vinavyosimamia haki na sheria ni takwa la kisheria. Lakini pia TLS ni mdau muhimu sana katika kutekeleza kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC).
#mslac #mocla #katibanasheria #ssh

Indonesia

@MsLACampaign Haki ni pamoja na uelewa wa sheria. Ndio maana kumeanzishwa Mama Samia Legal Aid Campaign
#mocla #Katibanasheria #mslac #sisinitanzania #Nchiyangukwanza

Filipino


