ทวีตที่ปักหมุด
Adamoo
152.4K posts

Adamoo
@Addy_Adams
لا إله إلا الله محمد الرسول الله
Tanzania เข้าร่วม Kasım 2011
744 กำลังติดตาม12.4K ผู้ติดตาม

@BarakaMaviatu Daah umenikumbusha mbali kinoma Mzee,,, Banda umiza Manzese CCM tsh 50 picha 2. Tambala la WarBus then SOLO
Indonesia

Mkubwa hujawahi kujaa kwenye 18 zao..
Boda alikwangua gari nashuka kuangalia wakanijalia kama 15 hivi wanamtetea msenge mwenzao na maneno ya Karaha sijui Gari la mkopo nk wakati jamaa ana makosa
Nikawaambia mbona nyie hampati hela mpaka UBAISHIWE na Abiria,,, wee kidogo waniue
Kitinyo@MtotoMujini
@Addy_Adams Sidhani kama wana shida yoyote. Mimi nafikiri tatizo la hapo ni parking tu. Ikitatuliwa hii na malaria kuacha kupark barabarani hii kero itapungua
Indonesia

@fadhilikangusi Nilionan WhatsAap clip zake 2 tatu,,, mgoja nikazipitie zote 😂
HT

@Addy_Adams 😂@sandeorise20?_r=1&_t=ZS-94zZAX1Saxe" target="_blank" rel="nofollow noopener">tiktok.com/@sandeorise20?…
QME

@Addy_Adams Wale nao nikama wale wazee wa mabus mkoa wa moro ni milele na milele sijui kama watatoka
Indonesia

"Wanaume wote tushajaribu kukaa hio style hata mara moja ili tujue mnachopitia so we all get it"

Mtetezi wa Mabonge@fellu__
Wanaume wote tushajaribu kukaa hio style hata mara moja ili tujue mnachopitia so we all get it
Indonesia

@MoshaMoyo Kidogk wanitoe roho,,, sirudii tena hadi nimiliki Bastola
Indonesia

@Mussa_bilali99 Sahihi kabisa watu wanakimbilia mwendokasi kutokana na usafiri umekua wa shida
Indonesia

@Addy_Adams Njia nzuri ya kupunguza hizo bodaboda sio kuzizuia zisiingie mjini bali ni kubana kipato chao.Kivipi? Ni kwa kuboresha Usafiri wa Umma ufikie world Class.Kuna Mwendokasi ambazo tunaweza kuziboresha na kuwa na huduma bora.Hao Bodaboda wataondoka wenyewe.
Indonesia

📍VIDEO:
Aliyewai kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kipindi cha uongozi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Angelina Mabula amesema anatamani hayati Magufuli angekuwepo leo hii afanye kazi na Rais wa Burkina Faso, Kapteni Traore ili kuleta mageuzi katika Nchi zao na Bara la Afrika.
Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Mazabau ya Bikira Maria Malkia ya Kawekamo, Angelina Mabula amesema Hayati Magufuli alikuwa mzalendo, hakupenda wananchi waonewe na mtu mwenye msimamo.
"Tunachoweza kusema ni kwamba alikuwa ni mzalendo, mtu anayesimamia maono yake, mtu anayependa Watanzania na alikuwa mzalendo wa kweli hakutaka kujinufaisha pekee yake na hakutaka utani katika nafasi anayokupa,” amesema Mabula
Hata hivyo Mabula ameongeza kuwa “Kwa kweli tumepoteza, nilikuwa natamani wakati huu Traore ambaye yupo sasa wa Burkina Faso, pengine angeweza kuwa na Magufuli mambo yangeenda vizuri, lakini najua Tanzania hii itafanya vizuri,”
Indonesia

@elia65637 Kungekua na miundombinu mizuri na usafiri wa ummma wa uhakika tusingepata boda na wao wenyewe automatic zisingejaa wangebaki kwenye delivery
Sasa hivi tunaona wapo wengi kwasababu uhitaji ni mkubwa
Indonesia

@Addy_Adams Natamani sana wazo lako liwe implemented coz foleni zaidi ya 40% chanzo ni wao, but hao bodaboda na bajaji serikali itakua na mpango gani kusupport wakidhi needs zao? Isijekua tuna ua boda then wanashift kwenye umachinga barabarani inakua hatujasolve kitu. Discussion ngumu ii
Indonesia

@Addy_Adams K.koo ibaki kwenye consumer products tuu. Kuwe na nguo, electronics, urembo na vitu kama hizo
Filipino








