𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔

21.6K posts

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔 banner
𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔

@Budda2016

Registered Nurse | R.i.P father | Live long Mother | The QURAN | Allah Akbar |SimbaSC| GGMU |Farmer | Health | Music | Cooking | Love | R.I.P My Daughter 💔

Mtwara, Tanzania เข้าร่วม Mart 2016
3.9K กำลังติดตาม2.2K ผู้ติดตาม
peter kunjega
peter kunjega@PKunjega1_·
Huyu ni mwanangu sana nimesoma naye o level baadae tumepotezana saan kama miaka 6 bila mawasiliano Jana nimekutana naye FB kwenye kujuliana hali akaniambia alikuwa anapiga kazi kiwandani sasa kapata ajali mashine imepita na kidole 😭 na nikama bahati tu maana mkono asingekuwa nao 🙏🙏daah imeniuma sana Ama kweli hakuna ajuaye kesho . #sadness
peter kunjega tweet media
Filipino
43
19
355
40.6K
Charles Chelsea Jr
Charles Chelsea Jr@CharlesChelsea_·
DSTV wanakera sana na Matangazo yao wakati wa COOLING BREAK🥶🥶 yanakata Mzuka wa Mechi @DStv @DStv_Tz 🚮🚮 Imebidi niSwitch upande wa AZAM TV tu hakuna namna
Charles Chelsea Jr tweet media
Filipino
12
6
149
9.3K
EAST
EAST@Prince_Urio·
Huyu Asmah majed ni mzuri sana kwenye mitandao ya kijamii kutana nae live mkuu😂
EAST tweet mediaEAST tweet media
Filipino
80
54
790
77.3K
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMtetezi·
Leo AGM Ya NMB Bank Wamepitisha Azimio La Share Split Ya 1:10 Yaani Kila Mwanahisa Mwenye Hisa 1 Ataongezewa Hisa 10 Liquidity Ya Hisa Za NMB Itaongezeka Hivyo Usishangae Hisa Za NMB Zikatoka 15,000 Kwa Hisa Moja Mpaka 1500 - 2000 Baada Ya Mchakato Wa Share Split Kukamilika
Filipino
4
13
156
11.3K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Bwana Twalibu alioa mapema sana arranged Marriage, akapata na mtoto mmoja akiwa na Uraia wa nchi moja, Bwana Twalibu akaachana na mke wake, akapata Uraia Pacha yaani Dual Citizenship, kwenye Passport na Permit jina likasoma Anko T. Watu kama hawa wapo wengi sana sehemu zenye Foreigners wengi, Vijana wanaitwa Baba ila gafla wanabadilisha Uraia wanakuwa Dual citizenship 😢 😭
Sekenke One 🌻 tweet media
Filipino
35
15
187
33.7K
Royal Media
Royal Media@royalmediatz·
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mhandisi Upendo Mbelle, amesema TBC imepewa haki miliki ya kurusha matangazo ya michuano ya Kombe la Dunia hivyo chombo kingine kitakachorusha matangazo hayo bila ridhaa ya TBC kinaweza kuchukuliwa hatua za kisheria. Kaimu Mkurugenzi huyo amewataka wenye nia ya kurusha matangazo hayo kufika zilipo ofisi za TBC ili kuingia makubaliano ya kurusha matangazo hayo kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria TBC ambalo ni shirika la Umma Nchini limekuwa likionesha michuano hiyo bure kabisa pamoja na kufanya uchambuzi wa mechi za Kombe la dunia kwa lugha ya kiswahili.
Royal Media tweet media
Indonesia
78
10
363
54.9K
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Kwa sisi tuliozaliwa kwenye muziki Jose mtambo sio mgeni kwako, aisee iyo clip nmkutana nayo TikTok jamaa anahitaji msaada anakula pombe za kienyeji nimeumia sana jamaa nnavyo mkubaligi dah Fame ina mambo mengi sana 🚮🚮
STUNNA tweet mediaSTUNNA tweet media
Indonesia
23
20
130
20.3K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Michael Olise ana vitu vya kitofauti kiasi kwamba unaweza kudhani amepagawa, sasa Last week wakati akienda Airport ili kujiunga na team kusafiri kuingia marekani, alienda na Bodaboda,.. na kuzua mijadala mingi sana,. lakini Bei ya hiyo bodaboda ndio mzozo🔥🙌.
The champ👑 tweet mediaThe champ👑 tweet media
Indonesia
17
16
108
10.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Hii ajali imetokea leo maeneo ya Iyovi apo. Aisee
Adventure-360 tweet media
Indonesia
23
29
297
20.4K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Imagine After Sex Usikie Sauti Ya Watoto Kwenye Dirisha Wakisema "Twendeni Wamemaliza"🤣
Indonesia
45
40
455
23.3K
JOH✝️
JOH✝️@JOH_MCI·
Ile acrobatiki alipiga paqueta jamaa linakuambia “Hakumuona chama” Nikaswitch kwenda kingereza muda ule ule😂💔🚮
JOH✝️ tweet media
Filipino
67
44
545
42K
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Hivi hawa wanawake wanao kaaga uchi kwenye uwanja, huwa wanalipwa kabisa au nikujitolea tu?
Njiwapori 10k tweet mediaNjiwapori 10k tweet media
Indonesia
63
44
275
31.4K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Diaspora. Ukiamua kurudi bongo, rudi ukafanye biashara zako. Ona huyu dogo katoka Europe kwenda kutafuta kazi bongo.😀
Dr. Kala. MD tweet media
Rogersville, MO 🇺🇸 Indonesia
5
2
17
2.1K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Bunge lipitishe mswaada wa dharura hakuna kwenda Chuo kikuu chochote kama hujapita JKT Haiwezakana majanja wamekacha kuripoti yani makambi ni empty 😅😅
हिन्दी
69
36
584
34.9K